Johnny Sins
JF-Expert Member
- Nov 4, 2019
- 2,538
- 3,826
Siku hizi tumejitambuaKipindi hicho wanawake walikuwa wanapigania penzi kwa waume zao siku hizi hamna hiyo kitu dunia ina badilika kwa kasi sana
Hii ni tofauti mkuu acha kuleta za kuleta hapa, Josephine na mumewe walikuwa wametengana kipindi kirefu mume hajui mke anakula nini, analala wapi, anavaa nini, huwezi sema hapo kuna ndoa- bahati mbaya dini yao hairuhusu talaka otherwise ingekuwa imeshatolewa zamani.Slaa alikuwa demu yuko loose mkuu hakuna lawama hapo
Nyc stori tupe y simbaulanga ile y kuiba 50m miaka ya 80.cz ilikua big story ila naskia alitoka huyo mama cz hela ilifanya kazu, 50m z nbc miaka hiyo ni bilionea hakimu au jaji akufunge atakua mjinga cz maisha yalikua tyt
Hii kesi nimeikumbuka tena, nilikuwa bado kijana sana nikiwa chuo kikuu.
Matoa mada kaindakia kwa ufasaha sana. Sina uhakika kama yule mama Asha alinyongwa kweli au vipi, kwani wakati wa Nyerere watu walikuwa hawanyongwi; death warrants zao zilikuwa zinaishia kwenye desk la rais tu ambako zilikuwa hazisainiwi na hivyo kubaki jela maisha.
Ila kama death warrant ya mama huyu ilikwenda kwa Mwinyi basi huenda alinyongwa kwa vile Mwinyi alisaini death warrants zote zilizofika kwenye desk lake.
Namimi nimeshangaa huu ujasiri wa HappinesMtambuzi,
Nadhani hii kesi ni nzuri sana ya kutufundisha kama jamii, kwamba lazima tufike mahali tutambue ni kwa kiasi gani wakati mwingine udhaifu wetu wanaume unasababisha maafa kwa watu wengine...
Kukutia ole pumbunMkuu naomba uweke na case ya mwalimu Peter muhozi vs AG na ya hamisi and six other vs AG ipo kwenye kitabu cha administrative law by chipet na kama unacho naomba unipe
alikua anapelekea moto hadi wazungu...mzee Mtambuzi, ....dahhh, asante.
hiyo kesi ya mama Haule imetokea nyuma ya nyumba
yetu.....
F.y.i.... Prof Haule alikuwa daktari mtaalamu bingwa wa
magonjwa ya akili....yaani kama namuona na ndevu zake.
Halafu Happy na Mussa aka Moses...mnh...
mpo wapi aisee?
Umenikumbusha mbali sana na ni jambo zuri sana unalolifanya...I doubt kama law schools za Tanzania wanatumia case zetu kufndisha au ni za kuimport tu bado...
Hizo zingine link iko wapi? Keep up doing the good work...
Vice versa is true too.Usipokua makini mwanaume anaweza kukupitisha njia hujawahi tarajia utapita