We jamaa unachekesha si kidogo! Yaani unaamini kabisa 90% ya vijiji vya Tanzania vina umeme?!wizara ipo sawa, maana naona kama kwa sasa umeme unapatika karibia 90% vijijini. Hii ni kutokana na kazi kubwa iliyofanywa na REA.
Ni muda sasa wizara ijikite kwenye huu mradi mkubwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
La umeme kutokatika katika ni baadhi ya maeneo. Huku kwetu umeme usiwaka usiku mzima mnajua kabisa kesho yake mchana hautakuwepoKwa kweli kwa mtu mwenye uelewa lazima tuishukuru Serikali ya awamu ya Tano. Changamoto nyingi zimerekebishwa. Mfano kukatikatika kwa umeme sasa imekuwa ni historia, Uimara ya shillingi ya Tanzania, Vituo vya Afya nchi nzima, Ubungo flyover ni machache tu yaliyotekelezwa na yanayoonekana. Mnyonge mnyongeni lakini mpeni haki yake.
Sawa tuNaomba wachumi mje mtujuze athari za Bajeti ya 2020/21 kwenye sector ya nishati elekezwa kwenye mradi mmoja wa Nyerere Hydro Electric Power huko Rufiji. Kama siyo mchumi soma na upite
Angalia kiambatisho hapo chini
View attachment 1444848
Kuhusu umeme wa REA yawezekana ni 45% ya vijiji siyo 90% kama anavyosema Kalemani. Kumbuka Serikali ya awamu ya 5 ni Serikali ya kuchakachua au kupika takwimu.Kwa kweli kwa mtu mwenye uelewa lazima tuishukuru Serikali ya awamu ya Tano. Changamoto nyingi zimerekebishwa. Mfano kukatikatika kwa umeme sasa imekuwa ni historia, Uimara ya shillingi ya Tanzania, Vituo vya Afya nchi nzima, Ubungo flyover ni machache tu yaliyotekelezwa na yanayoonekana. Mnyonge mnyongeni lakini mpeni haki yake.
Si kweli! 90%?wizara ipo sawa, maana naona kama kwa sasa umeme unapatika karibia 90% vijijini. Hii ni kutokana na kazi kubwa iliyofanywa na REA.
Ni muda sasa wizara ijikite kwenye huu mradi mkubwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli tulikuwa tunahitaji umeme mwingi na wa kuaminika kwa ajili ya viwanda na nishati zingine. Je huu umeme wa maji ndiyo bora kuzidi umeme wa gesi?Hii inamaanisha kuwa serikali inaupa kipaumbele mradi huo ambao kukamilika kwake kutaweka msingi imara kwenye sekta ya nishati. Hivyo pia sekta nyingine zitanufaika na kukamilika kwake kwani sekta zote zinahitaji umeme toshelezi na wa kuaminika.
Kikubwa ni serikali kuhakikisha inaboresha mifumo ya usambazaji sanjari na ujenzi wa miradi mipya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna dam ya ukubwa huo iliyochukua chini ya miaka mitano kumalizika kujengwa. So hata kama budget ipo, bodo kuna hata miaka 10 mradi kumalizika.Hujaiona kwenye wino mxito wa The Citizen? Is Tshs. 2.197 Trillions which is 66% of the Total Budget.
Lakini kwa uzoefu ujue kuwa pesa itakayopatikana ni 40% tu kutoka Hazina takribani Tshs. 0.8 T!
Kumbuka Total cost ya Mradi Ni zaidi ya Tshs. 7+ Tshs hivo kwa hesabu hizi mpaka mradi ukamilike utachukua miaka idiyopungus 10! Jiwe ataondoka bila ya ndoto yske kukamilika!
Wewe ni bure kabisa unalinganisha teknolojia ya miaka ya sabini na sasa hivi.Hakuna dam ya ukubwa huo iliyochukua chini ya miaka mitano kumalizika kujengwa. So hata kama budget ipo, bodo kuna hata miaka 10 mradi kumalizika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo suala la Teknolojia ya kujenga bali ni "Ability to Pay". Hazina ni muflis kwa kuwa Jiwe hajui planning. Anatekeleza miradi mikubwa kama 5 kwa wakati mmoja;Wewe ni bure kabisa unalinganisha teknolojia ya miaka ya sabini na sasa hivi.
Mnaposhiba bangi muwe mnajitahidi kutulia kwanza kabla ya kuanza kusumbua humu.wizara ipo sawa, maana naona kama kwa sasa umeme unapatika karibia 90% vijijini. Hii ni kutokana na kazi kubwa iliyofanywa na REA.
Ni muda sasa wizara ijikite kwenye huu mradi mkubwa.
Sent using Jamii Forums mobile app