Asanteni sana PSU kwa Kuuimarisha zaidi Ulinzi (Usalama) wa Rais

mpumbavu wewe; nilipoteza mayai yangu bure kule mchepukoni!
Nilichokitaka Kwako nimefanikiwa kwani nimekuhamisha kutoka kuwa Mtu Makini na sasa nimekufanya uonekane wa hovyo hovyo hasa kwa Kuandika Kwako vitu 'Nonsese' kama hivi.

Katika 'Signature' yangu kuna neno lisemalo 'Game Changer' na nilichokifanya Kwako nimeweza Kukidhi maana halisi ya hilo neno.

Ahsante Mwenyezi Mungu kwa Baraka.

Cc: Inside10
 
Sisemi kwamba uliokuwepo ulikuwa si mzuri la hasha nao ulikuwa imara na Marais wa Tanzania hawajawahi kuwa na Ulinzi dhaifu kutoka PSU isipokuwa Mimi kama GENTAMYCINE huwa napenda mno kuona kukiwa na Watu Wengine pembeni wenye Silaha Kuu na Nzito wakiwalinda Marais wetu.

Huwezi ukawa na Wahuni ambao wanataka Kuhatarisha Amani ya Tanzania yetu hii kwa Siasa zao za Fujo, Uchochezi na Maandamano ya Kupora vitu Mitaani na Kupandikiza Chuki kwa Kushirikiana na Marafiki zao wa Nje halafu Rais wa nchi asilindwe Kikamilifu ( Kimadhubuti ) kama ilivyo kwa sasa.

Sasa nina Raha na Ulinzi wake Rais Samia Suluhu Hassan.
Magufuli alipotezwa kimya kimya pamoja na hiyo mitutu mingi wa binduki
 
Mnazingua nyie mnaotukanana

Mimi nimekuja kupata nondo namimi nikienda kitaa nisimulie nionekane mtaalamu wa Intelejensia ila nakuta matusi
 
Na vitambi vyote vile una amini kuna ulinzi pale? Ulinzi wa pekee ni kutoka kwa Mungu tu, halafu pia kumbuka wale ni binadamu kuna wakati wanaweza jisahau, zile bunduki zisikutishe kutoka kwa vijana wa makirikiri.
Bwana asipoulinda might waulindao wakesha bure
 
Kati ya Uganda, Kenya na Tanzania nchi pekee ambayo kwa sababu zangu binafsi inaweza Kuipiga Rwanda ( tena kwa taabu sana ) ni Uganda tu peke yake nyinginezo ni nyepesi mno na zinapigika Kirahisi katika Uwanja wa Vita.
Aseeeee. Wale kuruta wazalendo kambi ya ruvu wanaweza ituliza rwanda wakawa wanalala saa 12 jioni mjue eti.
 
Nilichokitaka Kwako nimefanikiwa kwani nimekuhamisha kutoka kuwa Mtu Makini na sasa nimekufanya uonekane wa hovyo hovyo hasa kwa Kuandika Kwako vitu 'Nonsese' kama hivi.

Katika 'Signature' yangu kuna neno lisemalo 'Game Changer' na nilichokifanya Kwako nimeweza Kukidhi maana halisi ya hilo neno.

Ahsante Mwenyezi Mungu kwa Baraka.

Cc: Inside10
Elewa kuwa matusi hayana mwenyewe; ukiona mtu anatumia lugha ya kistaarabu usidhani kuwa hajui matusi. Ukimjibu kwa matusi, unaweza kujibiwa kwa matusi pia.
 
Back
Top Bottom