Asanteni sana Uongozi wa Simba SC na Bodi ya Simba SC kutusikiliza 'Wadau' na kuamua kuwa Mchezaji Ousmane Sakho 'hatotemwa' Kikosini

Genta nakukubali Sana. Huwa hupepesi macho Jambo likikukaa vibaya. Una uthubutu muraa. Hongera
Asante ila tabia yangu hii ya Uhalisia huu ulioutaja ndiyo unanifanya nichukiwe na nipigwe 'Zengwe' na Wapuuzi ( Hopeless ) kadhaa ( japo siyo Wote ) hapa Jamvini na hata nje ya Mtandao huu wa JamiiForums.
 
NATEGEMEA BAADA YA SIKU KAZAA KULETA UZI WA KUOMBA SAKHO AFUKUZWE ATA CLIP ZAKE UKO ALIKOTOKA ALIKUWA ANAFANYA VIZURI MAZOEZINI TU SIO MATCH IN SHORT HIS TRANSFER IS INTERNAL ROBBERY JAMAA HAFIKI HATA UWEZO WA RASHID JUMA TIME WILL TELL
Tafadhali Wazazi wa Tanzania hebu tuzalieni Watu wenye Akili na siyo Wapumbavu ( Mipopoma ) ambayo Kutwa tu wanatupa Kazi ya kuwafundisha jinsi ya Kufikiri hasa wawapo hapa JamiiForums Mtandaoni.
 
Huyu ndie mchezaji alieperform vyema pre-season leo wanataka kumuacha......Angeenda Azam maji tungeita mma
Tena alivyo mzuri ( mahiri ) angeenda huko na Kukutana na Dube hakika Timu nyingi zingekoga sana Magoli mengi kwani wenye Vipaji hasa wangekuwa wamekutana Timu moja.
 
Mimi mengine nakuachia na mashabiki wenzio, lakini la Morrison nakuunga mkono 100/100. Niliwahi kumsema vibaya siku alipovua nguo nikaambulia kuitwa Yanga. Binafsi nilishaachana na ushabiki wa vilabu nikabaki ni ushabiki wa mpira, lakini Morrison ni kirusi. Klabu ya Man City ilihitaji sana huduma za mshambuliaji Mario Balloteli lakini vitendo vyake vilipoanza kushusha hadhi ya timu alifurushwa na kulazimika kuingia gharama za kumtafuta Kun Aguero.
Nadhani unajua kuwa nakukubali ( nakupenda ) sana hapa JamiiForums Mkuu kwakuwa una uwezo mkubwa mno wa Akili ( Kufikiri ) kiasi kwamba hata tumeshakuwa Marafiki.

Wewe ukinikosoa ( ukiwa unanisema hapa JamiiForums ) kama nikikengeuka ( nikikosea ) basi huwa naamini, nakusikiliza na najitathmini pia.

Wewe na Sky Eclat ninawakubali zaidi!!!
 
Sackho hamna kitu kabisa.
Nashangaa wanavyomsisitiza, mi nimeangalia mechi zote alizocheza na sijaona chochohe. Kwa Peter Banda nimeona kitu flani kizuri kinachoweza kuangaliwa kwakuwa bado mdogo.
Mchezaji wa ukweli hapepewi hata kidogo akiingia uwanjani anakiwasha tu
Sackho si wa kucheza Simba.
Skauti ya Simba haiko vizuri kabisa.
Msimu huu Yanga wametuzidi sana kwa swala la usajiri.
Taahira huwa anaujua Uzuri wa Sakho?
 
Nadhani unajua kuwa nakukubali ( nakupenda ) sana hapa JamiiForums Mkuu kwakuwa una uwezo mkubwa mno wa Akili ( Kufikiri ) kiasi kwamba hata tumeshakuwa Marafiki.

Wewe ukinikosoa ( ukiwa unanisema hapa JamiiForums ) kama nikikengeuka ( nikikosea ) basi huwa naamini, nakusikiliza na najitathmini pia.

Wewe na Sky Eclat ninawakubali zaidi!!!
🙏🏾
 
Sackho hamna kitu kabisa.
Nashangaa wanavyomsisitiza, mi nimeangalia mechi zote alizocheza na sijaona chochohe. Kwa Peter Banda nimeona kitu flani kizuri kinachoweza kuangaliwa kwakuwa bado mdogo.
Mchezaji wa ukweli hapepewi hata kidogo akiingia uwanjani anakiwasha tu
Sackho si wa kucheza Simba.
Skauti ya Simba haiko vizuri kabisa.
Msimu huu Yanga wametuzidi sana kwa swala la usajiri.
Sakho hata KMC haanzi first Eleven

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Sioni mantiki ya kumuacha mchezwji yoyote tuliyemsajili dirisha la kiangazi

Duncan Banda na Sako wameonyesha wana kitu mguuni ila bench limewanyima kutuonyesha hicho kitu.

Mimi naomba waterminate mkataba wa Kibu haraka sana, huyo ndio usajili pekee uliofeli mpaka sasa
 
Kwa Kibu Denis nakukatalia Mkuu na chukua haya Maelezo yangu kuwa kama ataongezewa Vitu na Kocha, akajiamini, tukamuamini na akaongeza Umakini na Utulivu kidogo tu ndani ya 18 na ama apunguze au aache kabisa Kuvuta Sigara Bwege ( Bangi ) Simba SC tutamuuza nje ya nchi tena kwa Gharama Kubwa tu.

Ninamkubali sana kama siyo mno tu Kibu Denis na Jicho langu Kali la Kiufundi huwa halikosei na kamwe halijawahi Kukosea. Asiachwe kwakuwa huyu namuona ndiyo Mbwana Samatta ajaye kwa Tanzania.
 
Back
Top Bottom