Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,156
- 13,249
Pichani ni Meghary Yemane-Tesfagiorgis abiria aliyeshushwa kwenye ndege jijini London kwa kuhofiwa GAIDI na abiria mwenzake kuwa na jakamoyo naye kutokana na rangi yake (Racial Profiling)
abiria huyu alilazmika kusubiri kwa dakika 15 na baadae kusindikizwa na ndege ndogo hadi Rome alikokua anakwenda
Tukio hili ni mfululizo wa matukio kadhaa ambapo abiria wengi wamekuwa wakihofiwa magaidi na kushushwa kwente ndege