Asha-Rose Migiro appointed as UN Secretary-General’s Special Envoy for HIV/AIDS in Africa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Asha-Rose Migiro appointed as UN Secretary-General’s Special Envoy for HIV/AIDS in Africa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Chamoto, Jul 16, 2012.

 1. Chamoto

  Chamoto JF-Expert Member

  #1
  Jul 16, 2012
  Joined: Dec 7, 2007
  Messages: 2,078
  Likes Received: 1,115
  Trophy Points: 280
  GENEVA, 13 July 2012-United Nations Secretary-General Ban Ki-Moon has appointed Asha-Rose Migiro as his Special Envoy for HIV/AIDS in Africa. "Ms Migiro's experience in responding to AIDS as UN Deputy Secretary-General, combined with her many years as an advocate for health and social justice in Africa, make her uniquely qualified for this important role," said Mr Ban.

  Ms Migiro served as the United Nations Deputy Secretary-General from 2007 to 2012. In that role, she was integrally involved in promoting the AIDS response globally and within Africa, with special emphasis on reducing the vulnerability of women and girls and ensuring the rights of people living with HIV.

  "I am honoured to accept this appointment at this crucial moment in the African AIDS response," said Ms Migiro. "A decade ago, HIV in Africa was almost entirely an epidemic of despair. Today, we celebrate progress against AIDS that we never thought possible. Now is the time to take our efforts to a new level––I am committed to the Secretary-General's vision that the beginning of the end of AIDS in Africa starts now."

  Ms Migiro served as Tanzania's Minister of Foreign Affairs and International Cooperation from 2006 to 2007-the first woman to hold that position since the country's independence. She was previously the Minister for Community Development, Gender and Children for five years. Prior to Government service, she pursued a career in academia, and, served as a member of Tanzania's Law Reform Commission in 1997 and as a member of the United Nations Committee on the Elimination of Discrimination against Women in 2000.

  "I look forward to working closely with Ms Migiro in helping African countries reduce their AIDS dependency and provide universal access to HIV prevention, treatment, care and support services," said UNAIDS Executive Director Michel Sidibé. "Her experience and leadership will promote African ownership of the AIDS response at the highest levels and reduce the inequities of people affected by AIDS in the continent."

  Africa remains the continent most affected by HIV. In 2010, about 68% of all people living with HIV resided in sub-Saharan Africa. The region also accounted for 70% of all new HIV infections worldwide.

  Source
   
 2. marejesho

  marejesho JF-Expert Member

  #2
  Jul 16, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 6,539
  Likes Received: 830
  Trophy Points: 280
  Bado milango inafunguka!!!!
   
 3. M

  Mnyakatari JF-Expert Member

  #3
  Jul 16, 2012
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,557
  Likes Received: 488
  Trophy Points: 180
  Demotion
   
 4. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #4
  Jul 16, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  hayo mambo ndo yanamfaa hakuna kitu brainlessssss
   
 5. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #5
  Jul 16, 2012
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Walau sasa watatulia walioanza kumchafua wakinzani anakuja kugombea ulaji wao pale Ikulu
   
 6. F

  FAMILY LAW Member

  #6
  Jul 16, 2012
  Joined: Jul 14, 2012
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hongera sana madam, naona Mungu kakufungulia milango ya baraka achana na hizi siasa za magamba.
   
 7. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #7
  Jul 16, 2012
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,891
  Likes Received: 6,086
  Trophy Points: 280
  Hivi Lady Jey Dee, na Angelique Kidjo nao wana nafasi kama hizo pia au wenyewe ni mabalozi wa njaa!?

   
 8. M

  Marytina JF-Expert Member

  #8
  Jul 16, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  hakika yule mama hastahili hata kuongoza serikali ya mtaa hapa bongo.

  ni mnafiki wa kutupa.(ANAONA NAMNA TZ INAFYOTAFUNWA ILA HATOI KAULI HATA NDOGO)
  Nafuu kutawaliwa na JK na sio huyu mama aliyeshindwa kazi UN
   
 9. M

  Magesi JF-Expert Member

  #9
  Jul 16, 2012
  Joined: Jul 10, 2012
  Messages: 2,590
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Dhaifu alishindwa kaz amerud nyumbani kupiga ndogo ndogo Lumumba
   
 10. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #10
  Jul 16, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  sasa na huko usituaibishe....
  Piga mzigo kisawa sawa.....
   
 11. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #11
  Jul 16, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  Mungu humuongezea aliye nacho.
   
 12. Manyi

  Manyi JF-Expert Member

  #12
  Jul 16, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 3,256
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Hii mbona ilijulikana siku nyingi?
   
 13. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #13
  Jul 16, 2012
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,800
  Likes Received: 3,884
  Trophy Points: 280
  Ukisema brainless unamuonea huyu mama kiukweli huyu mama ni miongoni mwa watu bright sana Tanzania ila sio politician huyu anatakiwa awe kwenye vyuo vikuu akifundisha au kufanya research mbalimbali au kuwa consultant lakini medani ya siasa au diplomasia hawezi, nimesoma baadhi ya academic publication zake she is bright real!
   
 14. N

  Ndakilawe JF-Expert Member

  #14
  Jul 16, 2012
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 4,084
  Likes Received: 1,475
  Trophy Points: 280
  Punitive Demotion!
   
 15. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #15
  Jul 16, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,827
  Trophy Points: 280
  I do not buy those flimsy posts. Huyu ni msomi wa sheria aliyebobea. Kuna uhaba mkubwa wa vitabu vya sheria vyuoni kama zinavyotumika hapa nchini. Ana nafasi kubwa ya kutoa mchango mkubwa wa taaluma ya sheria kwa kuandika vitabu; eg kuna manuals nzuri za sheria open university walizoandika akina mukoyogo et al. Ni kazi nzuri waliifanya. ajikite huko aache kazi za kuhubiri. Dunia itamkumbuka kwa vitabu atakavyovitunga, graduates waliopitia kwake etc.
   
 16. UKI

  UKI JF-Expert Member

  #16
  Jul 16, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 699
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Watu sijui ni wivu dah watu walikuwa wameshaanza kuhangaika na pressure zao wanahisi labda anakuja kugombea urais kapata hiyo nafasi tena bado wanamuona ni brainless? Hhivi mnataka kuniambia hata huko kuna mambo ya kupeana peana tu vinafasi bila kuangalia uwezo wa mtu?

  Africa wapo wangapi wenye uwezo? mpeni heshima mama wa watu na kuthamini hata kazi yake anayofanya, unaemponda umefanya nini hata kwenye hicho kijiji chako ulichotoka kwa kazi yako unayoifanya?

  Tuache wivu jamani waachieni ma boss wake ndio waseme kama hawezi au anaweza kazi msiwe mnaingilia kazi ambazo haziwahusu kabisa.

  Wivu wivu utatufikisha pabaya kabisa sijaona hata moja la kumpongeza huyu mama ina maana yooote kafanya hovyo? Wewe umejipimaje au watu wanakutathimini vip kazi yako kwenye kampuni unayoifanya?
   
 17. UKI

  UKI JF-Expert Member

  #17
  Jul 16, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 699
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  mkuu kama nyumbani ndio wanamsema sema hivyo kuwa hawezi kazi why asiende huko kuhubiri?? wakati mwingine huwa wanavunjwa moyo na watu kuwa na roho ya kwanini bora aende ajifanyie kazi yake huko.
   
 18. Davie S.M

  Davie S.M JF-Expert Member

  #18
  Jul 16, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 720
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Kutoka kwenye kwenye U-MD hadi u Branch Manager...basi Sawa

  Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
   
 19. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #19
  Jul 16, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Huko kuzuri kuliko kule ulikotoka. MashAllah.

  Hata Mkapa alipojuwa anamaliza mlo Ikulu akakimbilia hukohuko.
   
 20. Richard

  Richard JF-Expert Member

  #20
  Jul 16, 2012
  Joined: Oct 23, 2006
  Messages: 8,253
  Likes Received: 4,276
  Trophy Points: 280
  Mkuu,

  Usisahau kwamba ukifanya kazi UN unalipwa kwa dollars na hizo ukibadilisha unakuwa una hafueni kubwa tu ukilinganisha na kukaa chini kutunga kitabu.

  Lol
   
Loading...