Asili ya Majina ya states za Marekani na maana zake

Boeing 757

JF-Expert Member
May 18, 2020
288
612
1.ALABAMA.
Jina hili limetokana na jamii ya chactow ambao ni red Indians likimaanisha thicket clearers au vegatation - gatherers
Kwa kiswahili tunaweza sema ni wanaokusanya au kukata vichaka sehemu kwa ajili ya kuanzisha makazi.

2.ALASKA
Lina maanisha great land..au sehemu kubwa ya ardhi.

3.ARIZONA .
Jina hili Inaaminika limetokana na jamii ya wahindi Wa o'odham likimaanisha little spring au chem chem ndogo

4.ARKANSAS
limetokana na jamii ya wahindi wekundu wa quapaw haijawahi julikana linamaanisha nini.

5.CARLIFONIA
Jina hili limetokana na kitabu cha las sergas de esplandian cha Garcia ördoñez Karne ya 14 Maana yake haijulikani kisawasawa.

6.COLORADO
limetokana na neno la ki Spanish likimaanisha red au rangi nyekundu.

7.CONNECTICUT.
Limetokana na neno la kihindi "quinnehtuqkut" likimaanisha beside the long tidal River. Au kwa tafsiri isiyo rasmi ni pembezoni mwa mto mrefu wenye mawimbi.

8.DELAWARE
Limetokana na jina la mto Delaware ambao ulipewa jina na wagunduzi Thomas west na Baron de la warr.

9.FLORIDA .
Limetokana na neno la ki Spanish la "pascua florida" au feast of flowers au kwa kiswahili tunaweza kusema sherehe ya maua.

10.GEORGIA
Ni jina lilitokana na mfalme George wa pili wa uingereza.

11.HAWAII.
Inasemekana ni jina lilitokana na nyumba za kiasili za wapolinesia zinazoitwa hawaiki.

12.IDAHO
aliyebuni hili jina hajulikani na wala Maana yake haijulikani hadi sasa.

13.ILLINOIS
jina lenye asili ya wahindi wekundu lenye maana ya men of Superior tribe.

14.INDIANA.
Lina maanisha land of Indians au ardhi ya wahindi.

15.KANSAS
Limetokana na neno la jamii ya wahindi wekundu wa seoux likimaanisha people of the south wind

16.KENTUCKY
Lina maana ya land of tommorrow

17.LOUSIANA
Jina limetokana na mfalme Louis wa 14 wa Ufaransa

18.MAINE
Jina lilikuwa na maana ya kutofautisha eneo la bara na kisiwa.
Pia lina maana ya jina la henriatta Maria malkia wa mfalme Charles wa kwanza wa uingereza aliyekuwa anamiliki jimbo la mayne huko Ufaransa.

19.MARRYLAND
limetokana na heshima ya malkia hanrietta Maria mke wa mfalme Charles was kwanza wa uingereza.

20.MASSACHUSETTS .
jina hili limetokana na jamii ya native Americans wa Massachusett likiwa na maana ya great hill au kilima kikubwa.

21.MICHIGAN
jina hili limetokana na neno la kihindi la michigana likiwa na maana ya great lake au ziwa kubwa la maji .

22.MINNESOTA
neno hili limetokana na jamii ya wahindi wekundu likiwa na maana ya sky-tinted water au kwa kiswahili kisicho rasmi maji ya yenye rangi ya blue bahari.

23.MISSISSIPPI.
neno la kihindi pia lenye maana ya father of waters au Baba wa maji yote.

24.MISSOURI.
Neno la kihindi la kihindi lenye maana ya town of the large canoes
Au mji wenye ulio na Mitumbwi mikubwa.

25.MONTANA
Neno la ki Spanish likimaanisha mounti au mlima.

26.NEBRASKA
Limetokana na neno la kijamii ya ota likimaanisha flat water au maji yaliyotukia

27.NEVADA
neno lenye maana ya snow capped au
Sehemu ya mwinuko iliyofunikwa na barafu.

28.NEW HAMPSHIRE
Limetokana na county ya hampshire iliyoko huko uingereza.

29.NEW JERSEY.
Limetokana na jina la visiwa vya jersey huko uingereza.

30.NEW MEXICO.
Jina hili lina asili ya Mexico kutoka jamii ya wa Aztec likiwa na Maana ya place of mextlii au Mungu wa wa Aztec.

31.NEW YORK
Ni jina iliyopewa kutokana na kiongozi wa county ya YORK huko uingereza.

32.NORTH CAROLINA
Ni jina lililotana kwa mfalme Charles wa kwanza wa uingereza.

33.NORH DAKOTA
Ni neno lenye maana ya allies au muungano kutoka jamii ya Sioux

34.OHIO
Neno lenye maana ya great river au mto mkubwa

35.OKLAHOMA
Jina hili limetokana na jamii ya wahindi wekundu wa Choctaw likimaanisha red people au watu wenye rangi nyekundu.

36.OREGON
Jina hili hakijulikani asili yake lakini lilitumika kwa mara ya kwanza na afisa wa kijeshi wa uingereza Jonathan Carver

37.PENSSYLVANIA.
Jina hili limetokana kutokana na heshima ya sir William penn likimaanisha penn's wood land

38.RHODE ISLAND
Jina hili limetokana na kisiwa cha Rhode kilichopo huko ugiriki.

39.SOUTH CAROLINA
ni jina lilitokana na heshima ya mfalme Charles wa kwanza wa uingereza.

40.SOUTH DAKOTA
Neno lenye asili ya jamii ya Sioux likiwa na maana ya allies au muungano.

41.TENNESSEE
jina hili limetokana na jamii ya Cherokee na Maana yake Haijawahi kujulikana.

42.TEXAS
neno hili lina asili ya jamii ya wahindi wekundu likiwa na maana ya friends au marafiki.

43. UTAH
Neno limetokana na kabila la ute wenye asili ya jamii ya wahindi wekundu likiwa na maana ya people of the mountain.. au watu wa milimani.

44.VERMONT
neno la kifaransa lenye maana ya green mountain au mlima wenye rangi ya kijani.

45.VIRGINIA.
Jina hili limetokana na heshima ya malkia Elisabeth wa uingereza aliyekuwa bikira wakati huo.

46.WASHINGTON
Ni jina lililotokana na George Washington baba wa taifa la Marekani.

47.WEST VIRGINIA
Jina limetokana na malkia Elisabeth wa uingereza aliyekuwa bikira wakati huo.

48.WISCONSIN
Neno lenye maana ya french corruption

49.WYOMING

Jina hili lina maana ya mountains and valleys alternating au kwa kiswahili unasema sehemu iliyotengwa na bonde na milima.

Source: Ni fact monster.com
 
Ni jimbo zuri kwa kuishi na kufanya kazi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asee sijajua mdau.
Ila kuna jamaa mmoja alishasema Marekani Kazi zipo nje nje we sema aslimia kubwa ya waafrika wakienda kule wanaendekeza sana starehe utadhani wao ndio wenyeji ndio maana wakati mwengine wanadharaulika. Ila jamaa alikuwa anasema ukiwa wa kujituma kwenye kazi ukiwa kule utaishi maisha safi sana Yaani
 
Mkuu uko vizuri,hii corona iishe watu tusafiri bana,naimiss sana U S
 
Washington DC?
 
kila mahali wahindi wekundu kwani leo wako wapi haoo ?
 
Kuna Washington na Washington DC
Refer namba 46.
Washington d.c Ni makao makuu ya taifa la Marekani . Hiyo d.c ikiwa na maana ya district of Colombia Ni eneo dogo lilipo katikati ya Maryland na Virginia .
Ila Washington YENYEWE ni state iliyopo kaskazini ya magharibi ya Marekani.
Jina moja ila maeneo tofauti ndani ya Marekani.
 
Back
Top Bottom