Asilimia 20 ya watanzania hawajui kusoma na kuandika, aibu kwa taifa

Mbona hao wanaojua kusoma na kuandika wamegeuka tatizo kwa Nchi mfano Waitala na wengineo weengi tuu wasomi mnaingia mikataba ya hovyo hovyo mnakosa mapato ya kuwasomesha Wananchi baadae tena mnakuja na takwimu za wasiojua kusoma au wanaokufa kwa kukosa dawa..
 
Hivyo unataka kusema Capital N ni watanzania wote? Acha ukilaza maana unataka kusema hata mtoto wa mwaka mmoja anatakiwa awe anajua kusoma na kuandika?

Mzee kwenye research kuna swala la demographic information wakati wa ku collect sample! UNESCO sio wehu kama unavyofikiri! Beside, sielewi unabishana nini, wakati huelewi haya mambo kabisa!
 
Back
Top Bottom