Kanali G
JF-Expert Member
- Oct 21, 2013
- 9,902
- 14,377
Ni kweli mkuu hata ukiangalia movie zao za kilugha (king'amuzi cha dstv) chanel no 159 na 157 Kiyoruba na Ki igbo kuna maneno mengi kama ya makabila yetu, but hujasema inter marriage ya Pygymy ilisababisha kutokea kwa kabila gani?Wanigeria nao ni wabantu kama wachaga, wasukuma, wagogo, wanyakyusa, wazulu, wangoni n. k