Asanteni sana Wauguzi wa Muhimbili Wodi ya Kibasila

Pole kwa kuugua, Mungu ni mwema wakati wote na hongera kuwashukuru ma Dr na ma nurse waliokuhudumia
Kabisa katika maisha Yangu ,siku zote nitawakumbuka na kuwaombea hawa watu,ni watu maalum kwa kweli,laiti wangekuwa wanavaa uniform ,barabarani nisinge muacha hata mmoja kwenye gari Yangu,naandika kutoka rohoni
 
Kibasila wagonjwa ni wengi! kuwa specific kwa kujitaja jina ili shukrani hizi ziwafikie moja kwa moja
 
Baba yeyote tu mkuu bila ubaguzi siku moja utabeba mmoja wao bila kujua! Mpe Salamu zangu yule muuguzi cheupe bonge bonge fulani hivi! Mwambie Manjagata anakujulia hali! Ukiweza nitumie namba yake kabisa!
 
Nazungumzia wauguzi na madoctor,machozi yananitoka hapa ninapoandika,madoctor na wauguzi kamwe hamkufanya makosa kusomea fani hiyo, mwenyezi Mungu awasaidie sana
 
Baba yeyote tu mkuu bila ubaguzi siku moja utabeba mmoja wao bila kujua! Mpe Salamu zangu yule muuguzi cheupe bonge bonge fulani hivi! Mwambie Manjagata anakujulia hali! Ukiweza nitumie namba yake kabisa!
Mimi nishatoka mkuu niliruhusiwa
 
Pole kwa kuugua, Mungu ni mwema wakati wote na hongera kuwashukuru ma Dr na ma nurse waliokuhudumia
Namimi naumwa kichwa nipe pole basi uandike na huto tuneno tu tamutamu nami nijisikie mgonjwa ninaejaliwa..😅
 
Kabisa katika maisha Yangu ,siku zote nitawakumbuka na kuwaombea hawa watu,ni watu maalum kwa kweli,laiti wangekuwa wanavaa uniform ,barabarani nisinge muacha hata mmoja kwenye gari Yangu,naandika kutoka rohoni
Kwani wamekuambia hawana magari yao?
 
Mh ,kwani umeambiwa wote wana magari,mkuu unawatoto? Nenda shule kawaombe wakurudishie ada yako,hukujifunza lolote mkuu
Na wewe umewaona wana shida sana hawamudu gharama za usafiri?

Unaweza kumjua mtu dharau zake kwa kumsikiliza hata kama hajakudharau.
 
Wewe ni wa kipekee. Wengi wetu huwa hatukumbuki kushukuru, zaidi ni lawama na kuangalia madhaifu.

Pole sana kwa kuumwa. Mungu akujaalie afuai
 
Pole sana Mkuu Mungu ni mwema. Ukipita pale kwenda kutoa shukrani zako watafurahia sana.

Dah! Jamani sina la zaidi la kusema ila nawashukuru sana Kibasila hasa pale nilipolazwa. Wahudumu wanajitoa sana na wana ukarimu.

Mungu awasaidie sana tena sana
 
Back
Top Bottom