Asha Bakari hakuwa na haki ya kumtukana Jussa, hebu msikilize, Zanzibar anateta Dodoma anaufyata!

Ni aibu kweli,mh!itabidi vijana walioko bungeni wamweleze kuwa clip yako mama imetoka aisome amuombe radhi Jussa.
 
halafu ccm baada ya hapo wakamtengenezea na keki, eti kufanya sherehe ya kupinga unyanyasaji wa jinsia, du nilishutuka kwa kweli.
 
Mkumbuke posho ya wajumbe toka zanziba r ni sh 500000 kwa siku.Mwenye speech ya huyu mama akiwa dodoma atuwekee
 
Ni aibu kweli,mh!itabidi
vijana walioko bungeni wamweleze kuwa clip yako mama imetoka aisome
amuombe radhi Jussa.

Watu wengine bwana amuombe jussa msamaha kwa lipi? kama kasingiziwa angekanusha lakini habari zote ni kweli kama hutaki kuamini bac kaa na chagadema wako
 
Watu wengine bwana amuombe jussa msamaha kwa lipi? kama kasingiziwa angekanusha lakini habari zote ni kweli kama hutaki kuamini bac kaa na chagadema wako

Ungesikiliza alichokisema kwenye clip na anachotetea bungeni ni vitu viwili tofauti.Na pia kubali au ukatae kuwa mpinzani siyo uadui,na wala hatutakiwi kubaguana kutokana na itikadi zetu,na wala sitokubagua kwa sababu ya dini yako,kabila lako wala chama chako unachotoka.

Huna haki ya kuniita CHAGGADEMA hata kama ni Mwanachama wa CDM,na wala sitokuita FISADI sababu tu unatoka CCM kwenye chama kilichojaa wezi,wala rushwa,mafisadi na wauza raslimali zetu,hivyo kaka heshimu watu wengine wenye itikadi tofauti na wewe.

Elewa maana ya upinzani siyo uadui,elimika ,japo kidogo,usipende kutukana watu wengine,tumia kidogo akili uliyozaliwa nayo.
 
halafu ccm baada ya hapo wakamtengenezea na keki, eti kufanya sherehe ya kupinga unyanyasaji wa jinsia, du nilishutuka kwa kweli.

Hawakuelewa kuwa hata Jussa alikuwa muathirika wa unyanyasaji wa kijinsia pia?Tatizo wengi tunadhani Unyanyasaji wa KIJINSIA ni kwa akina mama/wanawake tu.

Safari yetu tupo mbali lakini hope tutafika tuendako.
 
Mama keshalishwa UROJO huyoooooooooo!!!

Lazima awageuke Wanz wenzie, tusishangae akirudi ZNZ atabadilika tena na kutetea Demokrasia ya kweli na haki itendeke kwa kumsikiliza mtu atakacho lakini sasa Bungeni ameahidiwa UROJO lazima AROJOKE MSISHANGAE

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
ukimwona mtu anapewa nafasi ya kujieleza kisha analalamika na kukashifu watu wanaosema ukweli maana yake ni moja tu, mtu huyo hajafika hapo bungeni kwa uwezo wake bali kuna mabwana wanaoumbeba msiwashangae , na tuwahurumie kwasababu huu si wakati wakudanganyana
 
Kwa aliyemuona Dodoma na clip iliyoko fb haya ni majanga. Hamna watunga katiba hapa, kuna wachumia tumbo tu ndio waliobaki mjengoni. Huyu mama njaa inamsumbua. Alaaniwe kama hatamuomba msamaha Jussa. Sasa Wazanzibar mnatakiwa muone aina ya watu mlio watuma kuwatetea kwenye kutunga Katiba. Natamani hii iwekwe kwenye cd iuzwe hapo Dodoma lango la kuingia mjengoni. Mnafiki mkubwa huyu.
 
Ungesikiliza alichokisema kwenye clip na anachotetea bungeni ni vitu viwili tofauti.Na pia kubali au ukatae kuwa mpinzani siyo uadui,na wala hatutakiwi kubaguana kutokana na itikadi zetu,na wala sitokubagua kwa sababu ya dini yako,kabila lako wala chama chako unachotoka.

Huna haki ya kuniita CHAGGADEMA hata kama ni Mwanachama wa CDM,na wala sitokuita FISADI sababu tu unatoka CCM kwenye chama kilichojaa wezi,wala rushwa,mafisadi na wauza raslimali zetu,hivyo kaka heshimu watu wengine wenye itikadi tofauti na wewe.

Elewa maana ya upinzani siyo uadui,elimika ,japo kidogo,usipende kutukana watu wengine,tumia kidogo akili uliyozaliwa nayo.

Huyu Mnyamiwono ni -------- anajiongelea to kama kasuku.
 
Video hii yapaswa isambazwe zenji kote ili waone wanavyodhalilishwa na wawakilishi wao

kwa video hii kamsifia jussa na kusema kwa yale aliyosema jussa hana la kuongeza kwani kama matatizo haya yamedumu miaka 48 yapaswa yatatuliww sasa

"Tukisema wanadai tunaenda kinyume na matakwa ya chama" kumbe uchama unaweza ipeleka nchi kuzimu eeeh? duu
 
Mwakyembe group/company!!!!
 
Back
Top Bottom