ksny
JF-Expert Member
- Mar 30, 2016
- 1,693
- 1,657
Huyu hawala nadhani alikuwa pumbuani. Wewe unamshitaki mtu anatishia maisha yako, na pia unamchukulia mme, alafu unafuatana naye nyumbani kwake kupata vinywaji. Huogopi hata anaweza kukuwekea sumu. Huyu alipumbazwa na nini au alijiaminia nini? Tena anamtukania nyumbani kwake mama wa watu (kama ni kweli), pamoja sishabikii kifo, lakini hiki kifo alikikaribisha mwenyewe.....hapana, ushahidi wa mahakamani ndio wa kuaminika zaidi, umefanyiwa uchunguzi...
ila kiukweli....mama Asha was a devouted wife...mwenye heshima na kuheshimika mtaani.
Sisi wanaume kiukweli tunamaruweruwe ambayo mwanamke asipokuwa na akili timamu ya
kuamua mapema, anaweza kuua....
Kumbuka, miaka hiyo kuomba au kupewa talaka ilikuwa kama taboo...
Kesi zote mbili zilihusisha kina baba waliokuwa " vichwa" na wanaoheshimika
kwenye jamii...Ingawa kumbe majumbani they had long suffering wives...