PostGE2025 Asha-Rose Migiro: Sioni sababu watu kutoka nje waje watuamulie mambo yetu ya ndani. Tumepata kadhia ile, tukainuka, tumesimama imara

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro, akifanya mahojiano na Salim Kikeke, Crown Media
Salim Kikeke: Kuna watu wanasema kwamba pengine, kwa sababu ya huo utata kwamba Rais anateua Tume na ni watu wanaoweza kumwegemea upande wake. Pengine tungeleta watu kutoka nje, Tume ingekuwa huru zaidi ya Uchunguzi

Asha-Rose Migiro: Ndugu Kikeke, ni miaka 65 toka nchi yetu ipate uhuru wake. Unaamini kwamba mpaka sasa hatujitoshelezi? Miaka 65 tutafute watu kutoka nje? Hivi, tunawaamini zaidi watu kutoka nje watakaokuja kusimamia maslahi ya taifa letu? Na kama watatoka nje wakija hapa, watafanya kazi na nani?

Tunataka kusema kwamba bado tuko kwenye hali tunayopenda tuongozwe na taasisi za nje au vyombo vya nje kwa suala kubwa kama hili linalogusa maisha ya taifa letu? Uhai wa taifa letu?

Mimi ninaamini tuna weledi wa kutosha ndani ya nchi. Tuna watu ambao wana uzoefu mkubwa. Huo huo wa kimataifa unaotaka uletwe hapa, hawa, baadhi yao, wamechangia weledi ule kule nje. Kwa hiyo kwa hakika sioni sababu ya kutaka watu kutoka nje waje watuamulie mambo yetu ya ndani.

Salim Kikeke: Nasema hivyo kwa sababu ukiangalia kwa mfano nchi jirani ya Kenya, mwaka 2007 baada ya kutokea utata kwenye matokeo ya uchaguzi, walifika mahali wakahitaji msaada, na sisi Tanzania tulipeleka watu, watu kutoka Afrika Kusini pia walikwenda kujaribu kusuluhisha hilo. Na hilo ndilo ninapotokea na kusema kwa nini na sisi tusingeleta watu kutoka nje?

Asha-Rose Migiro: Ni kweli na sisi Tanzania viongozi wetu walishiriki Kenya wakati ule katika kuchangia utatuzi wa changamoto iliyowakabili baada ya uchaguzi wao.

Tanzania ni nchi ambayo ina uzoefu mkubwa sana katika usuluhishi wa migogoro. Unakumbuka chini ya Mwalimu Nyerere, migogoro ya Burundi. Tukaendelea alipoingia Rais Mkapa na yeye akashiriki katika usuluhishi, Mheshimiwa Rais Kikwete hali kadhalika.

Kwa hiyo Tanzania tunao uzoefu na tunafahamu kwamba tunaweza tukaenda nje, vivyo hivyo wapo wanaoweza kuja ndani lakini kwa mahitaji. Je, tunawahitaji? Kule nje hatukuenda tu, tukasema kwamba "unajua nini, sisi Tanzania ndio mabingwa tumekuja." Hapana, walituita. Na walituita pale ambapo walituhitaji. Haikuwa toka mwanzo kwamba walianza kusema kwamba "hapa sisi wananchi hapa hatuwezi kufanya chochote."

Na sisi Tanzania tunaweza kufanya chochote, na tumeonyesha tunaweza. Tumepata kadhia ile, tukainuka, tumesimama imara, na sasa tuko kwenye mstari wa kuendeleza gurudumu la maendeleo. Changamoto hii itatizwa kwa uzito wake, lakini tuna weledi wa kutosha. Tuna uwezo wa kutosha wa kushughulikia suala hili."
For those who were still wondering, this is why Asha-Rose Migiro failed at the United Nations.
 
Cha ajabu mtu aliyefanya kazi un tena kwa cheo kikubwa anaongelea mambo ya sovereignity aidha haelewei hata un maana yake ni nini achilia mbali hata kirefu chake au she is just dumb, kwa nini kuna blue helmet za un? kwa nini kuna askari wa un kongo? she isj just dumb, which is unfortunate kwa cheo alichokuwa nacho un ...
 
Zamani hapa jukwaani kulikuwa na watu wengi sana wanaiunga mkono ccm. Ila kwa sasa ktk mijadala kama utawapata wawili tu hivi yule mgonjwa mtambuka na mwenzie,samia nini na huyu Traatra tu ndio wako na ccm,lakini mpaka sasa asilimia 99 ni against ccm na mambo yako na watu wao.

Nataka kumaanisha hizo ni alama za nyakati muda wa ukombozi unakaribia kwa hawa wasiotaka kuamuliwa mambo yao ya utekaji,mauaji
 
Ukiweka siasa pembeni

Samia ni kweli anajiyahidi kutibu kilichotokea mwaka jana.

Kaunda tume mbili zote ili kujua ukweli wa yaliyotokea.

Kaunda wizara maalum ya vijana.

Ni kazi kwa waziri sasa kuhakikisha anawafikia vijana wengi na kuwasaidia kujiajiri ili kupunguza tatizo la ukosefu ajira.
 
Idadi kubwa ya watu humu wakipewa mike live on TV wanaweza geuka Chawa usiamini. Kila mtu ajiulize, akipewa mike na kuulizwa maoni yake kuhusu oct 29 kumhusu raisi atasema nini? Halafu ajipongeze.
 
Sasa ilikuwaje nchi ikasaini ule mkataba wa Roma uliopelekea kuundwa ICC?

Mlisahau kama mtakaribisha watu kutoka nje? Nchi haikuwa na mahakama zake wakati mnatia saini?

Watu kutoka nje wanaweza kujali maslahi ya Tanzania kuliko hata wanasiasa wa nchi hii wanaowaza madaraka tu.

Sakata la ununuzi wa radar kifisadi ni hao kutoka nje ndiyo walisimama kidete mpaka BAE Systems wakatema bungo Paundi 30M,wakati nyie mnaojifanya wazawa mlikuwa mnawalinda akina Chenge!
 
Ukiweka siasa pembeni

Samia ni kweli anajiyahidi kutibu kilichotokea mwaka jana.

Kaunda tume mbili zote ili kujua ukweli wa yaliyotokea.

Kaunda wizara maalum ya vijana.

Ni kazi kwa waziri sasa kuhakikisha anawafikia vijana wengi na kuwasaidia kujiajiri ili kupunguza tatizo la ukosefu ajira.
Kuunda tume hata mia ni upuuzi kwani alishasema mara watu wa nje mara watu walilipwa nk majibu kesha toa tume ya nini?
Fedha za mikopo ni danganya toto hii serikali haina fedha hata za kukarabati barabara muhimu ,mishahara nk seize bilion mia mbili za kukopesha? Mpaka sasa tutajie vijana hata elfu tatu waliofaidika, HAKUNA.
 
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro, akifanya mahojiano na Salim Kikeke, Crown Media
Salim Kikeke: Kuna watu wanasema kwamba pengine, kwa sababu ya huo utata kwamba Rais anateua Tume na ni watu wanaoweza kumwegemea upande wake. Pengine tungeleta watu kutoka nje, Tume ingekuwa huru zaidi ya Uchunguzi

Asha-Rose Migiro: Ndugu Kikeke, ni miaka 65 toka nchi yetu ipate uhuru wake. Unaamini kwamba mpaka sasa hatujitoshelezi? Miaka 65 tutafute watu kutoka nje? Hivi, tunawaamini zaidi watu kutoka nje watakaokuja kusimamia maslahi ya taifa letu? Na kama watatoka nje wakija hapa, watafanya kazi na nani?

Tunataka kusema kwamba bado tuko kwenye hali tunayopenda tuongozwe na taasisi za nje au vyombo vya nje kwa suala kubwa kama hili linalogusa maisha ya taifa letu? Uhai wa taifa letu?

Mimi ninaamini tuna weledi wa kutosha ndani ya nchi. Tuna watu ambao wana uzoefu mkubwa. Huo huo wa kimataifa unaotaka uletwe hapa, hawa, baadhi yao, wamechangia weledi ule kule nje. Kwa hiyo kwa hakika sioni sababu ya kutaka watu kutoka nje waje watuamulie mambo yetu ya ndani.

Salim Kikeke: Nasema hivyo kwa sababu ukiangalia kwa mfano nchi jirani ya Kenya, mwaka 2007 baada ya kutokea utata kwenye matokeo ya uchaguzi, walifika mahali wakahitaji msaada, na sisi Tanzania tulipeleka watu, watu kutoka Afrika Kusini pia walikwenda kujaribu kusuluhisha hilo. Na hilo ndilo ninapotokea na kusema kwa nini na sisi tusingeleta watu kutoka nje?

Asha-Rose Migiro: Ni kweli na sisi Tanzania viongozi wetu walishiriki Kenya wakati ule katika kuchangia utatuzi wa changamoto iliyowakabili baada ya uchaguzi wao.

Tanzania ni nchi ambayo ina uzoefu mkubwa sana katika usuluhishi wa migogoro. Unakumbuka chini ya Mwalimu Nyerere, migogoro ya Burundi. Tukaendelea alipoingia Rais Mkapa na yeye akashiriki katika usuluhishi, Mheshimiwa Rais Kikwete hali kadhalika.

Kwa hiyo Tanzania tunao uzoefu na tunafahamu kwamba tunaweza tukaenda nje, vivyo hivyo wapo wanaoweza kuja ndani lakini kwa mahitaji. Je, tunawahitaji? Kule nje hatukuenda tu, tukasema kwamba "unajua nini, sisi Tanzania ndio mabingwa tumekuja." Hapana, walituita. Na walituita pale ambapo walituhitaji. Haikuwa toka mwanzo kwamba walianza kusema kwamba "hapa sisi wananchi hapa hatuwezi kufanya chochote."

Na sisi Tanzania tunaweza kufanya chochote, na tumeonyesha tunaweza. Tumepata kadhia ile, tukainuka, tumesimama imara, na sasa tuko kwenye mstari wa kuendeleza gurudumu la maendeleo. Changamoto hii itatizwa kwa uzito wake, lakini tuna weledi wa kutosha. Tuna uwezo wa kutosha wa kushughulikia suala hili."
Msumbiji, Angola, Namibia n.k walipata msaada WA front lines state kupata Uhuru wao na kupigiana na magaidi. Je iweje kwetu Sisi sio sawa. Hii akili hata makaburu walikuwa nayo na walowezi wa Southern Rhodesia. Hivyo mtu mzima kutoa Kauli kama hii , ajihesabu kwamba akili yake ni ya kikaburu.
 
Kuunda tume hata mia ni upuuzi kwani alishasema mara watu wa nje mara watu walilipwa nk majibu kesha toa tume ya nini?
Fedha za mikopo ni danganya toto hii serikali haina fedha hata za kukarabati barabara muhimu ,mishahara nk seize bilion mia mbili za kukopesha? Mpaka sasa tutajie vijana hata elfu tatu waliofaidika, HAKUNA.
Wizara ya vijana ina muda mchache tu tuwape muda.
 
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro, akifanya mahojiano na Salim Kikeke, Crown Media
Salim Kikeke: Kuna watu wanasema kwamba pengine, kwa sababu ya huo utata kwamba Rais anateua Tume na ni watu wanaoweza kumwegemea upande wake. Pengine tungeleta watu kutoka nje, Tume ingekuwa huru zaidi ya Uchunguzi

Asha-Rose Migiro: Ndugu Kikeke, ni miaka 65 toka nchi yetu ipate uhuru wake. Unaamini kwamba mpaka sasa hatujitoshelezi? Miaka 65 tutafute watu kutoka nje? Hivi, tunawaamini zaidi watu kutoka nje watakaokuja kusimamia maslahi ya taifa letu? Na kama watatoka nje wakija hapa, watafanya kazi na nani?

Tunataka kusema kwamba bado tuko kwenye hali tunayopenda tuongozwe na taasisi za nje au vyombo vya nje kwa suala kubwa kama hili linalogusa maisha ya taifa letu? Uhai wa taifa letu?

Mimi ninaamini tuna weledi wa kutosha ndani ya nchi. Tuna watu ambao wana uzoefu mkubwa. Huo huo wa kimataifa unaotaka uletwe hapa, hawa, baadhi yao, wamechangia weledi ule kule nje. Kwa hiyo kwa hakika sioni sababu ya kutaka watu kutoka nje waje watuamulie mambo yetu ya ndani.

Salim Kikeke: Nasema hivyo kwa sababu ukiangalia kwa mfano nchi jirani ya Kenya, mwaka 2007 baada ya kutokea utata kwenye matokeo ya uchaguzi, walifika mahali wakahitaji msaada, na sisi Tanzania tulipeleka watu, watu kutoka Afrika Kusini pia walikwenda kujaribu kusuluhisha hilo. Na hilo ndilo ninapotokea na kusema kwa nini na sisi tusingeleta watu kutoka nje?

Asha-Rose Migiro: Ni kweli na sisi Tanzania viongozi wetu walishiriki Kenya wakati ule katika kuchangia utatuzi wa changamoto iliyowakabili baada ya uchaguzi wao.

Tanzania ni nchi ambayo ina uzoefu mkubwa sana katika usuluhishi wa migogoro. Unakumbuka chini ya Mwalimu Nyerere, migogoro ya Burundi. Tukaendelea alipoingia Rais Mkapa na yeye akashiriki katika usuluhishi, Mheshimiwa Rais Kikwete hali kadhalika.

Kwa hiyo Tanzania tunao uzoefu na tunafahamu kwamba tunaweza tukaenda nje, vivyo hivyo wapo wanaoweza kuja ndani lakini kwa mahitaji. Je, tunawahitaji? Kule nje hatukuenda tu, tukasema kwamba "unajua nini, sisi Tanzania ndio mabingwa tumekuja." Hapana, walituita. Na walituita pale ambapo walituhitaji. Haikuwa toka mwanzo kwamba walianza kusema kwamba "hapa sisi wananchi hapa hatuwezi kufanya chochote."

Na sisi Tanzania tunaweza kufanya chochote, na tumeonyesha tunaweza. Tumepata kadhia ile, tukainuka, tumesimama imara, na sasa tuko kwenye mstari wa kuendeleza gurudumu la maendeleo. Changamoto hii itatizwa kwa uzito wake, lakini tuna weledi wa kutosha. Tuna uwezo wa kutosha wa kushughulikia suala hili."
Migiro alikuwa naibu Katibu mkuu UN alipaswa kupumzika siasa
 
😄😄
Hili Taifa Kila mtu amekuwa chawa Kila mtu anaogopa yaliyo mkuta pole pole

Twende mbele na kurudi nyuma samuya she's scaring 🤣

Kila mtu anaogopa kusema ukweli mbaya sana hii tumefika pabaya
😂😂😂
 
Ila jamani Migiro mbona alishafika peak ya juu kabisa ktk masuala ya uongozi.

Kuwa naibu katibu mkuu wa UN, alihitaji nini kingine? Hadi afikie hatua ya kuwa Chawa namna hii?

Au ndio hulka yetu wabongo, hatujui kuridhika kabisaa, Lol.

Anaishia kuwa wa hovyo dakika za jioooniii.
Duuuh
 
Back
Top Bottom