Asilimia 66% ya Bajeti ya Wizara ya Nishati na Umeme yaenda kwenye Mradi wa Stiglers. Je, imekaaje kiuchumi?

Ninachojua, kijiji ninachotoka huko Kiziba, Missenyi, Kagera kina umeme na nyumbani kwa baba kuna umeme.
Kwa hiyo kwa hesabu zako hiyo ndiyo 90% ya vijiji vyote vya Tanzania. Kweli shule uliyokwenda imekusaisia kujua kuandika na kusoma tu
 
Kwa hiyo kwa hesabu zako hiyo ndiyo 90% ya vijiji vyote vya Tanzania. Kweli shule uliyokwenda imekusaisia kujua kuandika na kusoma tu
Hoja yangu hujaielewa na sikulaumu. Ilibidi kila mtu aseme kama kijijini anakotoka kama wana umeme ama la. Hapo ndio tungejua vijiji vingapi vina umeme angalau kwa hesabu za JF. Najivunia sana kuishi kwenye kijiji chenye umeme, shule ya msingi, zahanati, kanisa, msikiti, maduka na sehemu za starehe kwa kiwango cha kijijini. Swali jingine?
 
Siwezi kukubishia. Ila kumbuka kuna maeneo maendelo yake ni ya historia. Maeneo ambayo Kanisa lilifika mapema enzi za ukoloni. Kwa hiyo kukuta hospitali, shule barabara, umeme siyo kitu kigeni.

Lakini ukweli ni kwamba sehemu kubwa ya Tanzania zaidi ya 50% haina umeme
 
Mimi sio shabiki wa Magu hata kidogo, napinga mambo mengi namna anavyoendesha, ila kwenye tukiweka politics pembeni huu mradi ni muhimu sana kwa Taifa.
Mngelijua kiasi cha pesa ambazo tanesco wanapoteza kwenye umeme wa kununua,

Tanesco haijawahi kujiendesha kwa faida kuna kipindi walikua wananunua sikumbuki figa sahihi ila wewe ununue unit 1 kwa mzalishaji shs 700 uje umsambazie mwananchi na kumuuzia 200 pata picha hasara kiasi gani taifa linaingia.

Kwa hiyo naunga mkono huu mradi ukamilike hata asipo umalizia, magufuli akifika asilimia 80% huyo mwingine atakaepokea nchi ni aibu kwake kushindwa kumalizia 20%.
Mwisho.
 
Dodoma pale Mji wa Serikali Mtimba ni wastage of resources tu. Mawaziri wote wakiwa Dodoma wanakuwa mjini kwenye ofisi za Wizara zao zilizopo mjini.

Wanakwenda Mtimba pale Rais akiwa Dodoma tu
Ni kuvuja mali ya umma,kama serikali ina upeo wasitishe ujenzi wa Dodoma.
 
Ni kuvuja mali ya umma,kama serikali ina upeo wasitishe ujenzi wa Dodoma.
Ujenzi wa Dodoma ni sunk cost. Yeye mwenyewe aliyejenga Ikulu huko anakaa kwa magumashi au kwa ku beep. Atakaye kuja baada ya Jiwe hata kama ni wa CCM atarudisha Ikulu Dar es Salaam na hizo nyumba zitabaki kama Kijiji cha Gbadolite cha Mobutu Seseseko huko DRC
 
Maamuzi ya mtu mmoja as if ni private property ni hatari sana.
Akisha fanya makosa ataendelea kutulisha propaganda kuwa maamuzi yake ni sahihi kwa gharama zo zote.
Na pale akigundua kuwa ni maamuzi mabaya,na muda wa kutawala unayoyoma...........mtamalizia.
 
Kwanza haikutakuwa iitwe bajeti,iitwe Makisio,utapangaje bajeti kwa kitu ambacho hauna,ukifika mwaka kesho niambie kama itakuwa imetekelezwa kwa asilimia ngapi?
 
Hujaiona kwenye wino mxito wa The Citizen? Is Tshs. 2.197 Trillions which is 66% of the Total Budget.
Lakini kwa uzoefu ujue kuwa pesa itakayopatikana ni 40% tu kutoka Hazina takribani Tshs. 0.8 T!
Kumbuka Total cost ya Mradi Ni zaidi ya Tshs. 7+ Bilioni hivo kwa hesabu hizi mpaka mradi ukamilike utachukua miaka isiyopungus 10! Jiwe ataondoka bila ya ndoto yake kukamilika!

Bora wazipeleke tu huko. Maana mwenyewe Akitoka madarakani hakutakuwa na mtu wa kuumalizia. Itakuwa ni hasara juu ya hasara.

Hasara ya awamu Hii italikocost taifa kwa miaka mingi ijayo. So far sioni mtu wa kuliokoa jahazi huko mbele. Hizi design za kina Mwigulu, Kigwangalla ni upuuzi mtupu. Bora Bashite.....!!
 
Shida sio asilimia shida ni je imetengewa sh ngapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hili neno % watu wengi wanapenda tu kulitaja lakini maana yake kiuhalisia hawalijui.

Waziri anasema bungeni, "70-80% ya wanaopimwa ni +ve wa Covid 19, na tuna visa 400..." Tafsiri yake ina maana muda wote tumepima watu 500 tu (500x80% = 400). Thats why I love figures, one needs to be smart to lie using numbers!
 
Maamuzi ya mtu mmoja as if ni private property ni hatari sana.
Akisha fanya makosa ataendelea kutulisha propaganda kuwa maamuzi yake ni sahihi kwa gharama zo zote.
Na pale akigundua kuwa ni maamuzi mabaya,na muda wa kutawala unayoyoma...........mtamalizia.
Ni kama kwenye zao la Korosho, kaharibu yeye halafu jumba bovu kamuangushia Charles Tizeba
 
Kwa kweli kwa mtu mwenye uelewa lazima tuishukuru Serikali ya awamu ya Tano. Changamoto nyingi zimerekebishwa. Mfano kukatikatika kwa umeme sasa imekuwa ni historia, Uimara ya shillingi ya Tanzania, Vituo vya Afya nchi nzima, Ubungo flyover ni machache tu yaliyotekelezwa na yanayoonekana. Mnyonge mnyongeni lakini mpeni haki yake.
Vipi demokrasia na haki za binadamu mbona huongelei hayo? au zenyewe sio mambo yanayoweza kumpa mtu sifa.
 
Hizo ndio akili za wanaojiita GT wa JF. Ndio maana chama chao hakina hata ofisi lakini wanaahidi kuwaletea wananchi maendeleleo eti wakitawala nchi! Ahahahahahah!
Nimeuliza humu mara 100 kuwa ccm hii iliishajenga ofisi wapi katika nchi hii lkn sijajibiwa.
 
Back
Top Bottom