Kaa la Moto
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 7,903
- 1,053
Zitto's Profile · Zitto's Wall
Zitto Kabwe
Mjadala unaoendelea JamiiForums:Kwa nini zito kajitoa kwenye facebook?
News Alert: Kwa nini zito kajitoa kwenye facebook?
www.jamiiforums.comW
3 hours ago · LikeUnlike · Comment · Share
Zitto Kabwe
Mjadala unaoendelea JamiiForums:Kwa nini zito kajitoa kwenye facebook?
News Alert: Kwa nini zito kajitoa kwenye facebook?
www.jamiiforums.comW
3 hours ago · LikeUnlike · Comment · Share
- Mwesiga Kyaruzi likes this.
-
Bakari Mnali Mbona mi nakuona sasa3 hours ago · LikeUnlike
-
Zitto Kabwe they are misleading the public3 hours ago · LikeUnlike · 7 peopleLoading...
-
Mary Misoji Nzungu Ng'oboko hivi kuwepo au kutokuepo Face book si ni hiari ya mtu? Au kuna mahali au sheria inakulazimisha uwemo facebook?3 hours ago · LikeUnlike
-
Arthur Ngasani mh! sasa mbona hata hilo swali lako tumelipata kupitia humu!3 hours ago · LikeUnlike · 1 personLoading...
-
Carol Magessa Hata mm nimeshangaa sana,ilibidi nirudi hapa kukucheck naona upo!3 hours ago · LikeUnlike
-
Ntukula Boaz zito achana na ******* hao.mbona upo3 hours ago · LikeUnlike
-
Eddy Banyenza hafu wamezidi kunijazia mail box yangu..... pole sana kaka...3 hours ago · LikeUnlike
-
Kerry Kerwin May be they had a fake dude who impersonate ur nama kaka3 hours ago · LikeUnlike
-
Lee Salim wamefulia hao, tujenge hoja za msingi na kuepusha uongo uliojaaa uzandiki na fitna. jamii forum imejaa vijana wenye elimu na uwezo mkubwa wa kufikiri ila kwa mwendo huu munapotosha umma na kutoa imani yenu kwa watanzania kama munadhamira ya dhati kwa maendeleo ya taifa au ndio ububusa wenyewe huu, kufuata upepo tu bila kutafakari?3 hours ago · LikeUnlike · 1 personRehema Omar Isango likes this.
-
Arthur Ngasani huyo aliyeripoti hiyo mada atakuwa umemuondoa labda kwenye orodha ya marafiki ndo maana anakutafuta hakupati sasa kaona aropoke kuwa umejitoa, anawapotezea muda tu wenziye huo muda wa kujadili hoja yake wangetumia kufanya mambo mengine ya msingi3 hours ago · LikeUnlike
-
Joseph Nondi si unajua jamiiforum bila kupost anythng about zitto per day wanaona kama siku haitaenda..3 hours ago · LikeUnlike · 2 peopleLoading...
-
Abel Kaseko wanatumia nguvu nyingi...3 hours ago · LikeUnlike
-
Mikah Kobole Ndio tulivyo wa Tz,kwa habari za kuzusha,yote ni kwa ajili ya ugumu wa maisha,mtu anakurupuka cha kuandika bila kufikiria.na jinsi ya kufanya hili habari isomwe kama njungu.3 hours ago via Facebook Mobile · LikeUnlike · 1 personLoading...
-
Mohamed Arfi niwehu3 hours ago via Facebook Mobile · LikeUnlike
-
Khaled Masondore Great Thinkers wamekosa la kujadili...nxt2 hours ago · LikeUnlike
-
Dennis Luambano jamiiforums..shit, achana nao..2 hours ago · LikeUnlike · 1 personLoading...
-
Sadallah Sadallah Nowadays if u wanna draw public attention,make sure ZITTO KABWE is yo topic!2 hours ago via Facebook Mobile · LikeUnlike
-
Mwesiga Kyaruzi Hata ukijitoa inawahusu nini, wengi wao hata sio wapiga kura wako. Lakini wengi tunafahamu Jamii Forum ni PR wing ya Chadema.2 hours ago · LikeUnlike · 1 personLoading...
-
Mwasakafyuka Samson labda wanamaanisha Zito mwingine, yupo dogo mmoja anaitwa Zito, watu wengi hujiunganisha nae wakijua ni Zito huyu wa Kigoma .2 hours ago · LikeUnlike
-
Mwasakafyuka Samson ama Jamaa ulimblock, kwahiyo hakuoni ndio maana2 hours ago · LikeUnlike
-
Fredy 'Tayasar' Mizambwa Kuna watu wamekalia kuchunguza maisha ya watu na kukurupuka na info zisizo na uhakika, mara nyingi ni majobless2 hours ago · LikeUnlike
-
Mwasakafyuka Samson Mizambwa , hizo ndo gharama za kua maarufu, si kitu cha ajabu hata kidogo katika dunia ya Utandawazi.2 hours ago · LikeUnlike
-
Fungo Augustus kama amejitoa aliyepost hapa ni nani au sio zitto? Vitu vingine havina tija2 hours ago via Facebook Mobile · LikeUnlike
-
Ambokile Mwangolombe Shame on them.2 hours ago · LikeUnlike
-
Nyaki Emanuel wachukulie poa mkubwa,u have to settle ua mind 1st,then endelea kuwatumikia.2 hours ago · LikeUnlike
-
Bimbona Kyamani That reflects the kind of Media we have in TZ most of them reports the ideas of their owners or Editors.etc2 hours ago · LikeUnlike
-
Hassan Abbas Nafanya academic paper kuhusu athari za utandawazi katika mawasiliano...huu ni ushuhuda tosha wa namna wanadamu walivyorahisishiwa maisha kwa gunduzi za njia za kisasa za mawasiliano badala yake hawanufaiki kwa mambo ya maana isipokuwa umbea, unafiki na kutajataja tu watu majina hovyo.2 hours ago · LikeUnlike
-
Kabeby BintiMushi no comment2 hours ago · LikeUnlike
-
Hassan Abbas ‎@Fungo et al msomi mmoja adhimu Prof. Nyamjoh kwa masikitiko ametafiti jinsi ambavyo waafrika hawatanufaika na information super highway..wakati ulaya wanautumia kusaka habari za maendeleo na maisha yao kuboreka zaidi sisi tunasaka habari za watu..kutaka kujua nani kasema nini yuko wapi na anafanya nini..umbea mwingiiii....labda kwa sababu niko Mbeya now neno umbeya limenikaa sana ninapoliangalia suala la mjadala huu ha ha ha.about an hour ago · LikeUnlike
-
Haidar Chamshama Jamii forums ni sawa na Ze utamu tu siku hizi, heshima yao imeshuka sana kwa akili ya baadhi ya members wajinga na wapumbavu, ukiona mada wanazojadili ni kinyaa kitupu. Hata Jay dee alishawahi kuwapaka kwa uzushi waoabout an hour ago · LikeUnlike · 1 personLoading...
-
Idris S Mkindi UKIONA WATU WANAKUJADILI SAANA BASI UJUE KWA NJIA MOJA AMA NYINGINE WANAKUKUBALIabout an hour ago · LikeUnlike · 1 personLoading...
-
Daniel Lema Maajabu hayaishi duniani!Na ukiona hivi ujue watua hawana jambo la kujadili.Empty minds...about an hour ago · LikeUnlike
-
Lee Buchwa ‎@Boaz, hisia hazipelekwi na matusi, toa hoja57 minutes ago · LikeUnlike
-
Dennis Amos This is a major BS....my advise to you Zitto is to lay low and stop this habit of wanting to be on the news everyday. Respect is earned and not deserved. They are selling newspapers using your name and internal conflict that is going on withinn Chadema. Folks need to work and be innovative to improve their life instead of focusing on stupid rumors. Zitto remember a smoking gun can reveal a mushroom cloud. Also rememember what Mwl Nyerere said "umaskini wa mawazo ni umaskini mkubwa kupita wote kabisa".52 minutes ago · UnlikeLike · 1 personLoading...
-
Godfrey Antony Ameishapata pigo la kisiasa na comments zake zote hazipati support, na asilimia kubwa ya wapiganaji wa ukweli wamempotezea thts'why kajitoa22 minutes ago via Facebook Mobile · LikeUnlike
-
Haidar Chamshama Godfrey umedandia gari kwa mbele...20 minutes ago · Like
-
Bakari Mnali Mbona mi nakuona sasa3 hours ago · LikeUnlike