Asili na Chimbuko la Makabila Yote Tanzania na Africa

Tutapata historia ya ukweli kwa kucheki DNA zetu na kulinganisha na jamii zingine duniani kimfanano na kuoanisha na hadithi za wazee wetu kuhusu walichoambiwa na wazee wao waliotokea wapi, endapo zikifanana hapo ndo tutapata historia za kweli na sio hizi za kuandikwa na wakuja wa mabara mengine na sisi kuzitumia na kumezeshana sumu kana kwamba tumezifanyia utafiti
 
Mfano wa hizi wa sumu ni hivi hapa umeandikwa asili yangu ni nigeria na cameroon wakati kuna uzi umu umu uliwai kusema ni misri ya zamani umu ndani mnasema mimi n mbantu pure wakati ukiingia google kuna waswahili wengine wanasema majority ya kabila langu si wabantu ila nikimuuliza shangazi yangu ananiambia yeye aliambiwa na wazee wake kuwa wazee wao walitokea burundi ila baba ye anasema anajua wazee wao wametokea misri ya zamani yaani ni utata tupu kuhusu hizi historia zisizo na uthibitisho wa kisayansi........DNA itasaidia sana watanzania kujua historia
 
Ushahidi wa kimaumbile kwa kuangalia kwa macho tu nayo ni shida mfano warugulu wao ni wafupi na wengi wao ni miili midogo , wakurya wao ni warefu wembamba , wanyakyusa wao ni vimo vya wastani na wapana sasa hawa wote ni wabantu mbona hakuna mfanano wa kimaumbile??
 
Tutapata historia ya ukweli kwa kucheki DNA zetu na kulinganisha na jamii zingine duniani kimfanano na kuoanisha na hadithi za wazee wetu kuhusu walichoambiwa na wazee wao waliotokea wapi, endapo zikifanana hapo ndo tutapata historia za kweli na sio hizi za kuandikwa na wakuja wa mabara mengine na sisi kuzitumia na kumezeshana sumu kana kwamba tumezifanyia utafiti

Kw Africa sijuhi kama limefanyia hilo
 
Watutsi sio Nilotic mkuu,hao ni jamii moja na Wambulu,wahabesha.
Nilotic ni kina Maasai kama ulivyosema,Wajaluo,Wale wa Sudan Kusini, na kina Idi Amin Dada.Asante.
Hahaaaa Idd Amin tangu lini alikuwa mnilote ?
 
Wengi walishuka kutoka Misri na Israel Wengine wakaenda west nigeria huko na wengine walishuka na nile mpka chini huku wakizaliana njiani na hamites waliokutana nao...Most of them waliotoka israel walikuwa na tamaduni za kutahiri tofauti na hamites ambao walikuwa hawana taratibu za kutahiri...walijifunza tu kwa hawa walishuka kitoka huko north/middle east....
Nadhani wachaga wakikuyu makabila ya arusha na kilimanjaro ni jamii moja ya cushites pamoja na waethiopia achana na hawa hybrid ya ubakaji wa Arabs naongelea ethipians black kabisa
 
Bantu = abantu = watu

hizo ni lugha 3 zenye maana 1

huku wajinga wa south afrika wanauwa wenzao ...
 
We Maasai people and other Nilotic backgrounds come from Israel through egypt
 
Mfano wa hizi wa sumu ni hivi hapa umeandikwa asili yangu ni nigeria na cameroon wakati kuna uzi umu umu uliwai kusema ni misri ya zamani umu ndani mnasema mimi n mbantu pure wakati ukiingia google kuna waswahili wengine wanasema majority ya kabila langu si wabantu ila nikimuuliza shangazi yangu ananiambia yeye aliambiwa na wazee wake kuwa wazee wao walitokea burundi ila baba ye anasema anajua wazee wao wametokea misri ya zamani yaani ni utata tupu kuhusu hizi historia zisizo na uthibitisho wa kisayansi........DNA itasaidia sana watanzania kujua historia
Jiulize inakuaje diallo ni majina ya watu wa West Africa lkn hapohapo kuna wasukuma wanaitwa Diallo hivyo hivyo,it's complicated.
 
Jiulize inakuaje diallo ni majina ya watu wa West Africa lkn hapohapo kuna wasukuma wanaitwa Diallo hivyo hivyo,it's complicated.
Kuna mchezaji mpira mzimbabwe anaitwa KHAMA BILIATI, majina ya kina KHAMA yanapatikana pia TANGA tz.
 
Nimelisema hili miaka mingi. Hakuna anaeelewa.

Wenyeji wa pwani ya Afrika Mashariki kina nani?
 
Watutsi wana chembe chembe za ubantu lakin asili yao hasa wanatokea Northern Africa. Ndo maana unaona wamefanana na wamasai au wa'soutj sudan. Warefu wembaba na pua nyembamba.

Nilo-Saharan languages - Wikipedia

Mkuu mbona sasa hawa watutsi lugha yao ni kama kibantu kabisa na haina mfanano wowote na ile ya kimasai au zile za kinilotics kama hata kimburu kidogo hata kimatamshi ni tofauti sana,mfano neno nakupenda watutsi wanasema ndagushima wakati wamasai kutamka tu ni balaa zito
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom