Asclepius mungu wa ki-Giriki wa uponaji

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,597
215,272
Asclepius alikua mungu wa uponaji zamani za kale katika dini na imani ya ki-Giriki. Asclepius aliwakilisha uponaji katika nyanja ya utabibu, mabinti zake ni Hygieia (Hygiene, ambae alikuwa mungu wa afya na usafi), Iaso (mungu wa uzuri, utukufu na kuabudiwa) na Panacea (mungu wa dawa za asili duniani). Asclepius alishirikiana na mungu wa Roma/Etruscan na mungu wa Misri Imhotep. Aclepius alikuwa mmoja wa watoto wa Apollo na alirishishwa uponaji wa Apollo Pean (
the Healer). Mpaka leo mti wa chuma wenye picha ya nyoka wa Asclepius ni alama ya dawa na uponyaji inayotumwa na shirika la Afya duniani WHO. Madaktari wa enzi hizo walioa tibu kwa imani ya Aasclepius walijulikana kama Therapeutae of Asclepius.

The_staff_of_Asklepius.jpg

Asclepius alikuwa mtoto wa Apollo na kutokana na maelezo ya awali, kuzaliwa kwake kulitokana na mwanamke aliyeitwa Coronis. Mama yake aliuliwa kwakuwa hakuwa mwaminifu kwa Apollo na badala ya kuzikwa alilazwa kwenye ubao ili aliwe na wadudu, lakini mtoto wake aliokolewa kutoka tumboni mwake.

Apollo alimbeba mtoto kuelekea kwa centaur Chiron ambae alimlea Asclepius kwa kumfundisha utaalamu wa utabibu na dawa. Inasemekana kutokana na ukarimu wa Asclepius, nyoka alilamba masikio ya Asclepius na alimfundisha siri za utaalamu (kwa wa-Giriki nyoka yule alikuwa ishara ya busara, uponaji na uokoaji). Asclepius alibeba fimbo iliyobeba nyoka aliyekauka na hii ilikuwa ishara ya uponaji. Nyoka aina ya vonoumous
pan Mediterranean serpent, Aesculaplan nyoka aliyepewa jina la mungu.

Kifo
Zeus alimuua Asclepius kwa kutumia radi kwasababu alimrudisha Hippolytus kutoka kwenye kifo na alikubali dhahabu kama malipo. Wengine wanasema Asclepius aliuliwa kwasababu baada ya kurudisha watu kutoka kwenye mauti alikuwa na imani kuwa hakuna tena roho ya kifo itakayorudi duniani, kwahiyo alimuomba kaka yake Zeus amzuie. Apollo alikasirika sana kwa tukio la kifo cha Asclepius na aliamuru Cyclopes aliyetengeneza radi kwaajiri ya Zeus ambayo iliyomuua Asclepius auliwe. Kutoka na tukio hilo Zeus alimpiga marufuku Apollo kwenye anga la usiku na kumuamuru Apollo amtumikie Admetus, Mfalme wa Thessaly kwa miaka. Baada ya miaka kupita Zeus alimrudisha Apollo kwenye milima ya Olympus na kumfufua Cyclopes aliyemtengenezea radi. Baada ya kifo cha Asclepius, Zeus aliuweka mwili wake kwenye nyota kama 'mshika nyoka.
 
Asclepius alikua mungu wa uponaji zamani za kale katika dini na imani ya ki-Giriki. Asclepius aliwakilisha uponaji katika nyanja ya utabibu, mabinti zake ni Hygieia (Hygiene, ambae alikuwa mungu wa afya na usafi), Iaso (mungu wa uzuri, utukufu na kuabudiwa) na Panacea (mungu wa dawa za asili duniani). Asclepius alishirikiana na mungu wa Roma/Etruscan na mungu wa Misri Imhotep. Aclepius alikuwa mmoja wa watoto wa Apollo na alirishishwa uponaji wa Apollo Pean (
the Healer). Mpaka leo mti wa chuma wenye picha ya nyoka wa Asclepius ni alama ya dawa na uponyaji inayotumwa na shirika la Afya duniani WHO. Madaktari wa enzi hizo walioa tibu kwa imani ya Aasclepius walijulikana kama Therapeutae of Asclepius.

The_staff_of_Asklepius.jpg
Tupe nyama zaidi
 
Tupe nyama zaidi
Kanisani walituonyesha vidoe ya nyoka wa Asclepius waliofanya huduma ya tiba. Ukiwa na mgonjwa wako ulikuwa unampeleka huko na unamuacha. Usiku nyoka wanatambaa miili ya wagonjwa na asubuhi wanakuwa wamepata nafuu ya magonjwa yao kama si uponaji kamili.
 
Duhhh aiseee Sijawah sikia hii
 
Back
Top Bottom