Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,472
Mambo ya kiimani zaidi, wanasema hata kijana wa Kikurya akikuibia na akikamatwa akihojiwa akikataa kama hajaiba inatakiwa arambishwe K ya ng'ombe hapo lazima hayokubali wanasema akiramba tu basi huko nyumbani kwao kijijini hali inakuwa sio shwari. Sijui hii nayo ina ukweli? Ila wanasema kama kaiba kweli ataongea ukweli wote lakini K ya ng'ombe abadan hatoramba!
"رمضان كريم وصوم مقبول"
🤣🤣🤣dah haya mambo jamani....kuna nyingine wanasema ukitaka usirudi sehemu unayoishi kanywee maji ya kunywa choon..ati utasahau kbs kurudi ...hahahaa