Sikuwahi fahamu mapenzi yanaumiza hivi

Nilikuwa nashangaa mtu akililia , yamenikuta hadi nahisi mwili unawaka moto .. check backup zote hazijafikia kiwango cha namba moja wao.. kujifariji kupitia backup lakini wapiiii maumivu yapo pale pale dah! ama kweli backup sio mkombozi
Pole sana kijana ushauli wangu

1.kitu kwanza kubali kwanza hakuna jambo lenye mwanzo lisilo kuwa na mwisho hivyo kubaliana na matokeo

2.pili chochote kilichotokea mwachie MUNGU na endelea na maisha mengine

3.tatu futa kumbukumbu zote za wewe na mpenzi wako na kubali kuanza upya kwani moja ya faida ya kuanza upya inaweza kukutanisha na mtu ambaye bora zaidi ya huyoo

4.epuka kumsema vibaya mpenzi wako kwa watu waliokuwa wanafahamu mahusiano yenu
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 SAFI SANA.

Karma mtu kakutwa na jambo huku. Si ni huyu ndiye alisema hatumsumbui anapiga na kusepa? Hehehe haloooo baharia analia 🤣🤣🤣

Saint Anne
 
Hivi mnaumia je nyie? tatzo leo mnaingia kwenye mahusiano ukimuamini mwanamke, usije kumuamin mwanamke ingia kwenye mahusiano umejiandaa kisaikolojia lolote linaweza kutokea

Bro hujawah kukutana na mwanamke wewe...kuna madem mna match kila sector maongez, utan, sex tamu ,..hakuegemei kwenye outing ama matumiz ya kawaida Yan raha sana sasa achana na demu wa hiv kutana na akina ndala ndefu....
 
Tatizo ulichukulia mapenzi ni sex pekee ndio maana unaona ata backup zote sio kitu kwa huyo aliekuacha.

Epuka kuachana na mtu mliekuwa mnapendana alaf hapo hapo ukajidai kwenda kutafta backup yake haraka haraka
 
Back
Top Bottom