Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 21,838
- 38,729
Anamaanisha ChatkoWe jamaa unachekesha si kidogo! Yaani unaamini kabisa 90% ya vijiji vya Tanzania vina umeme?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Anamaanisha ChatkoWe jamaa unachekesha si kidogo! Yaani unaamini kabisa 90% ya vijiji vya Tanzania vina umeme?!
Studies zinaonyesha kuwa Mwl JKNyerere ndiye aliyebuni mradi wa umeme wa Stiglers Gorge through taasisi ya RUBADA mapema 1980s. Na upembuzi yakinifu ulifanyika. Kwa sababu mbali mbali mradi hauku take off wakati ule umekuja kuazimishwa mwaka 2016 na Jiwe.Naomba wachumi mje mtujuze athari za Bajeti ya 2020/21 kwenye sector ya nishati elekezwa kwenye mradi mmoja wa Nyerere Hydro Electric Power huko Rufiji. Kama siyo mchumi soma na upite...
Studies zinaonyesha kuwa Mwl JKNyerere ndiye aliyebuni mradi wa umeme wa Stiglers Gorge through taasisi ya RUBADA mapema 1980s. Na upembuzi yakinifu ulifanyika. Kwa sababu mbali mbali mradi hauku take off wakati ule umekuja kuazimishwa mwaka 2016 na Jiwe...
Anapenda kufanya vitu vya sifa na HASHAURIKI. Akina Nyerere na waliomfuata walishauriwa na wakakubali kutohamia Dodoma wala ku implement Stiglers GorgeJiwe Hakika ana Kichwa Cha Panzi.
Makao Makuu kuhamia Dodoma......C&P from Mwalimu J.K.Nyerere(rip).
Stieglers Gorge Dam....,....................C&P from Mwalimu J.K.Nyerere(rip).
Kama JIwe anajiona ni intelligent aanzishe vya kwake aache Mambo ya c&p!
Tulisema hapa MATAGA aakabisha; kiko wapi sasa tunakwenda kulipa China.Siyo suala la Teknolojia ya kujenga bali ni "Ability to Pay". Hazina ni muflis kwa kuwa Jiwe hajui planning. Anatekeleza miradi mikubwa kama 5 kwa wakati mmoja...
Matumizi ya % ni magumu kwa watu wengi ndio maana amejikuta ameandika 90% bila kujua lakini uhalisia haupo hivyo.We jamaa unachekesha si kidogo! Yaani unaamini kabisa 90% ya vijiji vya Tanzania vina umeme?!
Mkuu Mzalendo2015, je tumefika wapi kwenye hili?Hujaiona kwenye wino mxito wa The Citizen? Is Tshs. 2.197 Trillions which is 66% of the Total Budget.
Lakini kwa uzoefu ujue kuwa pesa itakayopatikana ni 40% tu kutoka Hazina takribani Tshs. 0.8 T! Kumbuka Total cost ya Mradi Ni zaidi ya Tshs. 7+ Bilioni hivo kwa hesabu hizi mpaka mradi ukamilike utachukua miaka isiyopungus 10! Jiwe ataondoka bila ya ndoto yake kukamilika!
Naziona dalili zote za JNHEPP kuwa white elephant kama ulivyoonaThe white elephant in Selous game reserve
Ulishaambiwa gas ya mtwara sio yetu... ubishi tu na kujitia kumover shine jiwe leo his gone na majibu ni yaleyale gas sio yetu kwa mikataba ya mshogaStudies zinaonyesha kuwa Mwl JKNyerere ndiye aliyebuni mradi wa umeme wa Stiglers Gorge through taasisi ya RUBADA mapema 1980s. Na upembuzi yakinifu ulifanyika. Kwa sababu mbali mbali mradi hauku take off wakati ule umekuja kuazimishwa mwaka 2016 na Jiwe...
Siyo kweli, umeandika kufurahisha baraza tu. Serikali kwa mujibu wa sheria mpya ya madini inapata vifuatavyo;Ulishaambiwa gas ya mtwara sio yetu... ubishi tu na kujitia kumover shine jiwe leo his gone na majibu ni yaleyale gas sio yetu kwa mikataba ya mshoga
Watu mliona mbali sana.Hongera mkuu.Hujaiona kwenye wino mxito wa The Citizen? Is Tshs. 2.197 Trillions which is 66% of the Total Budget.
Lakini kwa uzoefu ujue kuwa pesa itakayopatikana ni 40% tu kutoka Hazina takribani Tshs. 0.8 T! Kumbuka Total cost ya Mradi Ni zaidi ya Tshs. 7+ Bilioni hivo kwa hesabu hizi mpaka mradi ukamilike utachukua miaka isiyopungus 10! Jiwe ataondoka bila ya ndoto yake kukamilika!
Kwasababu imeshaanza hatuna namna kukomaa ikamilike. Shida ni hawa vilaza wa CCM hawana akili za kusimamia miradi kwa kuelekeza bajeti maeneo muhimu wala ubunifu wa kukusanya mapato.Siyo suala la Teknolojia ya kujenga bali ni "Ability to Pay". Hazina ni muflis kwa kuwa Jiwe hajui planning. Anatekeleza miradi mikubwa kama 5 kwa wakati mmoja;
1. Ubungo Bridge
2. Coco Beach -AgaKhan Road
3. Kimara -Kibamba six lane highway
4. Kigongo -Busisi
5. SGR
6. Stiglers Hydro
Hiyo miradi yote ni pasua kichwa, kuna ambayo ina foreign na local component na kuna ambayo ni 100% local component tu.
Kuna miradi naona kama itasimama kama Barabara ya Kimara- Kibamba na SGR
Mtaka yote kwa pupa kukosa yote