Asari ya mafuta machafu yaingizwayo Z’bar huharibu kila kitu cha machine.

abdulahsaf

JF-Expert Member
Aug 31, 2010
858
130
Sikwamba tu unapokwenda sheli kutiliwa mafuta kila katika litres 5 basi mbili upepo, hii nikutokana na utalamu wa wizi wa kuseti machine jinsi ya kupumpu.
mimi binafsi nimemchudia fundi wa machinye yakutilia mafuta anaiseti machine kwakutumia geloni la litre 5 ndio kipima chakumuonyecha tajiri umeona machine imeandika litre 5 lakini geloni lina litres 2, anamuliza tajiri nibinye gapi? kila katika litres 5 binya 2 kwahio utaona machine imeandika liters 5 lakini ujuwe mbili ni upepo.
Na hii hupatikana sana kwa wale wenye vyombo vya machine wenye kuchukuwa litres nyingi, na sio hayo tu,lahatari zaidi ni mafuta yaingizwayo Zanzibar nimachafu mno(machuba) na hayana kiwango chakutumika ktika vyombo vya machine.
Hii nikutokana na huko wanakouziwa huziwa bei powa na visima (ma-tank) mangi ya masheli niyatoka Nabii Nuhu huchangia zaidi kuharibu vitu vya machine.
Kuna magari mengi hivi sasa yamelala Zanzibar kutokana na uchakavu wa mafuta machafu kuuwa vipuri vya machine kama vile petrol pump na vifaa vyengine ktk Magari.
Kwa hio tunaiomba Serekali ya mapinduzi ya Zanzibar na Baraza la Uwakilishi kuchukuwa hatuwa kali ktk suala hili hata kama wamiliki wakubwa wa biachara ya mafuta nivigogo wenyewe lakini wajuwe mafuta ndio roho ya uchumi kwa kuendeshea machine zetu zakawaida sio Magari tu.
<a href="http://www.mzalendo.net/wp-content/...otland_petrol_pumps_-_shell_zoom-in.jpg"><img src="http://www.mzalendo.net/wp-content/...phs_scotland_petrol_pumps_-_shell_zoom-in.jpg" alt="" width="640" height="513" class="aligncenter size-full wp-image-31091" /></a><a href="http://www.mzalendo.net/wp-content/uploads/2011/06/PetroFirst_Petrol_Station.jpg"><img src="http://www.mzalendo.net/wp-content/uploads/2011/06/PetroFirst_Petrol_Station.jpg" alt="" width="800" height="606" class="aligncenter size-full wp-image-31092" /></a>
 

Attachments

  • fuel_station_gas_nozzle.jpg
    fuel_station_gas_nozzle.jpg
    21.4 KB · Views: 36
Mkuu jitahidi uwe unaandika kitu kwa utulivu angalau, manake inaleta shida sana kuelewa, any way ujumbe umefika. nadhani watanzania tumeisha kuwa taifa la wachakachuaji sasa.
 
Mama wanafanya hivyo basi dawa ni kununulia kwenye galoni kisha unamwaga kwenye gari
nafikili wanachofanya huyo fundi sio trick kubwa sana wala sio upepo, huyo fundi anaondo ushirikiano kazi
ya triger/switch ya pump na metre reader kwa misini kwamba zinasoma kitu ambacho hakipo

uhusiano wake na kuaribu magari ni mdogo ni kama haupo kabisa, hii trick ni sawa na mafuta ya kibaba kumbe chini
wameweka kitu kupunguza ujazo
 
Mama wanafanya hivyo basi dawa ni kununulia kwenye galoni kisha unamwaga kwenye gari
nafikili wanachofanya huyo fundi sio trick kubwa sana wala sio upepo, huyo fundi anaondo ushirikiano kazi
ya triger/switch ya pump na metre reader kwa misini kwamba zinasoma kitu ambacho hakipo

uhusiano wake na kuaribu magari ni mdogo ni kama haupo kabisa, hii trick ni sawa na mafuta ya kibaba kumbe chini
wameweka kitu kupunguza ujazo

Mh hii kali na galon haziruhusiwi siku hizi
 
Back
Top Bottom