Asha Baraka: "Sitaki Ali Choki afie kwangu''

Ha ha ha.. Halafu dizaini hiyo kunakuwaga na ndugu zake mwanamke ambao wanakuwa wanachukia sana kitendo cha kumuona mwanaume akila mali za ndugu yao kwa kujifanya ana mahaba.. So ikitokea tu amededi, ndugu wanakuja kwa speed ya ajabu na kukutoa nduki..
 
hapana namfahamu choki toka utotoni mwangu wacha kunilazimisha kukubali unachoniambia wakati nimemuona mwenyewe na kuna mtu alimwagia pombe lwiza mbutu akalalama sana n way yeye ni mwanadamu kila mwanadamu ana ups and downs................ kama kachoka sawa tu hata mie na wewe tunaweza kuchoka pia kwani yeye nani mpaka asichoke? mpe pole ukimuona na leo
We Me au Ke?.....kama ni Me uende ukapimwe marinda manake hizi ndiyo tabia zao
 
Back
Top Bottom