Asha-Rose Migiro appointed as UN Secretary-General’s Special Envoy for HIV/AIDS in Africa

..sasa ww unaona hiki nacho ni cheo cha maana ? Sana sana atakuwa anasoma magazeti na kusubiri kwenda kufungua warsha na semina !! Mtu anakupiga kibuti then anakuchagua kuwa karani na wengine wanakenua....!!
ni bora kuliko kuja kung'ang'ania siasa kama za mabwepande..uongozi nao ni kalama labda kwake imegoma ni bora asubiri kufungua warsha na semina.
 
Ukisema brainless unamuonea huyu mama kiukweli huyu mama ni miongoni mwa watu bright sana Tanzania ila sio politician huyu anatakiwa awe kwenye vyuo vikuu akifundisha au kufanya research mbalimbali au kuwa consultant lakini medani ya siasa au diplomasia hawezi, nimesoma baadhi ya academic publication zake she is bright real!
Mkuu, naomba nipe link nikamsome. Ninampenda sana huyu mama, sitaki aguse siasa za bongo.
 
Dr. Asha Rose Migiro hongera sana japa kazi..

Wenye wivu wanaogopa kivuli chako,
 
Back
Top Bottom