Asanteni sana PSU kwa Kuuimarisha zaidi Ulinzi (Usalama) wa Rais

Hao ndiyo wale kutoka upande ule wa Wafanya Fujo, Wahuni, Vibaka na Waandamanaji ambao wanapenda Mama awe 'assasinated' ili wafurahi wakidhani ndiyo watachukua nchi kama ambavyo Wanaota baada ya Kudanganywa na aliyeko Jimbo la Segerea na yule 'anayerandaranda' kama Paka wa Baa huko Ulaya.
Sawa Bwana Dawa; ila "wahuni na warandarandaji' wa leo ndio watakuwa waungwana, watulivu na waheshimiwa wa kesho.
 
Sisemi kwamba uliokuwepo ulikuwa si mzuri la hasha nao ulikuwa imara na Marais wa Tanzania hawajawahi kuwa na Ulinzi dhaifu kutoka PSU isipokuwa Mimi kama GENTAMYCINE huwa napenda mno kuona kukiwa na Watu Wengine pembeni wenye Silaha Kuu na Nzito wakiwalinda Marais wetu.

Huwezi ukawa na Wahuni ambao wanataka Kuhatarisha Amani ya Tanzania yetu hii kwa Siasa zao za Fujo, Uchochezi na Maandamano ya Kupora vitu Mitaani na Kupandikiza Chuki kwa Kushirikiana na Marafiki zao wa Nje halafu Rais wa nchi asilindwe Kikamilifu ( Kimadhubuti ) kama ilivyo kwa sasa.

Sasa nina Raha na Ulinzi wake Rais SSH.
Physical securing sio dili kizazi hiki unaweza ukatembea na Jet fighters plus mavifaru lakini ukapigwa kimtandao au kibayolojia .......
 
Kuna tofauti Kubwa sana kati ya 'Kubwabwaja' kama hivi hapa Mtandaoni kama ulivyofanya na Wewe Kuthubutu Kujitokeza ( Kwenda ) mbele ( Front ) ukamshambulie Rais ili kitakachokupata baada ya hapo unipe ( utupe ) Mrejesho wako hapa sawa?
Nawe jaribu kwenda kumshambulia waziri mkuu uone kitakachokupata, kumbuka wao wa siraha mazito kwa waziri mkuu hawapo
 
Sisemi kwamba uliokuwepo ulikuwa si mzuri la hasha nao ulikuwa imara na Marais wa Tanzania hawajawahi kuwa na Ulinzi dhaifu kutoka PSU isipokuwa Mimi kama GENTAMYCINE huwa napenda mno kuona kukiwa na Watu Wengine pembeni wenye Silaha Kuu na Nzito wakiwalinda Marais wetu.

Huwezi ukawa na Wahuni ambao wanataka Kuhatarisha Amani ya Tanzania yetu hii kwa Siasa zao za Fujo, Uchochezi na Maandamano ya Kupora vitu Mitaani na Kupandikiza Chuki kwa Kushirikiana na Marafiki zao wa Nje halafu Rais wa nchi asilindwe Kikamilifu ( Kimadhubuti ) kama ilivyo kwa sasa.

Sasa nina Raha na Ulinzi wake Rais SSH.
Huyo Rais wako Mwendazake, pamoja na mabunduki yote ya kuvita yaliyokuwa yememzunguka, kila aendapo, hivi sasa yuko wapi??

Ametwaliwa na Bwana na hivi sasa yupo kuudongo.

Mlinzi wetu ni mmoja tu hapa Duniani naye ni Mungu. OVA
 
Sisemi kwamba uliokuwepo ulikuwa si mzuri la hasha nao ulikuwa imara na Marais wa Tanzania hawajawahi kuwa na Ulinzi dhaifu kutoka PSU isipokuwa Mimi kama GENTAMYCINE huwa napenda mno kuona kukiwa na Watu Wengine pembeni wenye Silaha Kuu na Nzito wakiwalinda Marais wetu.

Huwezi ukawa na Wahuni ambao wanataka Kuhatarisha Amani ya Tanzania yetu hii kwa Siasa zao za Fujo, Uchochezi na Maandamano ya Kupora vitu Mitaani na Kupandikiza Chuki kwa Kushirikiana na Marafiki zao wa Nje halafu Rais wa nchi asilindwe Kikamilifu ( Kimadhubuti ) kama ilivyo kwa sasa.

Sasa nina Raha na Ulinzi wake Rais SSH.
Dikteta Jiwe pamoja na Ukuta wa Ulinzi na wakati Mwingine Chopa Kwa Juu, Gari lenye Radio Systems za ku Jam Signal na still Covid-19 akamalizana nae
 
Kwahiyo akiongezewa ulinzi ndio familia yako itaacha kulala njaa?,ulinzi umeongezwa na mihayo ya njaa haitaisha ndani mwako
 
Sisemi kwamba uliokuwepo ulikuwa si mzuri la hasha nao ulikuwa imara na Marais wa Tanzania hawajawahi kuwa na Ulinzi dhaifu kutoka PSU isipokuwa Mimi kama GENTAMYCINE huwa napenda mno kuona kukiwa na Watu Wengine pembeni wenye Silaha Kuu na Nzito wakiwalinda Marais wetu.

Huwezi ukawa na Wahuni ambao wanataka Kuhatarisha Amani ya Tanzania yetu hii kwa Siasa zao za Fujo, Uchochezi na Maandamano ya Kupora vitu Mitaani na Kupandikiza Chuki kwa Kushirikiana na Marafiki zao wa Nje halafu Rais wa nchi asilindwe Kikamilifu ( Kimadhubuti ) kama ilivyo kwa sasa.

Sasa nina Raha na Ulinzi wake Rais SSH.
Ulinzi wa kweli ni kufanya haki kwa watu na Mungu atakulinda Sana. Je? Ulinzi mkali wa jiwe ulimsaidia Nini? .Pia huyu mama asipotenda haki HAKUNA mabunduki ya kumlinda Tena kuwa na walinzi wengi ndio hatari zaidi kwani adui hutokea humohumo kwa hao uliowakabidhi mabunduki
 
Sisemi kwamba uliokuwepo ulikuwa si mzuri la hasha nao ulikuwa imara na Marais wa Tanzania hawajawahi kuwa na Ulinzi dhaifu kutoka PSU isipokuwa Mimi kama GENTAMYCINE huwa napenda mno kuona kukiwa na Watu Wengine pembeni wenye Silaha Kuu na Nzito wakiwalinda Marais wetu.

Huwezi ukawa na Wahuni ambao wanataka Kuhatarisha Amani ya Tanzania yetu hii kwa Siasa zao za Fujo, Uchochezi na Maandamano ya Kupora vitu Mitaani na Kupandikiza Chuki kwa Kushirikiana na Marafiki zao wa Nje halafu Rais wa nchi asilindwe Kikamilifu ( Kimadhubuti ) kama ilivyo kwa sasa.

Sasa nina Raha na Ulinzi wake Rais SSH.
Moderator Jaribuni kupima standards ya hz threads,itasaidia sana ku-improve hz forums.
 
Ulinzi ni kuongeza gharama tu, nani ana shida na maisha ya Rais. Sisi tuna shida ya Katiba itakayotoa HAKI kwa kila kikundi hapa nchini, si katiba hii inayowalinda kundi moja tu la wana CCM peke yao.
 
Duh. Uko na ushahidi na hizo shutuma na hujuma ulizozitaja burazaaaa?,

Nani huyo anayeleta fujo?
Yaweza kuwa kama sii mmoja ya wabambikiaji,huenda ni mmoja wa wake watoa mapendekezo afuatie nani kubambikiwa.
 
Back
Top Bottom