Asilimia 50% ya wanandoa wanaishi maisha ya upweke | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Asilimia 50% ya wanandoa wanaishi maisha ya upweke

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Apr 25, 2010.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Apr 25, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,499
  Likes Received: 5,725
  Trophy Points: 280
  Aslimia kubwa ya wanandoa wanaishi maisha ya upweke katika maisha yao
  haya yameandikwa na taasisi moja inayoshugulikia matatizo ya ndoa na
  familia kwa jumla...katika waraka wao wameainisha baadhi ya sababu zinazofanya kutoishi kwa furaha ikiongozwa na uzinzi,kutokuwa na upendo wa kweli,ubishi,majigambo,ubaili katika ndoa,na kutokuwa wazi kwenye ndoa zao na mengine mengi tu..pamoja na hayo wamebainisha katika watu wenye uvumilivu dunian basi nii waanandoa.wanandoa wengi wamekuwa wakivumiliana
  bila kujali tatizo zao na wengi imekuwa vigumu kuwajua tofauti zao mpaka pale utakapokuwa karibu nao..katika hilo waameonyesha wanandoa wengi ni wasiri kwenye matatizo yao..ndio maana ahata kama wameachana miaka 11 ukifika kwenye ndoa za watoto wao wamekuwa kitu kimoja bila kujali huyu alioa ama amelolewa na mwingine ........
  Ukipata muda zaidi wasiliana na mgedwin3@yahoo.com kupata msaada zaidi wa waraka huu....
   
 2. Oloronyo

  Oloronyo Member

  #2
  Apr 25, 2010
  Joined: Mar 29, 2009
  Messages: 80
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Eeero Pdidy,inaonyesa leo ina msuka sana? Taangia usiku wa manane unaansisha sread nyiiingi,Kiibodi za Komyuta yako zitakuwa zimekoma sasa eeh!
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  Apr 25, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,499
  Likes Received: 5,725
  Trophy Points: 280
  uwe na amani nyumbna tuko pdidy 5
  kila mmoja ana kuja kwa wakatiwake
  amani iwe kwako swala la computer masaa 24 on inapiga kazi
   
 4. P

  PELE JF-Expert Member

  #4
  Apr 25, 2010
  Joined: Dec 23, 2009
  Messages: 229
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Ni tatizo kubwa sana hili lakini halijulikani mpaka uwe karibu na mtu ambaye atakwambia kile kinachoendelea ndani ya ndoa yao. Kwa ndugu, marafiki na jamaa wengi ndoa hizi huonekana ni bomba sana hazina matatizo yoyote lakini ukweli ni kwamba kuna upweke wa hali ya juu. Nazijua baadhi ya ndoa mke hata kupelekwa outings tu siku za sikukuu, birthday n.k. hakuna wakiomba kwenda kujirusha kwenye miziki hakuna labda mpaka ndugu wang'ang'anie wanataka kutoka na shemeji yao au dada yao, vinginevyo wengi wanaozea ndani wakati mume anakula maraha ya dunia. Na hizi ndoa ukwasi si tatizo kabisa.
   
Loading...