Asanten sana wana JF kwa ushauri wenu,nimefanikiwa kumaliza tatizo na x bf wangu.

Penye uongo ukweli ukaa kando na hakuna siri ya watu wawili umefunika moto kwa blanketi ohooo kumbuka wale ni marafiki zake so tegemea akafahamu kila kitu labda tu aamue kupotezea... ila ni vyema kwani utakuwa na amanii
 
Namjua kwa jinsi anavyoogopa ngoma,kwa style yangu niliyitumia na kwa jinsi alivyopokea ile msg hata angekuja mama yake mzazi amwambie ilikuwa uongo kamwe hataamin, ndio maana wala sina wacwac na hilo,na kweli nina aman tele!
 
Sasa unahitaji pumziko la nafsi,mwili na roho!naomba 2onane,unipe story nzima nitoe kitabu..
 
Hongera Cantalisia,

Wasi wasi wangu ni kuwa kama ameondoka kachanganyikiwa, lazima atatafuta mtu wa kumhadithia ili stress kwa upande wake zipungue. Itakuwaje kama atakayemuhadithia amuhadithie mwingine na chain hiyo ikue haraka sana, mwisho watu wako wa karibu wajue wewe umeathirika na kuna ushahid maana jamaa kaviona vyeti! Unadhani hiyo haitakuharibia kupata mchumba mwingine! Maana wakikuona tu na mwanaume, hata kama kaka yako, wanamnong'oneza, pale hapafai, jamaa alishaonyeshwa vyeti???
 
Hongera dada kwa kutupatia majibu,ni vema wengine wakaiga hii tabia ya kua na kamrejesho ikiwa tu kama wadau walikushauri kitu hapa,kila la kheri na huyo mpenzi wako mpya,mjilie kiuraini sasa
 
Namjua kwa jinsi anavyoogopa ngoma,kwa style yangu niliyitumia na kwa jinsi alivyopokea ile msg hata angekuja mama yake mzazi amwambie ilikuwa uongo kamwe hataamin, ndio maana wala sina wacwac na hilo,na kweli nina aman tele!

Usiusemee moyo wake mama.
 
Usijipe mahope 100%, Huu ni mtandao wa wote anaweza kulitembelea jamvi akupata ukweli au akatonywa na marafiki.
 
uskute jamaa yupo hapa jf anasoma tu...this time atakuja na gear m ready to die with you...sjui utafanyaje hapo mdada
 
ila we unaonekana mdhaifu sana yaan mtu anakulazimisha uwe mpenzi wake? Kwan ni lazima? Me ningekubali afu ningemkata vuvuzela...au labda na me ningekua dem ningekua hivyo hivyo kama wewe mayb!
 
mh! jamani mimi sikubaliani na njia uliyoitumia kumkwepa huyo jamaa, kujipakazia ugonjwa haifai kabisa dada yangu,, bora ungetafuta njia nyingine kabisa mimi mwenyewe kuna mtu alikuwa ananisumbua nilipoona anazidi nikawa hata sipokei simu wala kujibu email, sms zake na nikamwondoa kabisa kwenye list ya marafiki Facebook baada ya kuona niko serious si respond kila anachofanya yeye mwenyewe akaniandikia ujumbe sitakusumbua tena sikumjibu nikakaa kimya mpaka leo akiniona anabadilisha mpaka njia...

hujakutana na mwanaume king'ang'anizi
 
Hongera Cantalisia,

Wasi wasi wangu ni kuwa kama ameondoka kachanganyikiwa, lazima atatafuta mtu wa kumhadithia ili stress kwa upande wake zipungue. Itakuwaje kama atakayemuhadithia amuhadithie mwingine na chain hiyo ikue haraka sana, mwisho watu wako wa karibu wajue wewe umeathirika na kuna ushahid maana jamaa kaviona vyeti! Unadhani hiyo haitakuharibia kupata mchumba mwingine! Maana wakikuona tu na mwanaume, hata kama kaka yako, wanamnong'oneza, pale hapafai, jamaa alishaonyeshwa vyeti???

kwani ukidhaniwa una ukimwi na wkt huna unapungukiwa nini...unyanyapaa??..nadhani kapima kati ya mawili(kuforge aids na kuendelea kusumbuliwa)ipi yenye unafuu.
 
Mbinu uliyotumia haifai kabisa. Inaelekea hujawahi kukutana na unyanyapaa wewe, niulize mimi. Pakaziwa chochote lakini si ngoma dadangu hapa umechemsha! Yani itachukua muda mrefu na pia itabidi upime kweli hiyo ngoma kuweka mambo sawa. Na hata ukisema umepima kweli na huna, bado tetesi zitaenea, yaani hii kitu ni mbaya nina uzoefu mimi hapa. Lakini kama imekusaidia poa, japo kuna uwezekano msela akapita maeneo haya akiibamba hii story atajua kumbe boshen atarudisha majeshi kama mwanzo au zaidi.
 
Nmh; wasiwasi wangu kama jamaa naye yumo humu; akisoma ni rahisi kuunganisha dots hivyo akakufuata tena na issues za kumdanganya!
 
Back
Top Bottom