Mtabaki na matusi mitandaoni. Hata kura hampigi, kazi kupiga domo. Na sidhani kama mnakichangia hicho chama kampuni.pumba tupu.amnazo ndio wanaowapongeza kwa ujambazi,au Alshabaab!
Baelezee baelezeeee! Hawa ni mabingwa wa matusi tu humu ndani hawana mchango wowote kwa CDM,, mashujaa halisi ni wale walioko field na wanapiga kura na kuchangia uhai wa chama. Wengine tunachangia matusi na domo domo!!! bwahahahahahahahahahaaaaaaaa:shetani:Mtabaki na matusi mitandaoni. Hata kura hampigi, kazi kupiga domo. Na sidhani kama mnakichangia hicho chama kampuni.
Mkuzu umeanza kukuwasha ee?Tangu ushindi wa kishindo Igunga tumekuwa tukipokea salamu nyingi za pongezi kutoka pande zote za dunia. Hatuna cha kuwalipa ila tunasema asanteni sana na Mungu awabariki.
Mtabaki na matusi mitandaoni. Hata kura hampigi, kazi kupiga domo. Na sidhani kama mnakichangia hicho chama kampuni.