Asanteni kwa kutupokea wanawake, vitambi sio kwa wanaume pekee...

Morg

JF-Expert Member
Oct 20, 2018
1,301
1,766
Kwa sasa vitambi sio kwa wanaume pekee bali hata hawa jinsia ya upande wa pili nao wametupokea tena kwa kasi nguvu na shauku na wanakuja kwa kasi sana nowdays.

Kulikuwepo na fedheha nyingi toka kwa wanaume wenye vitambi walidhihakiwa kwa maneno ya kejeli iliwasononesha sana Zama za nyuma.

Ili hali siku hazigandi mambo yamebadilika nyakati zimesonga kitambi sio kwa wanaume pekee sasa hata wanawake pia wanavitambi.

Je, ni nini haswa imepelekea haya yote ni vyakula au mabadiliko ya hali ya hewa au ndo human changes?

1.jpg
1234141_Capturuue.jpg
kitambi-650x400.jpg
IMG_20190720_220440-780x405.jpg
 
Tunashukuru kwa ushirikiano wanaotuonesha tangu walipotupokea
 
Wanawake pambaneni usikubali uwe na kitambi. Mnakwama wapi kuwa kama kina Hamisa Mobeto?
 
Back
Top Bottom