Asanteni ITV kwa kurusha habari ya kifo cha kijana Petero

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
56,667
30,584
Ni yule kijana aliyefariki kwa kupigwa pale Mbezi na kufanyiwa mambo machafu.

Kijana huyo amefarik leo.

Tunawashukuru ITV kwa kuliona hili.
 
Niyulee kijana aliefariki kwakupigwa pale Mbezi nakufanyiwa mambo machafu..
..hatimae amefarik leoo... Tunawashukuru ITV kwa kuliona hili.

Uandishi wako siyo utadhani tunakaa mtaa mmoja sasa hapa kama tunapiga stori na siyo umetuletea Habari tusio jua nini kimetokea!
 
Chupu chupu Nyampua nae kutajwa Leo, bahati yake alirudisha Mpira kwa Kipa Mapema!
 
Uandishi wako siyo utadhani tunakaa mtaa mmoja sasa hapa kama tunapiga stori na siyo umetuletea Habari tusio jua nini kimetokea!
KAMA HUJASOMA HUKO NYUMA ULITAKA NIKULAZIMISHE WAACHE WANAOELEWA WATIRIRIKE
 
Nchi huru inayoendeshwa kwa misingi ya kisheria na iliyojaa amani tele..

Pumzika panapokustahili ewe uliyeharakishiwa umauti!

Damu yako na ikatafune na kumaliza vizazi vya watesi wako..
Acha KARMA ICHUKUE MKONDO WAKE. .
 
Back
Top Bottom