Unachekesha, mkuu. Katika historia huwezi kukwepa chochote ingawa watu wanajaribu mara kwa mara. Hujui Waarabu walikaa kwenye maeneo ya Tanzania kabla kuwepo kwa makabila mengi, maana walifika zaidi ya miaka 1000 iliyopita. Kuna jamii ngapi wanaoweza kusema kwa uhakika walikuwepo wakati ule? Hasa mababu wa Wabantu walianza kusambaa maeneo ya Tanzania baada ya mwaka 1000 tu, wakati Waarabu walipatikana tayari kwenye miji ya pwani.Aaaah kwa hiyo ni kweli huyu Jamaa, mwenye asili ya kihindi ndiye alishinda hayo mashindano na ndie aliyeipa hii nchi jina Tanzania? oopsss, history yetu inaonyesha hatuwezi kukwepa uhindi na uarabu uliokuwepo hapa kwetu, kwani hata Dar es Salaam nasikia ni kiarabu pure.
Tuna tatizo la utunzaji kumbukumbu. Hapo utashangaa watatokea zaidi ya mtu mmoja,kila mmoja akidai ni yeye.Jee ni kweli Mohamed Iqbal Dar, mwenye asili ya kihindi, aliyekuwa akiishi Tanga, mnamo mwaka 1964 ndiye aliipa nchi yetu jina zuri la "Tanzania".
Kama ni kweli huyu mtu yuko wapi kwa sasa?
Na serikali yetu inaweka kumbu-kumbu gani za kihistoria kwa huyu mtu kwa vizazi vijavyo? ili vipate kujuwa nani aliipa nchi hii jina lake.
Au mchango wake hauna maana yeyote, ni jina tuu, kwa hiyo potelea mbali?
Nadhani hata vizazi vya sasa, ambavyo havipo mbali 1964 hatuna uhakika na ndio maana tunauliza.
Naomba anaejuwa kuhusu hilo atuelimishe.
================
UPDATE:
October 22, 2012
Kwa sababu tutakuwa na somo la Historia ya Tanzania, hiz kumbukumb ziwekwe kwenye somo hiloJee ni kweli Mohamed Iqbal Dar, mwenye asili ya kihindi, aliyekuwa akiishi Tanga, mnamo mwaka 1964 ndiye aliipa nchi yetu jina zuri la "Tanzania".
Kama ni kweli huyu mtu yuko wapi kwa sasa?
Na serikali yetu inaweka kumbu-kumbu gani za kihistoria kwa huyu mtu kwa vizazi vijavyo? ili vipate kujuwa nani aliipa nchi hii jina lake.
Au mchango wake hauna maana yeyote, ni jina tuu, kwa hiyo potelea mbali?
Nadhani hata vizazi vya sasa, ambavyo havipo mbali 1964 hatuna uhakika na ndio maana tunauliza.
Naomba anaejuwa kuhusu hilo atuelimishe.
================
UPDATE:
October 22, 2012
Mmh mbona umejaa chuki yani hutaki kukubali ukweli sasa ukubali ukatae huo ndo ukweli Jina la Tz imetokana na majina ya Tanganyika, Zanzibar na kiunganishi ilikuwa ni jina la alie unda Jina hilo nimesahau ni nani hasa ila miongoni wa watu waliopendekeza Jina la taifa letu ni huyo mzee na chaku shangaza hayupo kwenye historia wala kumbukumbu yoyote. Nilipata kufahamu hili miaka 12 iliyopita ni watu wachache sana nadhani hii imefanyika kutunza legacy ya wapigania uhuru kwa maana huyu angeleta contradictions kwenye legacy ya sisiem hahahahaJina Tanzania limetokana na Takanyika na Nzanzibar. Majina yeto haya yametoka kwa Wasambaa na si mtu yeyote ambaye anataka kudanganya kupata credit.
Aaaah kwa hiyo ni kweli huyu Jamaa, mwenye asili ya kihindi ndiye alishinda hayo mashindano na ndie aliyeipa hii nchi jina Tanzania? oopsss, history yetu inaonyesha hatuwezi kukwepa uhindi na uarabu uliokuwepo hapa kwetu, kwani hata Dar es Salaam nasikia ni kiarabu pure.
You are both right
Jambo muhimu ni root ya jina TanZan. Hiyo ia ya mwisho mara nyingi humalizia majina ya nchi/sehemu kama Patagonia, Manchuria, Bavaria, Italia etc.
Katika siku ya muungano 1964 Marehemu Idris Abdul Wakil ambaye wakati huo alikuwa Waziri wa Utalii alipewa dhamana ya kutoa shindano la kutafuta jina la nchi, ndiyo inasemekana huyu bwana akatoa Tanzania likapitishwa, lakini ukisoma magazeti yaliyotokea kutoa siku za mapinduzi mpaka muungano nchi ilikuwa tayari inaitwa Tanzan, kwa hiyo mi sioni alichofanya sana zaidi ya kuongeza hiyo ia ambayo nayo siyo creative sana kwa sababu inajulikana kuwa hiyo suffix ya -ia inatumika dunia nzima kumaanisha nchi ya.
Business Times - News for business owners
Business Times - News for business owners
Hii sijawahi isikia popote.Jee ni kweli Mohamed Iqbal Dar, mwenye asili ya kihindi, aliyekuwa akiishi Tanga, mnamo mwaka 1964 ndiye aliipa nchi yetu jina zuri la "Tanzania".
Kama ni kweli huyu mtu yuko wapi kwa sasa?
Na serikali yetu inaweka kumbu-kumbu gani za kihistoria kwa huyu mtu kwa vizazi vijavyo? ili vipate kujuwa nani aliipa nchi hii jina lake.
Au mchango wake hauna maana yeyote, ni jina tuu, kwa hiyo potelea mbali?
Nadhani hata vizazi vya sasa, ambavyo havipo mbali 1964 hatuna uhakika na ndio maana tunauliza.
Naomba anaejuwa kuhusu hilo atuelimishe.
================
UPDATE:
October 22, 2012
Acha kufanya mzaha kwa vitu vya msingi !!! Try to be maturedJina Tanzania limetokana na Takanyika na Nzanzibar. Majina yeto haya yametoka kwa Wasambaa na si mtu yeyote ambaye anataka kudanganya kupata credit.