Ashinda shindano la sura mbaya , ila wenzake wapinga ushindi wake

MeinKempf

JF-Expert Member
Jun 11, 2013
11,094
7,218
Jamaa mmoja huko nchini Zimbabwe kwa babu Mugabe kashinda kwenye shindano
la kumsaka mkali mwenye sura ngumu (sura ya kiume) , na hatimaye kujishindia
kiasi cha Dollar 500 US,
Jamaa huyo ajulikanae kwa jina la Mison Sere aliibuka kidedea (500 $ ) na kuwashinda wapinzani wake
waliokuwa nae. Mshindi namba 2 aliibuka na kitita cha dola 200 na mshindi namba 3 akiwa na dola 100.
Hata hivyo washindani wake walipinga ushindi wake kwa kusema kuwa mshindi aliyetangazwa ameonekana
mrembo tu (mwari) mbele yao , na ushini aliopata sio wa haki. Mathalani Bw. Willium Masvuni ambaye amekuwa
akishinda kwa vipindi vitatu mfululizo toka shindano lilipo anzishwa mnamo mwaka 2012.

Bingwa mtetezi Bw. Willium ambaye aliisha twaa taji hilo mara 3 mfululizo kipindi cha nyuma.
Hapa akiwa na mkewe Mrs. Alice Chabangha
William-Masvinu-and-wife-Alice-Chabhanga.jpg

bfc36792a8fa01c9ab39a02c0bd9afd9
zimbabwe-s-mr-ugly-pageant-turns-ugly-1448137194-5936.jpg


Picha ya pamoja ya wshiriki wa shindano husika lijulikanalo kwa jina la 'Mr. Ugly"
kabla shindano rasmi halijaanza.

9a79f08b536415eb5fb68a45a5270292


Mshindi akiwa na tabasamu tele baada ya kunyanyua ndoo ya shindalo la sura ngumu.
kwa jina anaitwa Mison Sere . Na baada ya ushindi wake wa kimbunga aliweza kuwaambia waandishi
wa habari maneno haya "I want to thank God for winning this title, last time I came fourth. I just want to thank the judges for recognising me as the winner,? Sere told journalists during a night of festivities attended by 200 revellers.

b4ba7cadca23ddef182eb425cb5a2ef8
mison-sere2.jpg
2f74448043677f59185fa3e1c20c28ae
 
Hapa Tanzania liliwahi fanyika shindano la kina Marehemu Remmy Ongala
na kina masoud sura mbaya ..miaka ya 2000 mwanzoni , hakika lilifana sana.
 
Last edited by a moderator:
Kma vipi na hapa JF tunaomba lifanyike shindano\
la wenye Avatar mbaya ili tujue ipi ni mbaya
zaidi ya nyingine zote.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom