TUWEKANE BAYANA
Member
- Mar 10, 2011
- 45
- 0
hivi hiyo tume ya nishati ya bunge, imetoa mapendekezo kwa serikali, je mapendekezo hayo kweli yatalinda maslahi ya watz waliowengi au ndo imetumika kama vile formality kuwalinda wale wanaokula kuku kwa mrija... manake pendekezo la kwanza nasikia mitambo ya dowans iwashwe! hili ni la kudumu? au ndo iwashwe mpaka mvua zitakaponyesha?
nchi yetu kila kitu kinaenda kwa dua, eti ili umeme uwake watz tunatakiwa tuombe mvua, kama jua ni lauhakika zaidi kwa nini hatutizami umeme wa jua ili utufae kiangazi halafu kwenye masika tugeukie kidatu???!!