Asanteni sana Uongozi wa Simba SC na Bodi ya Simba SC kutusikiliza 'Wadau' na kuamua kuwa Mchezaji Ousmane Sakho 'hatotemwa' Kikosini

Taahira huwa anaujua Uzuri wa Sakho?
Kama mchezaji wa Kigeni haanzi First Eleven ya Simba.
Hapo basi Kocha na benchi la ufundi la Simba lote ndio Mataahira.
Wanashindwaje kukiona kipaji Bora kabisa cha mchezaji anayeitwa hadi katika timu ya Taifa lake ?

Na kama hali ndiyo hiyo basi kuna mtu ndio atakuwa Taahira halisi ila ni kwamba hajijui Tu.

Hata siku moja Taahira hawezi kuikubali hali yake.
 
Sioni mantiki ya kumuacha mchezwji yoyote tuliyemsajili dirisha la kiangazi

Duncan Banda na Sako wameonyesha wana kitu mguuni ila bench limewanyima kutuonyesha hicho kitu.

Mimi naomba waterminate mkataba wa Kibu haraka sana, huyo ndio usajili pekee uliofeli mpaka sasa
Kocha na benchi la ufundi ndio wanaofanyia tathmini ya Wachezaji wakiwa Mazoezini.

Na uzuri hao Makocha ni wataalam wa kiwango cha kutambua ubora wa wachezaji

Kocha hawezi kukubali kuanzisha Wachezaji wenye kiwango duni katika mchezo wowote kama Wachezaji mahili hawana dhalula maana anaweza kupoteza ajira yake au kushusha rekodi yake.

Mchezaji ana pimwa na benchi la ufundi kutokana na utaalamu waliosomea.
Na sio mihemko ya washabiki, kama mchezaji ni mzuri lazima atacheza.
Nasema tena kama mchezaji haanzi First Eleven maana yake kiwango chake ni duni kutokana na mipango ya Kocha na benchi lake la ufundi.
 
Duncan Nyoni Fundi Nyie sema hajapewa muda wa kutosha kuonyesha kile alichonacho
Ni mzuri Ila Yuko taratibu mno, Hana Kasi.
Mpira wa sasa hivi ni wa Kasi.
Ndio maana unaona Akina Kisinda wanacheza Chama anaachwa benchi.
Mtu asiye na Kasi kama Duncani hata kukaba kwake inakuwa tatizo Sana.
Mwangalie Peter Banda anaitwa timu ya Taifa Nyoni anaachwa.
Banda ana kasi na si ajabu hivi karibuni akaingia katika kikosi cha kwanza na keshafunga goli moja kwenye Ligi pamoja ya kwamba amecheza mechi chache Sana.
 
Me sijapenda kuhusu kuomba Banda kuachwa mbona ni mchezaji mzuri na anakasi pia, shida yake ni nini? Jamani
 
Back
Top Bottom