Asanteni wanaJF: Nimefanikiwa ku-move on na kujitoa kwenye mahusiano pasua moyo

Mapenzi ya hivyo ujue kwamba ulikuwa unatumia gharama kubwa Sana kumfurahisha na mwisho wa siku kuna muhuni alikuwa anakuchapia kimyakimya.

Tusihonge mwanamke kupita kiasi mazee!
 
Hyo kawaida hata mimi nimemchoka boy wangu nipo hatua za kumtema,nimekaa naye miaka mitano tulipendana ila ghafla moyo wangu umekata naona kama kanizoea sana anaona kama kesha nioa tyari imefika kipindi amejisahau nami kwa sababu situkuzi mapenzi ndo nshaanza kumtema
 
Unachosema ni sahihi kitu nilichojifunza mpenzi wako akikuchoka nothing you can do kuyarudisha mapenzi Kama ilivyokuwa mwanzo

Bora ukae pembenu. Yaishe

You can do kumuendering kwa mgangaring na kumlogaring

still there's something left you can do Roga Roga ooh🕺
 
Hatua za awali za kuwa mwanaume,, hongera pia next time usikubali kuendeshwa na hisia.
 
Mkuu nimeingia kwenye profile yako unaonekana upo hapa JF since 2011 so nahisi upo above 34/35 nikimaanisha wewe unaonekana mtu mzima uliyetakiwa muda huu uwe na plan sahihi za maisha yako siyo kulia lia na hawa m@laya but ni muda mwingi sana umeutumia hapa kulalamika juu ya huyo unayemuita mpenzi na haya ni machache achilia mbali yale usiyoyaandika hapa ambayo yanakudidimiza zaidi.

Hawa wapo tu unapotumia muda wako mwingi kumuwaza hata ufanisi wakufikiria hatma ya maisha yako unapungua,ipo post ulituma hapa kwamba huyo mwanamke akitaka kujua hatma ya maendeleo yako,unafikiri maendeleo yako yangesaidia nini kwenye mahusiano yenu kama siyo kutaka kufanyia matanuzi nguvu zako huku akiwa hana future yoyote na wewe!mwanamke akishataka kujua uhakika wa kipato chako huyo siyo wa kufanya naye maisha anakuwa ni mzigo kwako tena shukuru Mungu umeyajua haya mapema.

Sent using Jamii Forums mobile app
umeamua kumchana
 
Hyo kawaida hata mimi nimemchoka boy wangu nipo hatua za kumtema,nimekaa naye miaka mitano tulipendana ila ghafla moyo wangu umekata naona kama kanizoea sana anaona kama kesha nioa tyari imefika kipindi amejisahau nami kwa sababu situkuzi mapenzi ndo nshaanza kumtema

.........................You sounds like shoga hakuna mwanamke wa kuandika kwa kutumia lugha ngumu kiasi hiki!!!labda unatumia madawa ya kulevya au bangi?au labda umezidiwa na pombe!

By the way,huyo kijana sijui babu aliyeweza kudumu na wewe kwa miaka 5 na bado hujajitambua kisha bado unataka kumuacha asee muache tu maana wewe ni zigo tena gunia la misumari na najua huko aliko anaomba ulianzishe ili yeye amalizie,nilitegemea useme utang'ang'anizana nae mfanye maisha ila umeongea ujinga as usual.how come mtu akuvue nguo miaka mitano akuchambue kuzidi mama yako alivyokuwa akikukagua ulivyokuwa mdogo,akuchome chome na kipande cha nyama for five years kisha simple tu eti nataka nimteme,huku akiwa amekugeuza kopo huko chini hilo wala hulifikirii unachotamba nacho ni “situkuzi mapenzi”,hivi wewe unajitambua wewe?I swear wanawake dizain yako ndo mnaostahili gunia za mkaa,na kadiri miaka inavyosogea kutumia mkaa kupikia majumbani itakuwa anasa kutokana na itakuwa bidhaa adimu kwa sababu case za kupoteza viumbe hovyo kama wewe zitakuwa nyingi sana.

Kuna wanaume wana bahati mbaya sana duniani na sijui hizi jela watazikwepa vipi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
umeamua kumchana
Jamaa anazingua,anazeeka analalamikia mwanamke watoto nao walalamikie wanawake humu duniani kweli mambo yataenda?nachojua mimi kuna umri ukifika kama mwanaume unatakiwa uwe focused zaidi na maisha yako siyo kulia lia mapenzi na inapotokea ukaanza kuzeeka huku ukiwa na hisia kali juu ya mwanamke mmoja punguani jua uzee wako utakuwa m'baya.

Umri wake huo watu wanawaza kusomesha watoto skuli yeye ndo kwanza anapambana kuwaza kumtuliza mwanamke asiyejitambua,garasa tupa kule huko mitaani wapo wanawake wengine kwani hawaoni hao?

Huyu mwamba anachosha sana.

Ni Kama ulikuwa kwenye fikra zangu mzazi.,Mwanaume ukivuka miaka 24 au 27 huwezi kuwa unalia kiasi hiki Kama jamaa mleta hiyo mambo.

Mwanaume mzima unasema Nime- move on..!! Hii lugha naiona ya kike sana.
 
.........................You sounds like shoga hakuna mwanamke wa kuandika kwa kutumia lugha ngumu kiasi hiki!!!labda unatumia madawa ya kulevya au bangi?au labda umezidiwa na pombe!

By the way,huyo kijana sijui babu aliyeweza kudumu na wewe kwa miaka 5 na bado hujajitambua kisha bado unataka kumuacha asee muache tu maana wewe ni zigo tena gunia la misumari na najua huko aliko anaomba ulianzishe ili yeye amalizie,nilitegemea useme utang'ang'anizana nae mfanye maisha ila umeongea ujinga as usual.how come mtu akuvue nguo miaka mitano akuchambue kuzidi mama yako alivyokuwa akikukagua ulivyokuwa mdogo,akuchome chome na kipande cha nyama for five years kisha simple tu eti nataka nimteme,huku akiwa amekugeuza kopo huko chini hilo wala hulifikirii unachotamba nacho ni “situkuzi mapenzi”,hivi wewe unajitambua wewe?I swear wanawake dizain yako ndo mnaostahili gunia za mkaa,na kadiri miaka inavyosogea kutumia mkaa kupikia majumbani itakuwa anasa kutokana na itakuwa bidhaa adimu kwa sababu case za kupoteza viumbe hovyo kama wewe zitakuwa nyingi sana.

Kuna wanaume wana bahati mbaya sana duniani na sijui hizi jela watazikwepa vipi.

Sent using Jamii Forums mobile app
So kama ulivoniquote kukaa miaka mitano so ishu na wala mawazo yako hayashawishi,et kisa miaka mingi ya mahusiano ndo ujipeleke motoni? Non sense
 
Ilikuwa ni kazi ngumu ilinichukua takribani Miezi mitatu moyo wangu kukubaliana na matokeo sasa mpenzi wangu kanichoka haitaji kuendelea na mimi na ananifanyia kila aina visa vitavyonifanya niumie mwisho wa siku nione mahusiano magumu nikae pembeni mwenyewe.

Ila nawashukuru wanaJF walionipatia mbinu ya kukabiliana mambo yakifikia hatua hii mpka sasa yule manzi haamini kilichotokea hadi leo hakuamini kama nimekubaliana na matokeo na ninaendelea na maisha yangu
Shida inakuwaga kwenye kupasha viporo..!!
 
So kama ulivoniquote kukaa miaka mitano so ishu na wala mawazo yako hayashawishi,et kisa miaka mingi ya mahusiano ndo ujipeleke motoni? Non sense
Loser!!!

Siku inakuja utatuma hapa kutafuta mume,wapo wenzako miaka minne nyuma walikuwa wanatamba kama unavyotamba hapa ila wanarudi na IDs mpya kuwa wanatafuta wakusukuma nao maisha wanatukanwa mwisho wanakaa kimya wakiugulia maumivu.

Endelea kuringia makeups unazojisiribia usoni siku zikianza kodondoka zenyewe huku hazijagusa maji ndipo akili itakukaa sawa
 
mi hadi leo ma X wangu nawapasua haijalishi tuliachana ktk migogoro gani!!akinianza tuu na vitext tunataftana kupasha then kila mtu anachkua 50 zake.No hard feelings no holding a grudge
 
Back
Top Bottom