Asha Mandela

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
315824_501811966507421_1951123423_n.jpg
 
mh!nina dreads lakini sidhani kama nataka zifike hapa!well with her style anapendeza lakini!sijui zina miaka mingapi!
 
Mbuzimzee ghala lako la mambomambo ni bab kubwa mwanangu. Nakuvulia kofia kuanzia leo na unanifurahisha sana mwana witu.
 
Aisee we kiboko unatoa wapi hivi vitu adimu mkuu mbuzi mzee?!

Sent from my BlackBerry 9360 using Jamie's
 
Kumbe zile habari kwamba ukifuga nywele kwa muda mrefu zinakunyonya damu unakondeana ni uongo mtupu aisee. Daah tulikua tunadanganywa na wazazi wetu ili wasitusuke nywele
 
Kumbe zile habari kwamba ukifuga nywele kwa muda mrefu zinakunyonya damu unakondeana ni uongo mtupu aisee. Daah tulikua tunadanganywa na wazazi wetu ili wasitusuke nywele

Sio tu hilo, kwani hujui kuwa mlikuwa mnamaliza budget ya sabuni? ungaunga ama kipara hamna shida hapo.
 
Mmmh huwezi kuishi kama binadamu wa kawaida, maana uzito huo huwezi kumove around.

Na kuoga je? Hapo ina maana kila akioga lazima azioshe, vinginevyo zitalowa tu bila utaratibu maalum.
 
Back
Top Bottom