Asanteni sana CHADEMA kwa kazi nzuri

Gefu

JF-Expert Member
Nov 30, 2010
6,930
2,554
Ndungu,

Naomba kwa heshima zoote kabisa nitoe shukrani zangu za dhati kabisa kwa kazi nzuri sana inayo fanywa na chadema. Binafsi nimekuwa nikifuatilia sana kazi za chadema kama chama cha siasa na mwisho nimejiridhisha pa si na shaka kuwa mchango wenu katika maisha yetu watanzania ni mkubwa na wa kutukuka.

Maadui zenu wasiopenda ustawi wa chadema wamekuwa wakiwataja kila mara na kila hotuba. Unaweza kuona mkutano mkuu wa ccm ajenda kuu ilikuwa ni chadema na lowassa. Hakika chadema kazi yenu ni ya kutukuka. Nimejitahidi kufuatilia wale wote wanao pinga siasa kwamba hazileti maendeleo kinyume chake wao ndo wanaongoza kuwataja chadema, hongera sana cahdema.

Wapo waliojitahidi kudhibiti vyombo vya habari visiongee saisa, kisa chadema. Hii hofu kubwa namna hii dhidi ya chadema inatoka wapi wapendwa. Hakika kazi yenu ni kubwa sana.

Kila chama cha siasa kikiunganisha nguvu na chadema wakuu watafanya kila la ziada kukivuruga. vipo viapo vingi sana vya kuiua chadema lakini haifi. Asante chadema kwa kuwanyima usigizi ili tupate dawa mahospitalini. Mlipopiga kelele juu ya mabadiliko nao waliimba wimbo huo huo, asanteni sana chadema.

Ni meengi mmefanya na sasa mnaendesha kwa remote kama mtakavyo. Mkisema twende kulia watafuata tu na mkiamua kwenda kushoto nao watakuja.

Juhudi zenu zimefanikisha usafi wa taifa. kana kwamba haitoshi tamko lenu limefanikisha upandaji wa miti.

Ombi kwenu chadema mzidi kukaza uzi ili malaika nao waisome namba.
 
Spinning..
 
naona porojo tu humu. kwani maandamano ya ukuta lini? maana watu tumejiandaa kwenda kuandamana mpaka tumeanza kuchoka kujiandaa.
 
Ndio kazi iliyofanywa na Mbowe ya kubadili gia angani na kukaribisha Mafisadi kutoka ccm ni ya kutukuka sana hasa ukiwa na akili za wild beast
 
naona porojo tu humu. kwani maandamano ya ukuta lini? maana watu tumejiandaa kwenda kuandamana mpaka tumeanza kuchoka kujiandaa.
...ngumu sana kukwepa ukweli, bila chadema hata bombadia msingenunua, mgeendelea kupiga dili tu...
 
Ni wenye akili kubwa tu Mkuu kama wewe ambao wana upeo wa kuona mbali na kufahamu kwamba mapambano ya kuikwamua nchi toka kwa Maintarahamwe si sawa na mechi ya mpira ambayo inachezwa kwa dakika 90 na labda kuongozew dakika 30 ili kupata mshindi.

Maintaharamwe yanajua fika kwamba hayapendwi na asilimia kubwa ya Watanzania na kama kutakuwa na uchaguzi wa haki na huru ambao utasimamiwa na Tume huru ya uchaguzi KAMWE hayawezi kushinda ndiyo sababu sasa yameamua kung'ang'ania madarakani kwa vitisho vingi na kutegemea mtutu wa bunduki.

Alutta continua! continua!

✌✌✌✌

Watakuja kuponda sana lakini huo ndio ukweli
 
Kuna İD mpya leo zimemwagika mbaya kwenye ule uzi mwingine.Tutashinda tena na tena
...twende nao sawa tu kamanda wataelewa tu, lipo agizo la kuanza kushambulia kupitia social media na hapo ndo kiama chao kinakuja maana walisha prove failure wakati wa uchaguzi na sasa watachakaa mbaya....
 
Back
Top Bottom