Aseeeeee eti ndio nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Aseeeeee eti ndio nini?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by ney kush, Mar 5, 2012.

 1. ney kush

  ney kush JF-Expert Member

  #1
  Mar 5, 2012
  Joined: Feb 16, 2012
  Messages: 1,195
  Likes Received: 377
  Trophy Points: 180
  Za week end wanajamii.. NAOMBA NIULIZE MSICHANA AU MVULANA ANAPOSEMA MPENZI WAKE ANA MAPENZI YA KITOTO NDO ANAMAANISHA NINI?
   
 2. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #2
  Mar 5, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Anamaanisha mapnz yako bado ni ya kivulana au kisichana!
   
 3. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #3
  Mar 5, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Anataka wanacheze baba na mama mchana
   
 4. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #4
  Mar 5, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,869
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  swali mengine magumu...
   
 5. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #5
  Mar 5, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mapenzi ya kitoto ina tafsiri pana sana lakini kwa ufupi kama mpenzi wako anapenda sana kila mnapotembea mshikane mikono na matendo yanayoshabihiana na hayo ya kujionyesha onyesha kama dalili ya kupendwa sana basi unaweza anapenda mapenzi ya kitoto.

  Watoto wanapenda sana kufanya mambo yao kwa shoo. Ni mtazamo wangu.
   
 6. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #6
  Mar 5, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Umeambiwa nini?.kama mtu anavyozaliwa na anakua na mapenzi ndo hivyohivyo.
   
 7. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #7
  Mar 5, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,060
  Likes Received: 6,509
  Trophy Points: 280
  ngoja waje wakuu wenye hiyo taaluma watakujibu.
   
 8. AMINATA 9

  AMINATA 9 JF-Expert Member

  #8
  Mar 5, 2012
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 2,132
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  yani we underground kwake kinoma ktk swala zima la kimapenzi
   
 9. ney kush

  ney kush JF-Expert Member

  #9
  Mar 5, 2012
  Joined: Feb 16, 2012
  Messages: 1,195
  Likes Received: 377
  Trophy Points: 180
  Aiseeeeeeeeee
   
 10. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #10
  Mar 5, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  kwa msichana akikuambia una mapenzi ya kitoto
  probably inahusu na masuala ya kutomjali kimahitaji....

  mapenzi ya kitoto ni yale ambayo mwisho wa siku kila mtu anarudi kwa wazazi wake
  kwa mahitaji ya msingi.....
   
 11. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #11
  Mar 5, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  mambo vipi a9?
   
 12. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #12
  Mar 5, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  yap! that's why you are the king of MMU anaebisha akajinyonge..
   
 13. CUTE

  CUTE JF-Expert Member

  #13
  Mar 5, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 1,237
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  dah! nimekupenda bure shost :poa
   
 14. GODLIVER CHARLE

  GODLIVER CHARLE Member

  #14
  Mar 5, 2012
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 86
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  KWA UPANDE WANGU HILI LIKO TOFAUTI SANA NA SIWEZI KUSEMA WALA KUAMINI KWAMBA MKITEMBEA MMESHIKANA MIKONO AU KUWA NA MAPENZI YA WAZI (HUJIONESHA) NI MAPENZI YA KITOTO ILI MRADI TU KWAMBA HATA NYUMBANI MNA MAPENZI YA DHATI BASI KUJIONESHA NI ISHARA YA UAMINIFU NA UPENDO WA DHATI KWA MPENZI WAKO NA TENA NI ISHARA YA KWAMBA UKO NAYE NA UMERIDHIKA KUWA NAYE KWA LOLOTE.

  Mapenzi ya kitoto kwa mtizamo wangu sana sana ni kile kijitabia cha wasichana kutokuwa wazi kwa wapenzi wao. Mf. Hawezi kumwambia mpenziwe kwamba anamhitaji kimapenzi, na hata kama mpenzi wake (Mwanaume) akimtaka kimapenzi ni hadi amlazimishe (nataka-sitaki) au afanye kumbaka hata kama wamezoeana vip always hadi alazimishwe na akilazimishwa huwa anam---ga--ia tu. HAYA NI MAPENZI YA KITOTO NA SOMETIMES MSICHANA ANAJIFANYA ANAAIBUUUUUUUUUUUUUU...KUMBE!!!!!!!!!!! ......................
   
 15. CUTE

  CUTE JF-Expert Member

  #15
  Mar 5, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 1,237
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  your right:poa
   
 16. Going Concern

  Going Concern JF-Expert Member

  #16
  Mar 5, 2012
  Joined: Jul 25, 2011
  Messages: 934
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 60
  kila saa unataka kunyonya, au nimekosa?
   
 17. AMINATA 9

  AMINATA 9 JF-Expert Member

  #17
  Mar 5, 2012
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 2,132
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  mi wa afya sijui ww
   
 18. AMINATA 9

  AMINATA 9 JF-Expert Member

  #18
  Mar 5, 2012
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 2,132
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  thanx me too
   
 19. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #19
  Mar 5, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  kuna mambo ya msingi unatakiwa ufanye unapokua nae...HAUFANYI
  yasiyo ya msingi km kuzurura mlimani city pamoja...NDIO UNAFANYA.
  mazungumzo yako hayana FUTURE..
  unazungumza porojo hazina steki...mifupa tupuu...
  ni pana sana kwa kweli...kila mtu atupie kidogo kidogo utaelewa..
   
 20. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #20
  Mar 6, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,284
  Likes Received: 19,437
  Trophy Points: 280
  you are right
   
Loading...