Asenga kuziba mto ulioacha njia yake Kilombero

ray jay

JF-Expert Member
Sep 27, 2011
1,084
485
Alitembelea mto huo jana kisha kufanya kikao na wadau jinsi gani kero hiyo ya wananchi inaweza kutatuliwa haraka.

Makubaliano yalikuwa kwakuwa Halmashauri ina greda basi atachangia mafuta na Mkt wa CCM wilaya ya Kilombero Mzee Kambangwa atasiamamia jambo hilo.

Kwakuwa wananchi wa Kilimbero mwakilishi wetu bado kaziba mdomo na tunazidi kuumia.

Tunajuta kumuacha Asenga.

Tunaimani ktk kesi ya rufaa ya uchaguzi inayoendelea Mungu ataleta heri yake.Tutakula vichwa vya mabubu

Kosa kurudia kosa

 
Alitembelea mto huo jana
Kisha kufanya kikao na wadau jinsi gani kero hiyo ya wananchi inaweza kutatuliwa haraka
Makubaliano yalikuwa kwakuwa Halmashauri inagreda basi atachangia mafuta na Mkt wa CCM wilaya ya kilombero mzee kambangwa atasiamamia jambo hilo
Kwakuwa wananchi wakilimbero mwakilishi wetu bado kaziba mdomo natunazidi kuumia
Tunajuta kumuacha asenga
Tunaimani ktk kesi ya rufaa ya uchaguzi inayoendelea Mungu ataleta heri yake
Tutakula vichwa vya mabubu

Kosa kurudia kosa


Kulikua na haja gani ya kutuletea huku jf????
 
Na Mkuu Mpya wa Wilaya Kilombero kishateuliwa,Asenga wa Pakaya Bora urudi Rombo kwenu kupambana na wa Wa Kenya wanaokodiwa na Dada zenu
 
Back
Top Bottom