Ashakuum si Matusi. Hii Kitu nimekuwa nikiisikia ikijadiliwa sana tu Mijini na Vijijini tena na Wazee je, ina Ukweli wowote ule?

Wengine eti kuchuma mboga au maua kwa shamba kama uko mwezin eti majani yanakauka! Ujinga huu
Ukichunguza Kuna siri ndani yake na si ujinga labda anaweza jishika akashika mboga mkala uchafu sijui zamani walikuwa wanajikingaje labda akiinama mambo yakaharibika .. kila taboo ni kwa ajili ya kuprotect kitu fulani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna jirani yangu ana project ya uyoga..so naingiaga najichumia anapima..akaniambia madame kama uko mp usichume na kwel nilikua mp ..nikamwambia hebu leo tujaribu nilichuma kila kona za ukuta alopanda uyoga...baad ya week akanuambia mbona unachanua...akaja naye kwangu akachuma tembele akiwa mp..halijakauka ...tukabak kucheka tu na imani zenu haba...! Wanakuja watu nawachumia maua nikiwa hivo mbona hayakauki😆😆😆😆! Haya mambo ni imani...mie kitu nachoamini kwenye imani ni LAANA! Basi!
yes mie mama

Uko sahihi kabsa bibie..na yule nae anae amini ukichuma ukiwa p mboga zinakauka huenda nae yupo sahihi,labda nigusie kitu katka aya mambo ya Imani.

Binadamu tumeumbwa na nguvu fulani ambazo tukizifunganisha na Imani zetu na tukaamini kweli kweli basi kuna asilimia kubwa ya kutolea kile unacho kiamini,bila kujalisha hyo Imani yako inaiegemeza kwa nani either kwa Mungu wa kweli au wa uongo.

Na ndomana zamani mababu walikuwa wakiomba mizimu,miti,masana n.k wawatatulie shida zao na kweli shida zao zilikuwa zinatatuliwa coz walikuwa na Imani na matarajio ya hali ya juu,japokuwa kiuhalisia hvyo walivyokuwa wanaviomba vilikuwa na adi sasa havina uwezo wowote wa kutatua tatizo.

Sasa hayo yote yanatokana na kitu kinachoitwa power of attraction ambayo kila mtu anayo.
Power of attraction inaanzia ktk ubongo wako ambapo kuna portion ktk mind yako ina excute hyo power...ambayo hyo portion inajulikana Kama subconscious mind.
Apa napenda kushauri utafute kitabu kinachoitwa the power of your subconscious mind kinaeleza kwa kina ayo mambo.

If you hold negative beliefs in your subconscious mind, your wll tend to experience negative realities in your life and vice versa is true.

Whatever you're feeling is perfect reflection of what in the process of becoming

So hivi vitu vya Iman huwa vinafanya kazi kulingana na kiwango cha Imani yako na matarajio yako na si mambo yakujarbu jaribu.
Kama unataka aya mambo yatokee vile unavyotarajia just focus on what u want but most people focus on what they don't what Kama wewe apo bibie.

Natumaini nimeeleweka japo sipo vzuri Kwenye uandishi.
 
Hizo ni imani, lakini naomba utambue kuwa kinachofanya imani yoyote iwe na nguvu ni hofu ya mtu ndo maana hata kuna wengine hawaamini ukristo wala uislamu na mambo yao yanawanyookea.

Haya mambo yapo lakini hayafanyi kazi kwa kila mtu, inategemea na watu husika.
 
Naweza kuamini kabisa nina miezi miwili sasa nipo Sumbawanga ninayoyaona mwenyewe ni hataree. Kuna dawa ya asili hiyo ya kufanya dhakari yako isimame sawasawa au ikiwa haidindi vizuri au unapiga kibao kimoja ukipewa huo mti shamba siku moja tu tatizo lako kwisha kabisa ila usiwe umezaliwa nalo tu.

Jinsi ya kutumia ni inachemshwa kisha inawekwa kwenye kichupa hivi cha plastic then unajiingiza kile kichupa kwa haja kubwa kwa mtindo wa kuibinya ule mmiminiko wa maji uingie mk$nduni. Hiyo siku utaharisha mpaka damu aisee. (nilìtumia ndio maana nimesimulia) miti shamba ipo jamani. Ukitoka hapo mwanamke lazima aombe pooo mwili unakuwa mwepesi hamu juu kitu 4g
 
Hii ni kweli kabisa na nimelijulia huku sumbawanga.nahisi nikitoka huko nitaitwa mchawi.duniani kuna siri nyingi sana hasa hizi za miti shamba
watu kwa ubishi hamjambo, hayo mambo yapo hasa hilo la kwanza na ni kweli kabisa hata ukiwa mwezini ukichuma mboga hukauka kama huamini bas sio lazima lakini hivi vitu vpo
 
Back
Top Bottom