...Asanteni Jamani...!! Nimempata Wangu wa Maisha...!! JF Hoorryaaaa..!!

Madame B

JF-Expert Member
Apr 9, 2012
29,858
31,887
Jamani Asanteni,siamini mie.
Hatimaye nimempata liwazo langu la moyo humu Jf,anaitwa Ndg: L*...
Kwani amefiti vigezo vyangu,kikiwemo kile cha kwanza nilichokiwekea mabano.
(Rejea thread yangu ya nyuma"NASAKA MUME").
Kwaherini wana Jf.
 
Hongera kwa kumpata wako mwandani madam,nawatakia kila la heri,mtunze naye akutunze,mpende naye akupende.
 
Kwanza hongera kwa kumpata huyo mwandani wako
pili usisahau kutupa taarifa yakikushinda
tatu,unaposema kwaheri ina maana ulijiunga jf kusaka mchumba tu?
OTIS
 
Mh! We OTIS Unaongea wewe,
ucjali yakinishinda nta ku-PM Nikwambie.
Jamani nnaposema kwaheri si kwamba naachana na Jf,NOOO!!! Ina mana ctakuwa busy ku-chat c unajua tena,mzee kwa wivu?
 
Last edited by a moderator:

Alaaaa
sasa nimekupata Madame B
mwambie mzee kuwa hapa jf una marafiki watakumiss ukikaa kimya.

Ntamwambia,ila ni dizaini ya wale tunaosubiri wafe ili turithi mali(kibabu-tena Mgane)
ila OTIS tatizo kizee hiki kishaijua ID yangu,tafanyaje?
 
Then itabidi tuombe mods wakupe ID nyingine ili kuhakikisha hatukupotezi
na najua huyo kibabu ataushindwa mziki na kukuachia urudi huku Madame B
OTIS
 
Last edited by a moderator:
Jamani Asanteni,siamini mie.
Hatimaye nimempata liwazo langu la moyo humu Jf,anaitwa Ndg: L*...
Kwani amefiti vigezo vyangu,kikiwemo kile cha kwanza nilichokiwekea mabano.
(Rejea thread yangu ya nyuma"NASAKA MUME").
Kwaherini wana Jf.
hongera cna nawe ukimuona mwanamke anaetafuta mume uniambie!
 
Jamani Asanteni,siamini mie.
Hatimaye nimempata liwazo langu la moyo humu Jf,anaitwa Ndg: L*...
Kwani amefiti vigezo vyangu,kikiwemo kile cha kwanza nilichokiwekea mabano.
(Rejea thread yangu ya nyuma"NASAKA MUME").
Kwaherini wana Jf.

akikushinda ni PM
 
Back
Top Bottom