Asee uchawi upo?!

Spark

JF-Expert Member
Apr 5, 2015
1,001
1,024
Wakuu nimeamini uchawi upo,Kwann vijana wengi tunapofanikiwa mjini na kurudi vijijini mwetu na vigari wakati wa kirudi hua tunakula mizinga?

Inatokea unaenda harusini/ kutoa posa/ kwenda msibani/send off / vikaoni au katika shughuli mbali mbali za kifamilia zenye mikusanyiko ya watu unaweza pata ajali mbaya ya kupoteza viungo au kifo?

Ni nini hasa kilichopo katika nafsi za watu?Watu wakaribu na ndugu wamekua na roho mbaya sana,wanaweza kukuchekea usoni kumbe mioyoni mwao wanakuwazia mabaya!

Wanatamani kukuona umepigika kimaisha,umechoka umefirisika hohehahe! Kwann wenzetu wanapopata matatizo tunafurahia? Na wakifanikiwa tunachukia? Wangapi tumepitia haya mambo,tupeane shuhuda!
 
Mkuu una statistics za kubackup madai yako. isije kuwa unajua watu wawili watatu ukahitimisha hivyo.

Vijana wengi wanakufa kwa ajali kwasababu ya ligi. Mtu ana Subaru anataka aiendeshe kama ndege ya ardhini barabara yenyewe ndogo magari mengi, lazima director aseme cut
 
Uchawi upo kabisa na watu wana roho mbaya sana..
Nilipata kazi sehem nikapiga kazi hatari..kumbe milivyokuwa nafanya kazi boss wa wafanyakazi wengine hawapendi bana,Mimi nilikuwa napiga kazi ili niogezwe mshahara mwakani ...kwa bahati mbaya wale maboss wenyewe nikawa nasikia tetesi za chinichini kuwa wanataka kunipa cheo pale kazini.

Mimi sikuwa na lengo kabisa LA cheo..daaah! Viongozi wa pale tena mmoja yupo umu jf ni mchawi hatar,WAKASHIRIKIANA WAKANITUMIA MAJINI kisa sikijui ila wao wanadai nilikuwa nataka cheo chao...hakika watu wana roho mbaya sana..mpka Leo huyu jamaa yupo hapa jamii forum anachat hana habari uku Mimi kashanialibia maisha yangu...nasema IPO siku tutakutana na huo uchawi wako ..nimepata makofu kwenye mwili wangu bila makosa...nasema MAJINI ulionitumia IPO siku yatakukuta zoea kutumia watu uchawi wako huo fala ww
 
Wakuu nimeamini uchawi upo,Kwann vijana wengi tunapofanikiwa mjini na kurudi vijijini mwetu na vigari wakati wa kirudi hua tunakula mizinga? Inatokea unaenda harusini/ kutoa posa/ kwenda msibani/send off / vikaon au katika shughuli mbali mbali za kifamilia zenye mikisanyiko ya watu unaweza pata ajali mbaya ya kupoteza viungo au kifo? Ni nini hasa kilichopo katika nafsi za watu?Watu wakaribu na ndugu wamekua na roho mbaya sana,wanaweza kukuchekea usoni kumbe mioyoni mwao wanakuwazia mabaya! Wanatamani kukuona umepigika kimaisha,umechoka umefirisika hohehahe! Kwann wenzetu wanapopata matatizo tunafurahia? Na wakifanikiwa tunachukia? Wangapi tumepitia haya mambo,tupeane shuhuda!

Nakumbuka Sana ajali ya Msanii Africa Chiedel pale Kimara Korogwe alidondokewa na KONTENA akakata kamba pale pale....Alitoka kwenye kikao cha harusi yake.
 
Wakuu nimeamini uchawi upo,Kwann vijana wengi tunapofanikiwa mjini na kurudi vijijini mwetu na vigari wakati wa kirudi hua tunakula mizinga? Inatokea unaenda harusini/ kutoa posa/ kwenda msibani/send off / vikaon au katika shughuli mbali mbali za kifamilia zenye mikusanyiko ya watu unaweza pata ajali mbaya ya kupoteza viungo au kifo? Ni nini hasa kilichopo katika nafsi za watu?Watu wakaribu na ndugu wamekua na roho mbaya sana,wanaweza kukuchekea usoni kumbe mioyoni mwao wanakuwazia mabaya! Wanatamani kukuona umepigika kimaisha,umechoka umefirisika hohehahe! Kwann wenzetu wanapopata matatizo tunafurahia? Na wakifanikiwa tunachukia? Wangapi tumepitia haya mambo,tupeane shuhuda!
Acheni Watuue tu kwani na Sisi tukishapata Vijisenti vyetu huwa tunawadharau na kuwanyanyasa tukisahau kuwa nasi tulipigika mno kama Wao.
 
Uchawi upo kabisa na watu wana roho mbaya sana..
Nilipata kazi sehem nikapiga kazi hatari..kumbe milivyokuwa nafanya kazi boss wa wafanyakazi wengine hawapendi bana,Mimi nilikuwa napiga kazi ili niogezwe mshahara mwakani ...kwa bahati mbaya wale maboss wenyewe nikawa nasikia tetesi za chinichini kuwa wanataka kunipa cheo pale kazini.

Mimi sikuwa na lengo kabisa LA cheo..daaah! Viongozi wa pale tena mmoja yupo umu jf ni mchawi hatar,WAKASHIRIKIANA WAKANITUMIA MAJINI kisa sikijui ila wao wanadai nilikuwa nataka cheo chao...hakika watu wana roho mbaya sana..mpka Leo huyu jamaa yupo hapa jamii forum anachat hana habari uku Mimi kashanialibia maisha yangu...nasema IPO siku tutakutana na huo uchawi wako ..nimepata makofu kwenye mwili wangu bila makosa...nasema MAJINI ulionitumia IPO siku yatakukuta zoea kutumia watu uchawi wako huo fala ww
Fanya kumtaja aje ajibu mashtaka yake
 
Kama unakufa kufa tu .
Sio nipate utajjri halafu ndo ufe ,watasema nimekutoa kafara
 
Uchawi upo kabisa na watu wana roho mbaya sana..
Nilipata kazi sehem nikapiga kazi hatari..kumbe milivyokuwa nafanya kazi boss wa wafanyakazi wengine hawapendi bana,Mimi nilikuwa napiga kazi ili niogezwe mshahara mwakani ...kwa bahati mbaya wale maboss wenyewe nikawa nasikia tetesi za chinichini kuwa wanataka kunipa cheo pale kazini.

Mimi sikuwa na lengo kabisa LA cheo..daaah! Viongozi wa pale tena mmoja yupo umu jf ni mchawi hatar,WAKASHIRIKIANA WAKANITUMIA MAJINI kisa sikijui ila wao wanadai nilikuwa nataka cheo chao...hakika watu wana roho mbaya sana..mpka Leo huyu jamaa yupo hapa jamii forum anachat hana habari uku Mimi kashanialibia maisha yangu...nasema IPO siku tutakutana na huo uchawi wako ..nimepata makofu kwenye mwili wangu bila makosa...nasema MAJINI ulionitumia IPO siku yatakukuta zoea kutumia watu uchawi wako huo fala ww
Vipi umejuaje kuwa yupo huku jf , nini kilikukuta ndugu?
 
Pole Sana Mkuu..Inauma na kuumiza Sana.Vijana tunateswa Sana makazini na wanga asee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom