Asanteni ccm kwa kutekeleza sera ya afya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Asanteni ccm kwa kutekeleza sera ya afya

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Elli, Mar 20, 2011.

 1. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #1
  Mar 20, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,823
  Likes Received: 10,120
  Trophy Points: 280
  Jamani nimeipenda katuni kwenye gazeti la Mwananchi leo, inaonyesha CCM wakijisifia kuwa wameshatekeleza Sera ya Afya kwa kuwaruhusu wabongo kupata Tiba huko Loliondo kwa Babu... My Take: Kuna uwezekano mkubwa wa CCM kuwarubuni 'baadhi" ya wananchi kuwa wanawapenda ndio maana wakaruhusu watu waendelee kwenda: Kama hivyo ndivyo, nasema asanteni kwa sera yenu hiyoooooo, CCM ikapumzike kwa amani kaburini sasa!!!
   
 2. M

  MZAWATA JF-Expert Member

  #2
  Mar 20, 2011
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 555
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  CCM katika afya kwa kweli bado kabisa hawajafanya chochote kwa mtazamo wangu, akkina mama,watoto n.k bado wanateseka kwa sana na pia wanakufa kwa wing sana tu. mfano mzuri ni kwamba katika bajet ya hospital ya OCEAN ROAD bajet yake ni blion 6 kwa mwaka lakin serikal ya CCM wanapeleka bilion 1 tu kwa mwaka, lakin hela ya chai kwa wizara moja ni bilion 2 kwa mwaka, je huu ni uungwana? bora tumgeukie babu jaman na naomba watanzania tujue kwamba CCM walishasitisha huduma ya babu lakin nguvu ya umma ikatumika katika kupata huduma toka kkwa babu na tutaendelea kuipata huduma hii
   
 3. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #3
  Mar 26, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,823
  Likes Received: 10,120
  Trophy Points: 280
  Kumbeeeeee
   
Loading...