Asili na Chimbuko la Makabila Yote Tanzania na Africa

Gide MK

Gide MK

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2013
Messages
6,617
Points
2,000
Gide MK

Gide MK

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2013
6,617 2,000
Wanigeria nao ni wabantu kama wachaga, wasukuma, wagogo, wanyakyusa, wazulu, wangoni n. k
Ni kweli mkuu hata ukiangalia movie zao za kilugha (king'amuzi cha dstv) chanel no 159 na 157 Kiyoruba na Ki igbo kuna maneno mengi kama ya makabila yetu, but hujasema inter marriage ya Pygymy ilisababisha kutokea kwa kabila gani?
 
ngosha wa mwanza

ngosha wa mwanza

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2015
Messages
810
Points
1,000
ngosha wa mwanza

ngosha wa mwanza

JF-Expert Member
Joined Feb 23, 2015
810 1,000
inadaiwa asili yao hawa walikuwa wakulima na walikuja wakiufutilia mto nile
Huyo mzee kwenye kabila la wasukuma na wanyamwezi kakudanganya ..huyo mnyamwezi ni msukuma na ktk wasukuma ndo unapata wanyamezi..kumbuka ktk wasukuma kuna matabaka km matatu au manne kutokana na mda sina nitakuja kukutajia aina za wasukuma
Binadamu wa kwanza kabisaaa alitokea East Africa maeneo ya Serengeti Plains na Olduvai kama miaka milion mbili iliyopita.

Baada ya hapo walianza migration kwenda sehemu nyingine dunian.
 
Mwanamayu

Mwanamayu

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2010
Messages
9,045
Points
2,000
Mwanamayu

Mwanamayu

JF-Expert Member
Joined May 7, 2010
9,045 2,000
Binadamu wa kwanza kabisaaa alitokea East Africa maeneo ya Serengeti Plains na Olduvai kama miaka milion mbili iliyopita.

Baada ya hapo walianza migration kwenda sehemu nyingine dunian.
Je, kwa maana hiyo, hao Bantu people kutoka Nigeria na Camerron na kuingia South na East Africa wamerudi kwao?
 
Mgboss

Mgboss

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Messages
498
Points
500
Mgboss

Mgboss

JF-Expert Member
Joined Jul 7, 2016
498 500
exodus (bantu migration). ndio asili yetu
 
shiu yang

shiu yang

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2016
Messages
2,551
Points
2,000
shiu yang

shiu yang

JF-Expert Member
Joined Sep 16, 2016
2,551 2,000
Na hapa, Tanzania wenye asili ya hapa haswa ni Nani manake haiwezekani tu hao wacameroon na wanaigeria watoke huko walipotoka na wasikute watu wowote waliokuwa na asili ya Tanzania, naamini kipindi hicho Tanzania haikuwa tupu, ilikaliwa na Nani????
Wakati huo Tanzania Wala Tanganyika haikuwepo mkuu iliyokuwepo Ni unknown land.
 
U

umumbati

Senior Member
Joined
Mar 23, 2017
Messages
180
Points
250
U

umumbati

Senior Member
Joined Mar 23, 2017
180 250
Kama unasema binadamu wa kwanza alitokea East Africa basi ile bustani ya Eden ipo E. Africa? Hayo ni mambo ya uumbaji katika Biblia
Katika kuelezea asili ya binadamu, huwa zinatumika theories mbili, moja ni ya God creation, na ya pili ni Evolution of man, yaani slow change, from primates to human being according to the changing environment of that time
 
U

umumbati

Senior Member
Joined
Mar 23, 2017
Messages
180
Points
250
U

umumbati

Senior Member
Joined Mar 23, 2017
180 250
Na hapa, Tanzania wenye asili ya hapa haswa ni Nani manake haiwezekani tu hao wacameroon na wanaigeria watoke huko walipotoka na wasikute watu wowote waliokuwa na asili ya Tanzania, naamini kipindi hicho Tanzania haikuwa tupu, ilikaliwa na Nani????
Watu wa asili kabisa Tanzania ni wahazhabe na wasandawe, hawa ndo native people of Tanzania, kwa South Africa ni San na Khosa people ndo maana san-dawe na San majina yao yanaendana, na wanapatikana cental part of Tanzania
 
mpiga domo

mpiga domo

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2013
Messages
833
Points
1,000
mpiga domo

mpiga domo

JF-Expert Member
Joined Apr 30, 2013
833 1,000
Watu wa asili kabisa Tanzania ni wahazhabe na wasandawe, hawa ndo native people of Tanzania, kwa South Africa ni San na Khosa people ndo maana san-dawe na San majina yao yanaendana, na wanapatikana cental part of Tanzania
mkuu upo sawa sawa kabisa.

Wahadzabe inasemekana wameishi hapa miaka zaidi ya elfu 50 iliyopita. Na hata historia yao inaonyesha hawajawah hama hapa kwenda sehemu nyingine au kutokea sehemu nyingine.

Wabantu wa mwisho kuhamia walihamia miaka 500 iliyopita lakin wa kwanza kuhamia hapa walikua Cushitic ambao walitokea Somali na Misri kusini hawa ni wambulu. Wa mwisho kabisa kuhamia hapa walikua Nilotic ambao ni wamasai.
 
lun

lun

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2017
Messages
617
Points
1,000
lun

lun

JF-Expert Member
Joined Nov 18, 2017
617 1,000
Inachanganya kidogo kwa hyo oldvai gauge waliiishi wanigeria na wacameroon
 
Q

Qaymo moja

Senior Member
Joined
Sep 1, 2017
Messages
133
Points
225
Q

Qaymo moja

Senior Member
Joined Sep 1, 2017
133 225
Mada nzuri but wachangiaji wengine wanatoa through stories not facts mshanipoteza hapa
 
Optimus_Prime

Optimus_Prime

Senior Member
Joined
Nov 14, 2017
Messages
100
Points
250
Optimus_Prime

Optimus_Prime

Senior Member
Joined Nov 14, 2017
100 250
Wrong, Simba ni jamii ya Paka na Simba ndio Paka mkubwa kuliko wote duniani,

Kuna tofauti kati ya Jamii na chimbuko, sidhani kama Paka anaweza kuzaa Simba au Simba anaweza kuzaa Paka.

Hao hao wanasayansi wanasema Binaadamu ni jamii ya mnyama kwa maana tunashabihiana vitu flani flani.

Still hujajibu maswali yangu, kama Binaadamu root yake ni Nyani kwann Nyani wapo?? na kama Baba yetu ni Bakteria huyo Bakteria katokea wapi???
Paka mkubwa kuliko wote duniani sio simba. The largest cat in the world is the Tiger, Siberian Tiger.
 
Z

z12f

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2017
Messages
327
Points
250
Z

z12f

JF-Expert Member
Joined Dec 4, 2017
327 250
Hapo kale nchi za afrika kaskazini zilikua za watu weusi. Waafrika weusi wa leo ndio uzao wa Ham (Mizraim, Cush and Phut). Leo hii wa canaan ni wachache sana au hawapo kabisa kwasababu wengi wao sana walishakufa zamani sana. Mizraim ni ancient Egypyt (wamisri wa kale), Cush ni ancient Ethiopia and Phut ni ancient Libya. Wahabeshi wa leo ni machotara wa kiafrika na kiarabu na hivyo hivyo wasomali. Uchotara huu unaweza ukawa wa miaka zaidi ya 2000.

Kibantu na ubantu ni very complex. Lugha ya kibantu ilikua lugha kuu (lingua franca) ya himaya hizo za kale za watu weusi kwa kipindi fulani kirefu sana. Kuna wabantu ambao ni ancient Egyptians, kuna wabantu ambao ni ancient Ethiopians na kuna wabantu ambao ni ancient Libyans. Kuna sehemu ya maneno ya kibantu ambayo ni maneno yaliyo tumiwa na Kizazi cha Noah kabla ya lugha kugawanywa kwenye mnara wa Babel.

Wabantu huenda inamaanisha watoto wa anu na antu, ambao ni miungu ya uwongo ya ancient Sumeria. Ancient Sumeria ipo Sehemu ya Iraq ya leo. Kumbuka kwamba himaya kama Assyria na Babylon zilikua na hamitic phase (Nimrod and company) na Semitic phase Senacherib na Nebuchadnezzar and company.

Makabila ambayo ni pure wafugaji kama wamasai ni direct vitukuu wa ancient Cush (ancient Ethiopians). Kuna uwezekano wamasai ni ancient sabeans, ancient sabeans ni sub-category ya ancient cush. Ancient Ethiopia ni Sudan ya leo, ingawa kuna vipindi vya kale zaidi ambapo ilikua pia sehemu za Iraq, sehemu ya Saudia na Yemen, saa ingine hadi sehemu ya India na sehemu ya cambodia.

Makabila ambayo yanachanganya kilimo na ufugaji na yana ishi karibia na mto Nile au Lake Victoria kama Waluo hawa watakua ancient Egyptians au ancient ethiopians. Kuna wabantu ambao ni ancient Egyptians (hususan wale wa river Nile and Lake Victoria area kama wahaya, wabaganda). Wachagga, Wakikuyu na Wakamba wanaweza kua ancient Egyptians au ancient Libyans, lakini kuna probability kubwa wakawa ancient Libyans. Mataifa ya ancient Libya, Egypt na Ethiopia yalikua na muingiliano mkubwa. Kuna vipindi virefu sana ambvyo mafarao wa Ethiopia na Libya walitawala Misri and vice-versa.

Kuna jamii za waafrika weusi (especially wamisri wa kale) ambazo huko zamani sana walikua wanamchukia na wanabishana sana na Mungu wa Israel (na watakatifu wake) na walikua na akili sana, mafanikio sana, utajiri mwingi sana na kiburi sana. Pia walikua wanapenda sana sensual sins.

Ina sadikika kwamba kutokana na ubishi na kiburi cha hawa jamaa, Mungu wa Israel ali waadhibu waafrika weusi kwa kuwashusha chini sana sana kimaendeleo kwa kipindi kirefu sana sana mpaka leo hii afrika haija recover sawa sawa. Kushushwa huko kulipelekea kuja kwa ukoloni, utumwa na kukaliwa kwa afrika kaskazini na watu wa jamii ya kiarabu (waarabu weupe, wa-semites).

Ham ndo alikua mtoto wa kwanza wa kuzaliwa na Noah, Shem alikua wa pili, Japheth alikua watatu. Canaan ndie aliefanya kosa lile, Noah akamlaani Caanan. Akampa Shem haki za mtoto wa kwanza na akambariki Japheth pia, Ham hakutajwa kwenye Baraka zile, lakini pia hakulaaniwa. So ikawa Shem, Ham and Japheth. Na Yesu akaja kupitia uzao wa Shem, Abraham, Isaac na Jacob. So the right of the first born son and the holy and royal line of the priest hood aliipata Shem. Wakristo kupitia Yesu ni warithi wa kiroho wa hiyo right of first born. Yesu alizaliwa during the Feast of Tabernacles.

Japheth ni baba wa wazungu na Shem ni baba wa waebrania (waisraeli wa zamani), waarabu weupe na mataifa ya mashariki ya kati. Baada ya Kutawanywa kwa wajenzi wa mnara wa Babeli, Mungu wa Israel aliunda mataifa 70 ambayo yalitokana na Shem, Ham na Japheth. Na watu wote walioko duniani leo ni vitukuu vya hayo mataifa 70.

Utawala wa 'masiya wa kisiasa' wa Tanzania utakua na tabia zifuatazo
 
N

ndeambase

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2016
Messages
626
Points
500
N

ndeambase

JF-Expert Member
Joined Sep 30, 2016
626 500
Na ukiangalia ni kweli lafudhi za Wanaigeria zinafanana na za wachaga wasikilize tu mkuu hao Wanaigeria
 
culture gal

culture gal

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2017
Messages
6,938
Points
2,000
culture gal

culture gal

JF-Expert Member
Joined May 24, 2017
6,938 2,000

Hii nayo kali aiseee..... watu weusi walilaaniwa na Mungu wa Israel!!?? mpaka leo Africa haija recover?? hahaha sasa mbona si Biblia si Qur'an imeelezea juu ya hiyo historia?? wewe umeitoa wapi?

Na mbona hapo naona tu historia ya waafrika, waarabu na waebrania..... sijamuona Muzungu hao kipindi chote hicho alikua bado hajazaliwa?? lol... na je yeye ametokana na nani katika uzao wa hao watoto watakatifu.

Halafu sijaelewa kwani Noah na Abraham nani alianza kuja duniani???
 
bukoba boy

bukoba boy

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2015
Messages
5,321
Points
2,000
bukoba boy

bukoba boy

JF-Expert Member
Joined Jan 15, 2015
5,321 2,000
Watutsi sio Nilotic mkuu,hao ni jamii moja na Wambulu,wahabesha.
Nilotic ni kina Maasai kama ulivyosema,Wajaluo,Wale wa Sudan Kusini, na kina Idi Amin Dada.Asante.
 
Lee

Lee

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2013
Messages
32,621
Points
2,000
Lee

Lee

JF-Expert Member
Joined Jul 31, 2013
32,621 2,000
Hapo kale nchi za afrika kaskazini zilikua za watu weusi. Waafrika weusi wa leo ndio uzao wa Ham (Mizraim, Cush and Phut). Leo hii wa canaan ni wachache sana au hawapo kabisa kwasababu wengi wao sana walishakufa zamani sana. Mizraim ni ancient Egypyt (wamisri wa kale), Cush ni ancient Ethiopia and Phut ni ancient Libya. Wahabeshi wa leo ni machotara wa kiafrika na kiarabu na hivyo hivyo wasomali. Uchotara huu unaweza ukawa wa miaka zaidi ya 2000.

Kibantu na ubantu ni very complex. Lugha ya kibantu ilikua lugha kuu (lingua franca) ya himaya hizo za kale za watu weusi kwa kipindi fulani kirefu sana. Kuna wabantu ambao ni ancient Egyptians, kuna wabantu ambao ni ancient Ethiopians na kuna wabantu ambao ni ancient Libyans. Kuna sehemu ya maneno ya kibantu ambayo ni maneno yaliyo tumiwa na Kizazi cha Noah kabla ya lugha kugawanywa kwenye mnara wa Babel.

Wabantu huenda inamaanisha watoto wa anu na antu, ambao ni miungu ya uwongo ya ancient Sumeria. Ancient Sumeria ipo Sehemu ya Iraq ya leo. Kumbuka kwamba himaya kama Assyria na Babylon zilikua na hamitic phase (Nimrod and company) na Semitic phase Senacherib na Nebuchadnezzar and company.

Makabila ambayo ni pure wafugaji kama wamasai ni direct vitukuu wa ancient Cush (ancient Ethiopians). Kuna uwezekano wamasai ni ancient sabeans, ancient sabeans ni sub-category ya ancient cush. Ancient Ethiopia ni Sudan ya leo, ingawa kuna vipindi vya kale zaidi ambapo ilikua pia sehemu za Iraq, sehemu ya Saudia na Yemen, saa ingine hadi sehemu ya India na sehemu ya cambodia.

Makabila ambayo yanachanganya kilimo na ufugaji na yana ishi karibia na mto Nile au Lake Victoria kama Waluo hawa watakua ancient Egyptians au ancient ethiopians. Kuna wabantu ambao ni ancient Egyptians (hususan wale wa river Nile and Lake Victoria area kama wahaya, wabaganda). Wachagga, Wakikuyu na Wakamba wanaweza kua ancient Egyptians au ancient Libyans, lakini kuna probability kubwa wakawa ancient Libyans. Mataifa ya ancient Libya, Egypt na Ethiopia yalikua na muingiliano mkubwa. Kuna vipindi virefu sana ambvyo mafarao wa Ethiopia na Libya walitawala Misri and vice-versa.

Kuna jamii za waafrika weusi (especially wamisri wa kale) ambazo huko zamani sana walikua wanamchukia na wanabishana sana na Mungu wa Israel (na watakatifu wake) na walikua na akili sana, mafanikio sana, utajiri mwingi sana na kiburi sana. Pia walikua wanapenda sana sensual sins.

Ina sadikika kwamba kutokana na ubishi na kiburi cha hawa jamaa, Mungu wa Israel ali waadhibu waafrika weusi kwa kuwashusha chini sana sana kimaendeleo kwa kipindi kirefu sana sana mpaka leo hii afrika haija recover sawa sawa. Kushushwa huko kulipelekea kuja kwa ukoloni, utumwa na kukaliwa kwa afrika kaskazini na watu wa jamii ya kiarabu (waarabu weupe, wa-semites).

Ham ndo alikua mtoto wa kwanza wa kuzaliwa na Noah, Shem alikua wa pili, Japheth alikua watatu. Canaan ndie aliefanya kosa lile, Noah akamlaani Caanan. Akampa Shem haki za mtoto wa kwanza na akambariki Japheth pia, Ham hakutajwa kwenye Baraka zile, lakini pia hakulaaniwa. So ikawa Shem, Ham and Japheth. Na Yesu akaja kupitia uzao wa Shem, Abraham, Isaac na Jacob. So the right of the first born son and the holy and royal line of the priest hood aliipata Shem. Wakristo kupitia Yesu ni warithi wa kiroho wa hiyo right of first born. Yesu alizaliwa during the Feast of Tabernacles.

Japheth ni baba wa wazungu na Shem ni baba wa waebrania (waisraeli wa zamani), waarabu weupe na mataifa ya mashariki ya kati. Baada ya Kutawanywa kwa wajenzi wa mnara wa Babeli, Mungu wa Israel aliunda mataifa 70 ambayo yalitokana na Shem, Ham na Japheth. Na watu wote walioko duniani leo ni vitukuu vya hayo mataifa 70.

Utawala wa 'masiya wa kisiasa' wa Tanzania utakua na tabia zifuatazo
Nimekupataa vilivyo

Thanks
 
steveachi

steveachi

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2011
Messages
5,512
Points
2,000
steveachi

steveachi

JF-Expert Member
Joined Nov 7, 2011
5,512 2,000
Watu wa asili kabisa Tanzania ni wahazhabe na wasandawe, hawa ndo native people of Tanzania, kwa South Africa ni San na Khosa people ndo maana san-dawe na San majina yao yanaendana, na wanapatikana cental part of Tanzania
mkuu ina maana tanzania nzima ilivyo kubwa hivi wenye asili ya tz ndio wawe wao tu,huko kwingine kulikuwa hakukaliwi na watu kabla ya hao wacameroon na wanigeria kufika tz??
 
edwin george

edwin george

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2016
Messages
1,225
Points
2,000
edwin george

edwin george

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2016
1,225 2,000
Heri ya Mwaka Mpya Great Thinkers,

Leo nimeamua kuja na huu uzi mahususi kwasababu ni mwisho wa mwaka na wengi wetu tunapenda kurudi makwetu. Wapare na Wachaga wataenda kwao Kilimanjaro, Wameru, Wambulu na Wamasai wataenda kwao Manyara na Arusha. Wasukuma, Wahaya na Wanyamwezi wataenda kwao Shinyanga, Bukoba, Tabora na Mwanza. Vile vile ndugu zetu Wanyakyusa watarud kwao Mbeya n. k nk. Kwahyo si vibaya tukajua sisi wote chimbuko letu ni nini hasa.

Lakini wengi wetu tumekua tukijivunia kurud ma'kwetu bila kujua sisi wote asili yetu ni moja. Watu wote wanaoishi East West and South Africa asili yetu ni moja na asili hyo ni BANTU. With exception ya makabila machache kama Wamasai, Watutsi ambayo asili yao ni NILOTIC. Na ukitoa wachache South Africa ambayo asili yao ni KHOISAN. Na ukitoa PYGYMY watu wafupi wa Congo. Na ukitoa watu kama wambulu ambao asili yao hasa ni AFROSIATIC

Sisi wote tunatokea West Africa maeneo ya Nigeria na Cameroon. Kutokana na ongezeko la idadi ya watu na kutafuta opportunities nyingine za ardhi kwa ajili ya Chakula tungaanza the great migration kutoka West Africa kuja Central Africa hadi ukanda wa Bahari ya East Africa na wengine wetu wakashuka hadi South Africa. Hii Great Migration ya Bantu people kutokea West Africa ilianza miaka 3,500 iliyopita.

Baadhi yetu walibaki Congo na kujiendeleza hapo na kufanya intermarriage na PYGYMY people, wengine wakaja Tanzania na Kenya wakachanganyika na kuoana na NILOTIC people waliotokea Sudan, South Egypt na Uganda na kutengeneza makabila kama Chagga, Sukuma, Nyakyusa, Masai, Pare n. k.

Wengine wakashuka chini wakaoana na KHOISAN na kutengeneza makabila kama Zulu, Ngoni na Shona and Ndebele.

Lakini ukichunguza asili yetu kabisa wote tunatokea Nigeria na Cameron. Na wote ethnicity yetu hata ki'genetics ni Bantu people.

Amani iwe nanyi katika kipindi hiki cha sikukuuu mkifiria mnapotokea.

Link hii hapa na mwenye kuongezea aongezee

[Bantu peoples - Wikipedia]
Wapi ni bantu tunakoasili
 
Forum statistics

Threads 1,336,217
Members 512,562
Posts 32,531,042
Top