Hili swala kuepukika ni gumu sana wengi lazima wamegane kabla ya ndoa,sidhani kama imeshawahi kutokea mwanaume akaoa kabla ya kufanya ngono na binti.
Mmmmh..kakufanyaje bebii?huyu p didy huyu mi sisemi
Mi nadhani ni muhimu kukaguana hata kama si kwa kufanya kabisa ili ujiridhishe na mali unayotaka kuuziwa au kununua. Atleast uishike ujue kama itakufaa au la. zaidi ya hapo ni kutafutiana lawama aisee.
Nna jamaa yangu yangu ana msimamo wa kutongonoka, anadai ni dhambi. Kilichomkuta, demu wake kapigwa mimba na wajanja.Hili swala kuepukika ni gumu sana wengi lazima wamegane kabla ya ndoa,sidhani kama imeshawahi kutokea mwanaume akaoa kabla ya kufanya ngono na binti.
"Sijui kama nitakuwa napatia au la. Umesema kuwa swala la kujamiiana(sex) mume na mke ni jambo ambalo vijana au wanandoa wengi ambao wapokanisani au walikulia kanisani wanaona kuwa ni kibaya hasa kutokana na ukweli kwamba sex kbal ya ndoa ni kitu kibaya na hujikuta hawana uzoefu wa mafundisho yanayowawezesha kuwa wana ndoa wazuri kwenye suala zima la mapenzi.Mimi nafikiri pia sio tu kwamba hilo limechangia pia hata jinsi ya kuanza tendo hilo,yaani siku ya kwanza mtu anapoanza kushirikitendo hilo anakutana na nini! hasa hapa nazungumzia binti, kwa sababu unakuta kijana hajapata mafundisho ya
kutosha kuhusu jambo hilo,na unakuta kwa sababu anakuwa na shauku na mwenzake anaweza akasababisha matatizo kwa yule binti kama maumivu n.k.
Sasa huoni kwamaba inakuwa ni sababu ya huyo binti kuona tendohilo kuwa ni baya?Na mara nyingi nakumbuka wale dada zetu walio kwenye ndoa na waliopitia haneymoon huwa wanatuambiaga kuwa nyie msifurahie kwenda honey moon huko kuna kuumwa(yaani maumivu).
Mimi binafsi imekuwa ikinisumbua pia kila nikifikiria juu ya hilo kama kweli ndo hali ni hiyo basi napata mawazo kwamba huko haneymoon nitaumizwa na matokeo yake nakuwa.
So huoni kuwa kweli vijana wa kiume wanaokwenda kufunga ndoa wanahitajimafundisha ya hali ya juu?"
Swali je tuwasaidie vipi vijana wetu ambao hawapati mafundisho mengi juu ya ndoa na pia suala zima la tendo la ndoa?