Makunduchi ipo Zanzibar iro jina linatokana na wavuvi enzi ya utawara wa kisultwani walikuwa wakipenda sana kuanika nyavu zao na kuzishona huku wakiwa wamevaaa misuri ire rain a wengine mapajama mithiri ya mwanamke aliye vaa khanga moko unajuwa msuri ukirowa na zire nyavu zina maji maji inaperekea misuri kuwavuka na walikuwa awajari at a ikiwavuka wanaendelea na kazi yao kwaiyo mahala pare pakaitwa makunduchi
Asante mkuu kwa taarifa
 
Nyegezi=Bunegeji kwa kisukuma
mjerumani alishindwa kuitaja kwa ufasaha akaitamka Nyegezi jina likapita tafuta msukuma yeyote yule muulize stendi kuu ya mabasi ya mikoani iko wapi bila shaka lugha nyepesi ni NEGEJI
 
1.Magomeni-enzi hizo kulikua na miti mingi watu wakawa wanafata magome ya miti pakaitwa magomeni
2.ILALA-kutokana na makaburi ya pale karume kila siku watu wakienda kuzika wanaimba LAILA HA ILALA ikawa ilala
3.UBUNGO- kutoka na matunda ya mabungo kuwa mengi eneo hilo ikawa ubungo
4.kariakoo- magari ya kubebea mizigo enzi hizo yaliyokua yanaleta bidhaa sokoni kariakoo yalikua yanaitwa Carrie cobs -ikawa karia koo
5.MAGOMENI USALAMA.-Kutokana na kituo cha polisi na nyumba ya rais nyerere maeneo yale pakawa sehemu salama
6.SHEKILANGO-kutokana na ajili iliyotokea barabara hiyo miaka hiyo ikapoteza maisha ya waziri fulani aliyekuwa anaitwa sheikh kilango
7.KAWE-Kutokana na ng'ombe wengi kupita njia ya kawe kwenda Tanganyika packers njia hiyo ikaitwa cow ways ikawa kawe
8.kijitonyama-nyama zilizotoka tanganyika packers zilikua zinauzwa kwa mnada maeneo hayo ikawa kijito cha nyama(kijito nyama)
9.Msasani-Musa Hasani
10.MIKOCHENI-michael chen
11.Posta- ofisi kubwa za shirika la posta zilizopo pale

Ongeza majina kadhaa tuzidi kupata elimu juu ya asili ya majina ya maeneo mbalimbali
 
Babati-mtoto aliulizwa na wajerumani wakati wa ujenzi wa barabara kwa uoga akasema Baba-ti (akiwa na maana Baba huyu hapa)
 
1.Magomeni-enzi hizo kulikua na miti mingi watu wakawa wanafata magome ya miti pakaitwa magomeni
2.ILALA-kutokana na makaburi ya pale karume kila siku watu wakienda kuzika wanaimba LAILA HA ILALA ikawa ilala
3.UBUNGO- kutoka na matunda ya mabungo kuwa mengi eneo hilo ikawa ubungo
4.kariakoo- magari ya kubebea mizigo enzi hizo yaliyokua yanaleta bidhaa sokoni kariakoo yalikua yanaitwa Carrie cobs -ikawa karia koo
5.MAGOMENI USALAMA.-Kutokana na kituo cha polisi na nyumba ya rais nyerere maeneo yale pakawa sehemu salama
6.SHEKILANGO-kutokana na ajili iliyotokea barabara hiyo miaka hiyo ikapoteza maisha ya waziri fulani aliyekuwa anaitwa sheikh kilango
7.KAWE-Kutokana na ng'ombe wengi kupita njia ya kawe kwenda Tanganyika packers njia hiyo ikaitwa cow ways ikawa kawe
8.kijitonyama-nyama zilizotoka tanganyika packers zilikua zinauzwa kwa mnada maeneo hayo ikawa kijito cha nyama(kijito nyama)
9.Msasani-Musa Hasani
10.MIKOCHENI-michael chen
11.Posta- ofisi kubwa za shirika la posta zilizopo pale

Ongeza majina kadhaa tuzidi kupata elimu juu ya asili ya majina ya maeneo mbalimbali
Sidhani kama Shekilango na Kariakoo ni sahihi!
 
Similar Discussions

7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom