Ashauri Watalii EAC Wawe Wanafikia Nairobi, Tanzania baadae

ALFMOJA

Senior Member
Sep 8, 2013
163
53
Wakati mataifa ambayo raia wake wengi hufanya safari za kitalii Afrika ya Mashariki wanatoa Advisory kushauri safari za Kenya si salama, kuna Bloga na yeye katoa adivory ya kwake. Eti akili watalii wawe wanaanzia utalii Kenya. Binafsi sijamwelewa. Labda wenzangu mtamwelewa.

Many travellers visiting East Africa come to see the Wildebeest Migration, climb a mountain, and relax on the beach. Kenya and Tanzania offer all these experiences and the quintessential safari combines the three experiences across the two countries. But where to start? Planning any holiday is fraught with challenges as you want to make it perfect, so here's a short guide to help you plan your East African safari.

...it makes sense to start your safari in Kenya. You can take a shower and rest in Nairobi after your long flight or set off immediately to the game reserves. After an international flight, do you really want to transfer onto another flight to Tanzania or spend your first day in Africa driving along a highway from one city to another?

MY TAKE: NJAA IMEANZA KUSUMBUA WATU KENYA
Source: Kenya and Tanzania â€" Where to Travel First? | OTA - Adventures in East Africa
 
Mbona kuna wazungu wengi tu waliotangulia kufika Tz wanawapelekea taarifa wenzao.Dunia ya sasa huwezi kudanganya hizi sii zama za posta na simu.
 
tatizo la watanzania tunalalamika tu bila kuchukua hatua. Tangazeni vivutio vyenu kwa kasi ili muipiku Kenya wakati huu wakiwa kwenye dhahma ya mabomu na al shabab kufa kufaana
 
tatizo la watanzania tunalalamika tu bila kuchukua hatua. Tangazeni vivutio vyenu kwa kasi ili muipiku Kenya wakati huu wakiwa kwenye dhahma ya mabomu na al shabab kufa kufaana

hili nalo neno, ingawa napata sana shida kuchukua msimamo thabiti hapa kwa sababu kinachoendelea Kenya kiusalama kwa kweli kinatina huruma sana. Wakenya wanastahili kuhurumiwa, lakini hili la kushauri watalii kuenda kwenye eneo hatari nalo ni kama kukosa hekima vile
 
Mbona kuna wazungu wengi tu waliotangulia kufika Tz wanawapelekea taarifa wenzao.Dunia ya sasa huwezi kudanganya hizi sii zama za posta na simu.

kauli yako ina ukweli mkuu. lakini wanaweza kupatikana wa kudanganyika... wazungu ni binadamu tu kama sie wote. wanadanganyika...
 
tatizo la watanzania tunalalamika tu bila kuchukua hatua. Tangazeni vivutio vyenu kwa kasi ili muipiku Kenya wakati huu wakiwa kwenye dhahma ya mabomu na al shabab kufa kufaana

Ni kweli, sisi ni mafundi wa kulalamika bila kuchukua hatua! hatujui sasa kuwa security is strength tuliyonayo na ni weakness kwa upande wa Kenya. Tunapaswa kutumia nafasi hii hata kupunguza gharama za viwanja KIA ili watalii waone faida ya kuja moja kwa moja KIA na mashirika ya ndege yapate faida kwa kutumia KIA route.

Niliumwa sana moyo nilipoona Boing 787-300 ya KQ ikiwa ina jina la "Mount Kilimanjaro". Na hii ndio ndege inayokwenda Uingereza, Marekani na Uchina (long-haul). Ni kwanini tuone hili ni jambo la kawaida na tusichukue hatua??
 
PANYA road,remember?
 
Njia ya Tanzania kujikomboa ni Air Tanzania kununua ndege kubwa itakayofanya safari Uingereza,America na China.Ili kupunguza gharama za usafiri na kuitangaza Tanzania na vivutio vyake.
Kenya wanafaidi kwakuwa wana ndege na viwanja vya kimataifa.Safari nyingi za ndege zinapitia kwenye viwanja vyao,hivyo kupunguza gharama za nauli kwa watalii,tofauti na kuja kwetu Tz
 
hili nalo neno, ingawa napata sana shida kuchukua msimamo thabiti hapa kwa sababu kinachoendelea Kenya kiusalama kwa kweli kinatina huruma sana. Wakenya wanastahili kuhurumiwa, lakini hili la kushauri watalii kuenda kwenye eneo hatari nalo ni kama kukosa hekima vile

Wacha tu wee!...nani kakwambia wakenya wanaitaji kuhurumiwa?.....wanafaa kupongezwa......kazi ya kuwaangamiza magaidi na wanaharamu ikikamilika na Afrika Mashariki kuwa salama sisi sote tutafaidi...hata wewe waweza kupeleka mahalage pale Mogadisho ukajichumia tu na biashara ikanogea.weeeee!.....peace..out.
 
wakenya wazinguaji sana wameshikilia EABC kama ya kwao then wanatuona si hatufai hata ukiomba field tuu haupati yaani kenyan people hawafai kabsa....
 
wakenya wana haki ya kujitangaza kwani biashara ya utalii ni matangazo sisi tulitakiwa tuanzishe blog sehemu nzuri yenye vivutio vingi vya utalii na pia ni salama ni Tanzania wakati huo huo tunaweka na takwimu za matukio ya ugaidi east africa kulalamika haisaidii
 
tanzania inajiendesha bila dereva,siku ikipata dereva nchi itapiga hatua.hakuna kiongozi anayeweza kuitumia nafasi hii ya matatizo ya kenya kuiimarisha tz,majitu yamelala tu ila yakiambiwa serikali 3 utayaona yanavyojua kujenga hoja.
 
Chini ya uongozi wa kisanii kila kitu ni poa,hakuna anaye jali kila mtu anaangalia tumbo lake.
 
Tanzania is the only peaceful countryin Africa with free of Al-shabaab Boko Haram and the rest. So do not hesitate to rest in Tanzania just to take a look to neighboring countries for one hour flight and back. ENJOY.
 
Wakenya watangaze wanavyo taka lakini watalii wanapenda maisha yao na hakuna atakae kwenda akapokelewe na mabomu
 
Nimetembea mbuga zote kenya si lolote. Wanazifia abadare, nakuru, naivaisha, nairobi national park na tsavo E&W. Zote za kawaida sana. Usichezee Ngorongoro, Serengeti, Tarangire, northern. circuit kwa ujumla na peaceful country. Acha tu. Maliasili nitafuteni niwafanyie mambo. I can do beyond your expectation.
 
Wakati mataifa ambayo raia wake wengi hufanya safari za kitalii Afrika ya Mashariki wanatoa Advisory kushauri safari za Kenya si salama, kuna Bloga na yeye katoa adivory ya kwake. Eti akili watalii wawe wanaanzia utalii Kenya. Binafsi sijamwelewa. Labda wenzangu mtamwelewa.

Many travellers visiting East Africa come to see the Wildebeest Migration, climb a mountain, and relax on the beach. Kenya and Tanzania offer all these experiences and the quintessential safari combines the three experiences across the two countries. But where to start? Planning any holiday is fraught with challenges as you want to make it perfect, so here’s a short guide to help you plan your East African safari.

...it makes sense to start your safari in Kenya. You can take a shower and rest in Nairobi after your long flight or set off immediately to the game reserves. After an international flight, do you really want to transfer onto another flight to Tanzania or spend your first day in Africa driving along a highway from one city to another?

MY TAKE: NJAA IMEANZA KUSUMBUA WATU KENYA
Source: Kenya and Tanzania – Where to Travel First? | OTA - Adventures in East Africa

Kama wewe ni muhusika wa sekta hii ya utalii, angalia uzembe tunaoufanya sasa hivi. Juni - septemba ni musimu wa utali, lakini tayari Kenya iko matatani kwa vurugu za wasera wa Somalia, al shabaab. Binafsi nilidhani huu ndo muda wa TTB kuongeza nguvu ili waliotegemea kuingia Kenya, sasa waingie TZ!

TTB wako wapi? Au Nyarandu hajapata rafiye amuweke kwenye kiti?
 
Wacha tu wee!...nani kakwambia wakenya wanaitaji kuhurumiwa?.....wanafaa kupongezwa......kazi ya kuwaangamiza magaidi na wanaharamu ikikamilika na Afrika Mashariki kuwa salama sisi sote tutafaidi...hata wewe waweza kupeleka mahalage pale Mogadisho ukajichumia tu na biashara ikanogea.weeeee!.....peace..out.

trading partner wa somalia ni yemen na waarabu wengine. watapata maharage huko.
 
Kama wewe ni muhusika wa sekta hii ya utalii, angalia uzembe tunaoufanya sasa hivi. Juni - septemba ni musimu wa utali, lakini tayari Kenya iko matatani kwa vurugu za wasera wa Somalia, al shabaab. Binafsi nilidhani huu ndo muda wa TTB kuongeza nguvu ili waliotegemea kuingia Kenya, sasa waingie TZ!

TTB wako wapi? Au Nyarandu hajapata rafiye amuweke kwenye kiti?

ukweli hasa ni kwamba hatuna watu pro-active na creative katika sekta ya umma. tuna watu ambao wanasubiri maelekezo ya world bank na imf ndo wajue la kufanya. kwa hiyo hapo watakuwa wanasubiri world bank iseme sasa anzeni kampeni ya kudivert watalii....

Wakipata hiyo directive ndipo sasa watahamia kwenye kusubiria budget ya hiyo kampeni kutoka hukohuko world bank wapate hizo hela si kwa ajili ya kampeni, bali kujengea mahekalu kivule, salasala na kwingineko. nakwambia tuna serikali mzigo kwelikweli...
 
Back
Top Bottom