Asanteni JF kwa ushauri, tayari nimepata gari

Nimeeleza experience yangu. Nilitegemea bei isiwe na tofauti ya 5m. Kwangu naiona ni kubwa sana. Hata hivyo mimi sina tatizo. Nampongeza kwa kuvuta chuma.
Gari ni ya 2009 grade 4.2, Km 58,000. Na zaidi ya hapo Gari zimepanda bei sana. Niliilinganisha bei kutoka kampuni mbali mbali kwangu nikaona hiyo ndio ilikuwa bora. Yaani hiyo 22M ni gari kunifikia mkononi ikiwa imekamilika kila kitu ikiwemo service ya Oil na Filter, Leather seats, android radio na screen yake
 
Okay sawa sawa mkuu.
 
Safi sana.

Ukipata gari zuri hata miaka 2 inapita bila kubadilisha chochote zaidi ya zile service za kawaida za kubadili oil na filter zake na break pads baadae.

Siyo unaagiza gari alafu linaanzia gereji kutengenezwa ama baada ya muda mfupi linaanza matatizo.

Gari agiza likiwa na km angalau chini ya 70 000, ikiwezekena ukapata chini ya km 40,000 inakuwa nzuri zaidi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom