Asanteni wana jamiiforums

CUBICBOY

JF-Expert Member
Oct 29, 2012
306
223
Habari wakuu, ni matumaini yangu wote mko salama humu ndani, awali ya yote ningependa kuwashukuru wote kwa michango yenu mliyonipatia pindi ninapopatwa na majanga, mmekuwa mchango mkubwa sana kwa kunijenga kimawazo na kifkira nashukuruni sana sana wadau wangu mliyokuwa mkinipa mawazo, ushauri asanteni sana, pia hata wale wote waliokuwa wakinibeza nashkuru pia

Wakuu katika mambo mengi mliyonishauri nilikuwa nayafanyia kazi sasa naona nimeiva vizuri katika sekta ya mahusiano
Nawashkuruni sana kwa hilo

Narudia tena sijaja kuomba mchango ila nimekuja kuwashukuru wana jamiiforums wote
Humu ndani.
 
Vipi lakini shemeji hajambo ?

Sawa
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom