Asha Mkwizu Hauli-Na kesi ya kumuua hawara wa mumewe

H





Ninavyokwambia hivyo Nina uhakika 100%,,huyu mama kwao na kwetu ni jirani kule wilaya ya moshi vijijini,jimbo la vunjo,kata ya makuyuni kitongoji cha saghana,,,yupo hai mpaka Leo,,
Ok mpe pole.
Nimesoma hukumu, alikuwa katika wakati mgumu
 
Hayupo kule kwasasa,,alihama baada ya kuona watu wanamtenga,,,nitumie FB account yako nikuunganishe na watoto wa kaka zake ambao nimesoma nao shule ya msingi wanaweza kukujuza alipo kwasasa
Yeye hakuzaa na Mzee haule?
 
Mkuu naomba uweke na case ya mwalimu Peter muhozi vs AG na ya hamisi and six other vs AG ipo kwenye kitabu cha administrative law by chipet na kama unacho naomba unipe
 
Niliona jamaa akimchoma kisu mwenzake kisa wanagombea barmed mabibo dar bar ya chabruma
 
Kesi muhimu sana hasa kwenye Crimina Law (jinai) na reference kwenye Marriage Law (Sheria ya Ndoa)
 
Nina UHAKIKA 100% Huyo mama alifariki kwa kupigwa na mfungwa mwenziwe gerezani.

Aliyefariki kwa kupigwa na kuni na mfungwa mwenziwe ni Maryam Siri ambaye alihukumiwa kunyongwa kwa kumuua mumewe na kumfukia kisimani nadhani kule Bagamoyo.

Ndugu wa marehemu walipokuwa wakimuuliza ndugu yao alikuwa akiwajibu ameenda Uarabuni na akawakataza majirani kutumia kisima akidai kuna mbwa kafia humo.

Alipohukumiwa alipelekwa Isanga Dodoma ambako mauti yalimfika kwa kupigwa kwa kuni na mfungwa mwenzie.
 
nadhan happiness naye hakuwa na akili nzuri. yaani unatembea na mume wa mtu. mwenye mume amekupeleka mpaka polisi. baadaye mnarudi anakushawishi mwende kwake ukale unywe na bia unaoa ni sawa tu. we una akili sawasawa?
Huyo Happiness kwenye familia yao wote hawana adabu!

Kuna mdogo wake alimnyang'anya mwalimu wetu aliyetufundisha primary school mume hadi leo wanaishi uke wenza.

Kuna mdogo wake mwingine ndio mshenzi kabisa, alikuwa anatembea na mzee fulani hivi, basi ikatokea huyo mzee mkewe akafariki, bila aibu siku ya mazishi huyo hawara akawa anaongea kwa sauti mbele ya waombolezaji " HEBU WAZIKE HARAKA MIE NIHAMIE KWA HUYU MZEE....."

Ni familia ambayo kuchukua mume wa mtu kwao ni poa tu japo kwao ni kijijini sana!

Kwa kuwaona hao wadogo zake Happiness tabia zao, basi sina shaka yoyote kuwa marehemu alienda nyumbani kwa Asha kwa kiburi...
 
Naweza waona kwa picha? Kama wana account insta,fb nitumie inbox nione ni wanawake wa namna gani hao....😁😁😁

Huyo Happiness kwenye familia yao wote hawana adabu! Kuna mdogo wake alimnyang'anya mwalimu wetu aliyetufundisha primary school mume hadi leo wanaishi uke wenza...
 
Naweza waona kwa picha? Kama wana account insta,fb nitumie inbox nione ni wanawake wa namna gani hao....😁😁😁
Hata simu ya smart hawana. wako huko kwetu kijijini kabisa kabisa wilaya ya Mwanga - Kilimanjaro.
 
nadhan happiness naye hakuwa na akili nzuri. yaani unatembea na mume wa mtu. mwenye mume amekupeleka mpaka polisi. baadaye mnarudi anakushawishi mwende kwake ukale unywe na bia unaoa ni sawa tu. we una akili sawasawa?
Gudume Happyness ndio alimpeleka mke halali wa Dr Hauli polisi hapo ndio ujue alikuwa hazimtoshi
 
Back
Top Bottom