Asili inavutia: Wimbo wa Saida Karoli watumika kwenye movie ya Kimarekani - PEEPLES

sabasita

JF-Expert Member
Oct 29, 2009
1,501
392
PERRY.jpg

NIMETANGULIZA NENO MASIKINI SABABU NYIMBO YA SAIDA KAROLI IMETUMIKA KWENYE MOVIE YA TYLER PERRY IITWAYO PEEPLES ... NA CREDIT KWENYE WEBSITE YA IMDB ZINAONYESHA HIVI

Maria Salome
Written and Performed by Saida Karoli
Published by Westbury Music LTD

ATAKUWA KAPATA CHOCHOTE KWELI?
=============

PEEPLES: HII NDIO MOVIE AMBAYO WIMBO WA SAIDA KALORI ''CHAMBUA KAMA KARANGA'' UMETUMIKA


Wengi tulioangalia movie hii ya Marekani tumejiuliza wimbo wa Saida Kalori umewafikiaje. Maana ukiangalia movie hii mwanzoni mwanzoni kabisa wimbo chambua kama karanga unasikika na anaonekana mama akiucheza kama sehemu ya mazoezi.



Katika movie leo ya leo tena Zamaradi Mketema aliongea na Saida Kalori lakini hakuwa akijua chochote. Pia aliyewahi kuwa manager na producer wa Saida hakuwa akijua chochote zaidi ya kupigiwa simu kutoka Marekani na wanawe walioona hiyo movie.



Sitaki kuisimulia ni movie nzuri ya kuchekesha... Inamzungumzia kijana anayeenda ukweni kwa mpenzi wake na anakutana na changamoto nyingi kutoka kwa baba wa msichana na familia yake kwa ujumla.





Picha zinazopatikana katika movie hiyo.

Wale wa movies sijawasahau kama bado kuiona hii kaitafute ufurahi huku ukila popcorn, karanga na juisi.


Habari hii ni kwa hisani ya Mtangazaji Dina Marios
 
Kwani hii film imetengenezwa wapi/nchi gani? Na ninani mtunzi wa hii filamu?i:imetoka lini na jee ishaanza kusambazwa?
 
jamani ni unyonyaji! Af saida kama hajielewi sijuw!! Me kaniboa af akanitia huruma at the same time.
Watu wanafaidika tuu. Ye yupo anachambua karanga tuu kashozi .
I use to like her talent ila sijuw kafiaga wapi siku hizi
 

Wengi tulioangalia movie hii ya Marekani tumejiuliza wimbo wa Saida Kalori umewafikiaje.Maana ukiangalia movie hii mwanzoni mwanzoni kabisa wimbo chambua kama karanga unasikika na anaonekana mama akiucheza kama sehemu ya mazoezi.

Katika movie leo ya leo tena Zamaradi Mketema aliongea na Saida Kalori lakini hakua akijua chochote.Pia aliyewahi kuwa manager na producer wa Saida hakuwa akijua chochote zaidi ya kupigiwa simu kutoka Marekani na wanawe walioona hiyo movie.

Sitaki kuisimulia ni movie nzuri ya kuchekesha...Inamzungumzia kijana anayeenda ukweni kwa mpenzi wake na anakutana na changamoto nyingi kutoka kwa baba wa msichana na familia yake kwa ujumla.



Picha zinazopatikana katika movie hiyo.
Wale wa movies sijawasahau kama bado kuiona hii kaitafute ufurahi huku ukila popcorn,karanga na juisi.
kwa hisani ya dina marios jamani naombe nimaknowledge maanake na mi nimecopy na kupaste tu.
 
Nimeiona hii movie this weekend ni nzuri........

ile tym ya wimbo wa Saida wakati unaimba nimeparudiaje ka x3
haaaaaaaaahaaaaaaaaahaaaaaa my mdogo banah unanishekesha ujue,sa kwa nini umeparudia mara tatu?ulikuwa huamini majicho nini?
 
Nyimbo za Saida Karoli ni maarufu sana haswa huo wa "Chambua kama Karanga"...

Kuna wakati fulani katika youtube video clip nimeshawahi kuona watu wakiucheza wimbo huo moja ya nchi za Latin Amerika, nahisi ilikuwa ni Peru au Bolivia.
 
inafariji kujua kuwa Tz tuna hazina za watu zinazoweza kulitangaza taifa letu duniani pote.
Nyimbo za Saida Karoli ni maarufu sana haswa huo wa "Chambua kama Karanga"...

Kuna wakati fulani katika youtube video clip nimeshawahi kuona watu wakiucheza wimbo huo moja ya nchi za Latin Amerika, nahisi ilikuwa ni Peru au Bolivia.
 
dah we are hapy nyimbo yetu imekuwemo kwenye one of hollywood movies! ts a big step!! but hw are we benefit from it jaman!! tina gordon director si ametengeneza hela from it? y nt saida karoli?? still long way to go!!
 
kwa kweli inafurahisha sana,ila hilo la kuhusu pesa inabidi liangaliwe kwa kweli,mbona hata siye hizo nyimbo zao za akina senti 50 tunazinunua?
dah we are hapy nyimbo yetu imekuwemo kwenye one of hollywood movies! ts a big step!! but hw are we benefit from it jaman!! tina gordon director si ametengeneza hela from it? y nt saida karoli?? still long way to go!!
 
Back
Top Bottom